JINSI MAMA ALIVYOWAPIGA CHENGA YA MWILI WAPIGA KELELE WA MITANDAONI....
Baada ya Mama kutangaza kuwa angeteua hata wa upinzani kuitumikia serikali...vijana wa Chadema na ACT humu mitandaoni wakaanza kuota Ndoto za mchana..!!
Waliamini kuwa hao watakaoteuliwa toka upinzani basi watatoka vyama...
Tunaweza tusikichukulie kwa jicho la tatu ila kitendo kilichofanywa na yanga ni cha kishujaa na manufaa makubwa ya soka letu. Kama hii mechi ingechezwa leo saa 1 usiku basi tayari ndio ingekuwa michezo ya TFF kila siku kucheza na ratiba kwa sababu wangejua kumbe hakuna kitu chochote...
Habari wakuu,
Natumaini kila mmoja anaendelea vyema. Leo nimeona nitumie haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kutoa maoni. Pia nina uhakika wa uhuru baada ya kutoa maoni kwa sababu huu uzi haugusi mamlaka za kidola bali viongozi wachache wanaopotosha umma.
Jana nilitazama video iliyokuwa...
Wilaya hizo ulinzi wake umelala sana.
Watu wanataka nusu usingizi huku wakijilinda kea wasiwasi.
Ifike kipindi wezi wawe wanaiba vitu ambavyo wenyewe hawaviihitaji.
Letengenezeni Mazingira muwasaidie wananchi. Matukio ya wizi ni mengi mno. Tembeleeni vituo vya polisi mujionee orodha ya wizi...
Kupitia awamu ya tano ya uongozi wa kisiasa wa Hayati JPM Nchi ilishuhudia madhara madogo sana yaliyoletelezwa na Corona jambo ambalo hata kwa hatari tuliyoitarajia ya kimbuga Jobo huenda nayo isiwe na madhara tarajiwa.
Ikumbukwe kutokea tarehe 21 mwezi huu wa 4 nchi kupitia vyombo vya utabiri...
Kiukweli ni ngumu sana kuchambua kati ya mkimbizi na gaidi,nani anaweza kuwachambua? Msumbiji wilaya moja ndio ina magaidi kwanin wanamsumbiji wasikimbilie maeneo mengine ya nchi yao?
Kuwakubali wakimbizi wa Msumbiji ni kukubali kuishi na 🐍 siku yoyote atakung'ata tu.
Chanzo:Waziri wa mambo...
Huwa sipendi kuwachosha wanajukwaa naenda moja kwa moja kwenye maada.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa " kuna kero ya board ya mikopo ya elimu ya juu hususni sheria mpya ya mwaka 2016.
Sheria hii mhe Rais ni kandamizi kwa sababu ya mambo mawili,mosi sheria hii inatumika kuwakata...
Nampongeza mama kwa hotuba nzuri yenye kuleta tabasamu kwa maisha ya watanzania kwani hotuba yake imejaa maneno ya faraja kwenye maisha ya watanzania hasa sisi wa kipato cha chini mama kagusa sehemu muhimu na nyeti kaona kua sisi wananchi wachini hatuna hela mama kaaidi kuweka mazingira mazuri...
Watu tayari wameshaanza kufurika Uwanja wa Amani Zanzibar.
====
MWILI WA HAYATI DKT. MAGUFULI WAWASILI ZANZIBAR
Mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli umewasili Visiwani Zanzibar ukitokea Makao Makuu ya Tanzania, Dodoma, ambapo shughuli ya kumuaga kitaifa ilifanyika jana Machi 22, 2021.
Mwili wa...
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
"Katiba hii imenipa Madaraka makubwa sana, siku atakuja mtu...
Habari zenu wanajamvi.
Nawasalimu katika Jina Kuu la Bwana wetu Yesu Kristo lipitalo majina yote. Ni wakati mwingine tena ambao kwa upendeleo Mungu ametupa hapa duniani kuwepo na ni jambo la kumshukuru sana mungu kwa mambo yote ambayo ametutendea katika maisha yetu.
Napenda kibinafsi...
Askofu JUDE THADEUS: Asante mlovaa barakoa/nawalaum msiyo Vaa/Hali n Tete. Ameyasema katika mazishi na kaongea mengi sijui kama hii Serikali hii itamuachaa
Pitia video
Britannica
Huu ujumbe umekuwa unasikika mara nyingi sana hata kama unapiga simu kutoka Tigo kwenda Tigo au Halotel au mtandao mwingine usiohusiana kabisa na Vodacom. Je kuna kuhujumiana kunafanyika humo mitandaoni?
Wadau,
Kama wiki mbili zilizopitwa nilipatwa na mafua makali na homa, nikadhani ni hali ya kawaida nikimeza Coldril nitakuwa poa kama ilivyo ada yangu ikizingatiwa nina allergy na suala la mafua na kupiga chafya ni hali inayotokea mara kwa mara.
Lakini la kushangaza mafua ya safari hii...
Nawasalimu Wana-JF wote; heri ya mwaka mpya 2021.
Mnamo tarehe 07/12/2020 niliandika malalamiko yangu hapa JF kuhusu mzigo wangu kupotelea Posta tangu tarehe 13/3/2020; ambapo hatua za kufuatilia mzigo huo hazikuzaa matunda, mpaka nikafikia hatua ya kuandika malalamiko hayo JF kwenye link hiyo...
Wanajanvi hii ni special thread ya pongezi kwa His Exc. Magafuli kwa udhati wa kutusaidia wanabagamoyo pamoja na kuwa Mwanawetu mwenyewe alikuwa Rais, Mwanawetu Mwenyewe alikuwa Waziri wa Ujenzi na Baadae Elimu kwa kipindi Kirefu sana.
Mtani Magufuli, tumeona Kamji ketu ka Bagamoyo...
Mungu ni mkuu, hakika anastahili heshima, utukufu na adhama. Katikati ya miungu hakuna kama wewe BWANA nitakutukuza wewe, nitalifu jina lako siku zote, nitakuabudu wewe tu.
Kamwe sito abudu wala kuyasifu matendo ya mikono ya watu iliyojaa udhalimu na damu zisizo na hatia.
Pesa kwangu daima...
Naam, miaka 4 ya nenda - rudi kortini imehitimishwa leo baada ya hukumu ya mwisho kusomwa mahakamani.
Nachukua fursa hii kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake katika safari hii; nawashukuru ndugu na familia kwa kuwa nami bega kwa bega katika kesi hizi na kunitia moyo; nawashukuru uongozi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.