Ni Upendo Imani na Miujiza tu kuwapata watu wenye roho ya kujitolea ya kuwasaidia wengine. Wakati Msanii wa miondoko ya HIPHOP Chidbenz akihojiwa radio Wasafi FM kipindi cha malavidavi alipata nafasi ya kueleza namna Dr Mwigulu alimtafuta kwa udi na uvumba kumsaidia pale alipopata janga la kuwa...
Waziri Mkuu asante kwa kuwa mgeni wetu, Mbeya.
Mgeni akikutembelea lazima watoto watapona.
Mara ya mwisho Kassim Majaliwa kuja Tukuyu tunakumbuka sana, ilikuwa kuiwakilisha serikali wakati ule alipouwawa John Mwankenja, Mwenyekiti wa CCM Rungwe.
Kassim Majaliwa wakati huo alikuwa Waziri Mdogo...
Kwanza nampongeza serikali kwa uamuzi iliofanya wa kuweka miji safi na kuona mbele. Ni jambo jema sana ila kwenye kuondoa vibanda pia nimeona hakuna fair kabisa.
Baada ya mpango huo je wale watakaorudi mtaani serikali itachukua hatua gani kama uhalifu ukiongezeka? Je imejipanga kukabiliana...
KATIBU MKUU UVCCM: ASANTE NA SHUKRANI KWA CHAMA CHETU CHA MAPINDUZI.
Na
Kenan L. Kihongosi
KATIBU MKUU UVCCM
Kwanza namshukuru MWENYEZI MUNGU kwa uzima na Afya njema.
Pili nakishukuru Chama Cha Mapinduzi sambamba na Mweyekiti wake ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania...
Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha...
Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine.
Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? Wapeni Maji wanywe, Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote.
Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
Baada ya Timu ya wananchi kufungwa mama katoa mkeka wa Baraza la mawaziri.
Watu wamesahau kipigo cha Yanga sasa ni kujadili baraza la mawaziri.
Ajenda imehama.
Nilishuhudia enzi za kujifukiza na kula malimao, ndimu na pilipili kichaa wizi mkubwa shambani kwangu wa mazao hayo.
Tangu Mwendazake aondoke, sasa kila kitu hakina soko /soko limekuwa kama limeisha/limepungua baada ya advocate wa tiba hiyo kuondoka.
Asante Bwana Yesu siibiwi tena
Post yenyewe inapatikana hapa;
Kilango sasa awageukia akina Slaa
Jun 25, 2008
Add bookmark
#48
For the past two years, I have been following very closely what is taking place in this blog, Jamii Forum, as a guest. On May 31st this year, I decided to register as a member and I am glad I did...
"Tafadhali kama kwa bahati mbaya umempoteza au umepotezana na Ndugu yako kwa muda mrefu jaribu kumuangalia katika Jezi mpya ya Yanga SC unaweza ukampata"
Chanzo: Mchambuzi EFM na TvE Oscar Oscar
Wakati Oscar Oscar ( ambaye Personally ) namjua ni Simba SC lia lia alipochukua Fomu ya Kugombea...
Kuna maneno mawili ambayo ukiyachukulia kikawaida unaweza kuyadharau sana lakini ni maneno ya muhimu sana kuyatumia kwenye maisha yetu ya kila siku
1.SAMAHANI
Vyovyote utakavyoiweka iwe kumradhi, nisamehe, niwie radhi, tafadhali nk; ilimradi tu uoneshe kukiri/kujutia kosa ulilofanya...
Kwa mara ya kwanza jana (tar.17/07/21) nilipata joto halisi la ongezeko la kodi katika miamala ya simu za mkononi. Niliumia sana kwani nilishindwa kutoa kiwango fulani cha pesa kwa ukosefu wa hela ya kutolea. Lakini katika tafakuri yangu, nilijikuta namsifu sana Mhe. Rais Samia kwa ujasiri wake...
Kama tunavyojua, kwa mujiba wa katiba yetu Mheshimiwa Rais halazimiki kufuata ushauri wa mtu yeyote yule.
Hivyo basi tunapokuwa na rais msikivu tena anayefanyia kazi maoni na malalamiko ya watu wake ni baraka kubwa kwa taifa
Kwa sasa ukiangalia statement ya deni lako kwenye mfumo wa bodi ya...
Wife ananidai laki 7.
Take home yangu haifiki hiyo laki 7. Si mnajua jinsi bank wanavyokaba mpaka penalty. Hawana cha kuruka mwezi, wao kila mwezi wanachukua chao mapema.
Mkiuona mwezi nishtueni chap nipunguze laki 5 mbili atanisamehe nikimpa chips chumbani.
Mhe. Rais, nakushukuru na kukupongeza kwa kutekeleza ahadi uliyotoa ukiwa ziarani mkoani Mwanza juu ya kuteua vijana tu kwenye nafasi ya U-Dc.
Mhe. Rais kwa hakika umedhamiria kwa dhati ya moyo wako kuleta mabadiliko makubwa kupitia vijana. Naamini vijana ni jeshi muhimu La mabadiliko kwenye...
Klabu ya Simba SC ilipokuwa ikicheza Mechi zake huku 'Paka' wakionekana Uwanjani ghafla 'ikabatizwa' Paka FC hivyo sasa tunaenda sawa baada ya Kipa Metacha Mnata wa Yanga SC kuitafutia Yanga SC yake jina jipya la 'Mindole FC' hapa Mjini.
Kwa sasa Mtu yoyote tu wa Yanga SC akituita Simba SC...
Niliajiriwa 2013 tokea hapo sijawahi panda daraja.
Mwendazake alinyonya sana haki yetu.
Tena zile haki za kisheria kama increments ila mama ameponya majeraha ya msukuma.
Watumishi kwenye BAJETI 2021/22.
1. PAYE imeshushwa kutoka 9% mpaka 8%.
2. Bil 449 kwa ajili ya kupandisha vyeo watumishi...
Ni furaha kuona kamanda wa taasisi nyeti ya kupambana na rushwa anakuja kutoka polisi akiwa anajua mifumo yote ya utoaji haki ndani ya jeshi la polisi kujawa na rushwa kuanzia barabarani, jinsi trafiki na polisi wanavyochukua rushwa mpka vituoni hakika tuna imani kubwa na kamanda aende kuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.