Simulizi: ASANTE KWA KUNIFUTA MACHOZI (HISIA ZANGU)
Mwandishi: JOSEPH SHALUWA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
*****
SEHEMU YA 1 KATI YA 50
Edo wewe! Acha utani wako bwana... unajua kitakachotokea. Utaniudhi sasa...” akasema Lilian kwa sauti ambayo haikueleweka ilikuwa ya ukali au kudeka...
Ugeni wangu wa Zanzibar ulifana sana!
Nimeshuhudia mengi na kujifunza mengi sana;
Nimejifunza wazanzibari wengi wanaishi kijamaa sana!
Wazanzibari Wana utaratibu wa kufuatilia wageni kimyakimya kwa kila mgeni anaeonekana mtaani ili kujiridhisha alipofikia na kujua ni mgeni wa nani; Hivyo ni...
Zipo taarifa ambazo wewe mwenyewe umezithibitisha kuwa mara baada ya Uchaguzi utarudi Ubelgiji, huko ulipokuwa kwa takribani miaka mitatu na kurudi siku chache kabla ya zoezi la Uchaguzi mkuu kuanza. Ni jambo jema kuwa ulijua huwezi kutoboa na ukafanya maandalizi hayo mapema.
Sasa sisi...
Mtanzania, ungana nami kusherehekea mafanikio katika sekta ya usafiririshaji ambayo haya ni maendeleo ya vitu yanayochochea maendeleo ya watu.
Serikali ya awamu ya tano inaleta meli kubwa ya kisasa iitwayo Mv Amani ambayo itafanya safari zake katika ziwa Tanganyika na hivyo kuwa msaada mkubwa...
Wanabodi
Hili ni bandiko la swali, Jee ukitendewa wema, unatoa shukrani? Jee Sisi Watanzania ni watu wa shukrani?. Kwa wema wote tuliofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 katika kutuletea maendeleo, tarehe 28 October tutatoa shukrani au?
Kama kitu Watanzania wanachotaka ni maendeleo, then...
Nimemsikia Mgombea wa CCM akinadi sera zake na kuahidi kuwa serikali inao mpango kabambe ya kubadili ukanda wa ziwa kuwa wa kiutalii ili kuiongezea Serikali mapato nikafurahi sana kama mwananchi. Ni wakati mwafaka sasa kusambaza utalii kanda ya magharibi na kusini ili kutekeleza Master Plan ya...
Wapendwa watanzania wenzangu, salaam.
Kuna matukio naona yametoweka kabisa au kupungua sana huku Kwetu:
1.Ujambazi wa silaha
2.Ajali za barabarani, hasa mabasi na bodaboda
3.Migogoro ya wakulima na wafugaji
4.Vifo vya akina mama wajawazito na watoto wachanga
5.Mgao wa umeme
6.Dharau za...
Kwako Ndugu Lissu
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nawe
Napenda kuchukua fursa hii kukushukuru kwa dhati ya moyo wangu kwa kitendo chako cha Utu na kupenda haki kwako kwa namna unavyotetea Viongozi wa dini ya Kiislamu walioko Jela kiuonevu.
Umekuwa consistent sana kuhusu uonevu huu, umezungumzia...
Ni mtu mpuuzi tu anayeweza kumdharau mtu kama Tundu Lissu. Lissu kasema Serikali haijaaijiri walimu tangu 2014, hapo hapo serikali inaitupa bajeti ya Ndalichako na kaika hali ya kupaniki inatangaza kufungua dirisha la kuajiri walimu kwa maelfu. Katika hotuba ya waziri wa elimu, yeye aliahidi...
Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Kawe, kwa vile sasa tuko kwenye kampeni za uchaguzi, ili tumtendee haki Mbunge wetu aliyemaliza muda wake, Mhe. Halima Mdee, ambaye, baada ya kuwa Mbunge wa Kawe kwa vipindi viwili mfululizo, na sasa anaomba tena tumchague, hivyo nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza...
Kuna Tamasha langu dogo tu nililiandaa jana mahala fulani ambako kiukweli huku huwa kuna Fujo hasa kutokana na Historia ya Wakazi wa huko. Hivyo basi katika kuamua kujizatiti ili lisiharibike na hao Wahuni katika Ubao wangu wa Tangazo na Viingilio kwa chini nikasema Adam Mchomvu atakuwepo kama...
Hapo vipi!
Ni kwa muda mrefu Arusha imezorota kimaendeleo,mpaka vimikoa vidogo vinakua kasi ukilinganisha na Arusha yenye fursa nyingi za kiuchumi.
WanaArusha nyie ni mashaidi juu ya kupwaya na kulala kwa fursa mbalimbali zilizopo katika mkoa wa Arusha.
Arusha kama miaka kumia imegeuzwa na...
Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall.
#MkutanoMkuuACT2020
#KaziNaBata
#TheFutureIsPurple
=====
UPDATES
======
#UCHAGUZI2020: MEMBE, MAALIM KUPEPERUSHA BENDERA ZA ACT WAZALENDO URAIS TANZANIA NA ZANZIBAR
- Chama hicho...
Nimesikiliza wimbo wa Harmonize, nyimbo ya maombolezo.
Kwa kweli asante sana kijana wetu, wimbo wako una hisia kali na umenitoa machozi. Kwenye wimbo Kijana kamlilia mzee, anasema kama siyo juhudi za mzee watu wa kusini lile daraja wangelipata wapi.
Kijana kaimba kwa hisia kali kwelikweli...
na Mwl Matete - MUST
Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru sana wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Rorya kwa kazi kubwa waliofanya kutuletea mshindi ambaye kwa maoni yangu ni mtu sahihi kwa wakati huu. Kura ya maoni iliyofanyika wiki iliopita ni wazi kuwa hata wajumbe walichoka siasa...
Wanabodi,
Kumbe sababu ya kifo cha Mpendwa wetu, Benjamin William Mkapa ni Cardiac Arrest!.
Asante sana Mwanafamilia wa familia ya Mkapa, William Erio, kuusema ukweli huu na kumaliza rasmi ile sintofahamu ya chanzo cha kifo, ambayo imezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF.
Kama...
Yaani dili limetiki 100 asilimia, kila tunachopanga na kutarajia kina tiki. Hatua ya kwanza kabisa tayari tumefanikiwa kwa asilimia zaidi ya 96. Mambo yanaenda bam bam.
Tunasubiri hatua ya pili mchujo wa kura za maoni na hatua ya tatu vikao vya maamuzi ambayo yote hayo yameshaonyesha kufanikiwa...
Tukio lililotokea jana la Mheshimiwa Membe Kutangaza Kujitoa "RASMI" ndani ya chama cha CCM sisi wapenzi wa Demokrasia tumelipokea kwa furaha kubwa, na kwa hakika limethibitisha jambo moja kuhusu Mheshimiwa Membe, nalo ni kwamba Brother Bernard Kammilius Membe hatanii, habeep, Anapiga!. Sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.