Alinikuta sina kazi nipo nipo tu nikamtongoza akanikubalia akaniambia ananipenda hivyo hivyo,mapenzi yakaanza akaenda chuo akanipatia kiasi cha pesa kutoka kwenye boom lake.
Nikamwambia poa nipe miezi sita faida itaanza kuonekana kweli bhana Allah akajalia mambo yakaanza kuwa mazuri nikazidi...