Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, jana Jumatano Septemba 30, 2020, alifanya mkutano kwenye Jimbo la Kigoma Kaskazini viwanja vya Bitale Sokoni kwa lengo la kuomba kura pamoja na kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma...