asali

Sohan asali (Persian: سوهان عسلی‎, romanized: sohān-e asali; from asal "honey") is a kind of Iranian cuisine pastry or candy (sohan). It is made of honey, sugar, saffron, almond or other nuts and cooking oil.

View More On Wikipedia.org
  1. Leak

    Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

    Waziri wa Maliasili na utalii Mh Pindi Chana amesema kuna tangazo limekuwa likizunguka kwenye mitandao kuhusu usafirishaji wa wanyamapori ambalo lilizua taharuki toka jana. Hivyo kwakuwa yeye ni Waziri mwenye dhamana ya Maliasili na Utalii ametangaza kusitisha mara moja usafirishaji wa...
  2. Idugunde

    Kauli ya Mbowe baada ya kulamba asali imewachanganya wengi. Vijana wa CHADEMA ni walaini mithili ya bamia. Hii hatari👇

    Hivi asali wanazolamba zina nini?
  3. Nyankurungu2020

    Baada ya Hayati Magufuli kulifumbua macho taifa juu ya mapato ya umma yaliyokuwa yanaibiwa huko nyuma. Sasa yanatafunwa kupitia janja ya kulamba asali

    Ni collusion ya nguvu ambayo imeundwa na mtandao wa wanaCCM waliopo madarakani na wapinzani uchwara. Hii ni baada ya kuona hayati JPM aligundua mianya ya upigaji na akadhibiti ukusanyaji mapato. Kulamba asali ndio mtindo unaotumika sasa kukamua rasilimali za umma. Kwa nini hali inazidi kuwa...
  4. Nyankurungu2020

    Kumbe shida kubwa kwa WanaCHADEMA ilikuwa ni kulamba asali na wala sio maslahi mapana ya umma. Shida kubwa ilikuwa mpate mlo wala sio kutetea wananchi

    Sasa hivi imekuwa kila neno ni maridhiano. Maridhiano gani mnayodai kuwa eti ni kwa ajili ya haki na usalama wa nchi wakati sasa inaonekana mnafumbia macho ufisadi kwa kisingizio cha maridhiano! Kwa nini hamtaki kukubali ukweli tu kumbe shida yenu kubwa ilikuwa ni kupata chochote kitu kwa ajili...
  5. D

    Utam wa asali haujawai kumwacha mtu Salama

  6. Ngongo

    Halima Mdee na wenzake kulamba asali hivi karibuni

    Heshima sana wanajamvi, Baada ya Wabunge 19 kutimuliwa chamani, ahadi yao ya kupewa ulaji mkubwa na heshima kubwa ipo wazi ni suala la muda tu. Ni wazi Halima Mdee ni kiongozi wa kundi la wanawake walioamua kujipeleka Mjengoni pasipo ridhaa ya chama wala baraka za viongozi wakuu. Ni wazi pia...
  7. mwanamwana

    IKULU, Dar: Rais Samia na Freeman Mbowe wakutana na kufanya mazungumzo leo Mei 9, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.
  8. B

    Wanyonge zamu yenu mlilalamika, zamu ya walamba asali mnalalamika. Tuwasiadiaje?

    Serikali ya wanyonge iliwaacha wanyonge na unyonge wao, serikali ya Kazi iendelee ambayo Sasa inatambulika kama ya walamba asali wanyonge Hali Tete. Niwaambieni kitu, hakuna kiumbe kinachoteseka chini ya jua kama kinyonge. Ni uamuzi wenu kuendelea kuwa mnyonge au kujiongeza kudai Haki Yako...
  9. B

    Awamu ya sita mnajiwakilisha walamba asali

    Serikali awamu ya sita mmeeleweka vyema. Mko kwa maslahi yenu zaidi. Mnajiwakilisha wenyewe: Ninyi ni serikali ya walamba asali. Kwa kututelekeza na hili la mafuta kama ya lile la madhara ya Corona, wala msijisumbue kutafuta mitano mingine. Mlikotufikisha tambueni kuwa mtavuna mnayopanda...
  10. M

    Kama Asali Feki inajulikana upesi kwa Mbinu hii je, Bange Feki inajulikana kwa Mbinu ipi?

    Asali Feki inajulikana kwa ama kutumia Njiti ya Kiberiti kwa Kuichovya katika Asali na Kuiwasha ambapo ukiona haiwaki jua ni Feki au unaichukua hiyo Asali unaimimina kidogo katika Karatasi na ukiona kwa chini ( nyuma ) ya hiyo Karatasi hakuna Unyevu au hakujaloana jua ni Feki hiyo na mrudishie...
  11. and 300

    Muungano miaka 58, tunalamba Asali!

    Watanzania kwa ujumla wetu Leo tunasherehekea miaka 58 ya Muungano huku tukilamba Asali ya Elimu bure, matibabu Bure (kwa watoto na wazee) pia fursa kufunguliwa za kibiashara duniani - US, UAE, EU, Malawi, Kenya, Uganda, Rwanda, Botswana, Russia na Burundi.
  12. Evelyn Salt

    Ulishawahi kununua asali kwenye duka la serikali? Uliwezaje?

    Ni mara ya tatu sasa naenda kwenye duka la linalomilikiwa na serikali linalouza asali ila sijawahi kufanikiwa. Duka lipo karibia na mataa ya Chang'ombe kama unaelekea mkuki house (Dar es Salaam). Lile duka hawapokei cash malipo ni kwa control namba, lakini hata hiyo control namba mara zote ni...
  13. Chizi Maarifa

    Makamba Yusuf. Na hawa Wananchi waliokunjamana uso utadhani wanaangalia jua kali, lini wataanza Kulamba Asali kama Ninyi?

    Hii nchi inaumiza sana moyo. Yaani wakati wananchi wa kipato cha chini wanaumia na maisha magumu wakilambishwa Shubiri. Kuna mtu anatamba kuwa wao wanalamba asali. Na mbaya zaidi kuna watu wanampigia makofu na kushangilia. Hili ndilo lililoniumiza zaidi. Yaani form one wanacheka na form two...
  14. N

    Wafanyabiashara Tanzania wanalamba asali tamu

    Haijawahi kutokea na haitakaa itokeee free ride kama waliyonayo wafanyabishara wa Tanzania kwa sasa, usishangae leo ukakuta sabuni ya kuogea inauzwa 500 kesho asubuhi ni 1200 ukilalamika unaambiwa ni vita ya ukraine Rais wa nchi kama mara tatu kwenye hotuba zake amekuwa akisisitiza kwamba ni...
  15. S

    Nahitaji mbia kwenye biashara ya kuuza asali Kenya

    Habari wadau, ninahitaji mfanyabiashara wa asali au mfugaji wa nyuki ambae ana vibali stahiki vya kuuza na kusafirisha maana nina wafanyabiashara wapo kenya wanasafirisha asali kwenda dubai n.K, hvyo nahtaji mtu wa kushirikiana nae soko tayari lipo ila mim sina mtaji na utaalam wa kuitambua...
  16. Fred Katulanda

    Fahamu kinachosababisha asali kuganda?

    Kumekuwa na maswali mengi kutoka kwa watumiaji asali ambao wengi wamekua wakiuliza kutaka kujua kama asali iliyoganda ni nzuri au imechakachuliwa. Wengine wamekua wakiamini asali iliyoganda imechanganywa na sukari guru. Lakini hata baadhibya wafugaji na wauza asali pia wamekua wakiogopa kuiuza...
  17. J

    Nyuki sio kwaajili ya asali tu!!

    Kuna mtazamo wa watu wengi sana kuhusiana na nyuki lakini kwa kifupi nataka tujifunze mambo machache kuhusu hawa wadudu na umuhimu wao sana katika muendelezo wa jamii ya mimea mbali mbali Nikuibie siri tu ni kweli nyuki wanazalisha asali lakini kuna kitu kikubwa sana wanakifanya kwa mimea...
  18. econonist

    Nauza Asali kwa jumla

    Habari wandugu. Napenda kuwataarifu ya kwamba nauza Asali kwa Bei ya jumla. Ninauza Hadi madumu hamsini ya Lita ishirini. kwa atakayehitaji tuwasiliane. Bei ya dumu moja la Lita ishirini ni shilingi laki moja themanini 180,000 Tanzanian shillings. Asali yetu ni original haijachujwa Wala...
  19. R

    Msaada ufugaji wa nyuki

    Habari wakuu. Ninaanza ufugaji wa nyuki kwa hiyo sina uzoefu. Kuna changamoto moja nimeisikia kwamba nyuki wana tabia ya juiacha mizinga na kuhamia sehemu nyingine. Kana hii ni kweli naomba kujua mbinu za kuwafanya wasihame. Natanguliza shukrani.
  20. R

    Wafugaji wa nyuki naomba msaada

    Wakuu nina swali kuhusu utengenezaji wa mizinga ya nyuki. Mzinga in lazima utengenezwe kwa mbao au unaweza kutengenezwa pia kwa material nyingine kama plastic?
Back
Top Bottom