asante

  1. K

    Asante baba, RIP Magufuli

    Naanza kwa kusema mimi ni kijana mdogo pro. CCM chama Mama Tanzania, wengine wanavuma kwa msimu kwa kupokezana wanaondoka. Kitaasisi nakiona chama changu kikitawala miaka mia kadhaa mbele. Acha tu niseme ukweli baada ya kusoma sana elimu dunia hasa ya Mashariki hususani China na Japan...
  2. J

    Asante Rais Samia kwa Sensa ya Kihistoria Tanzania

    Asante Samia kwa Sensa ya Kihistoria Tanzania Na Mwandishi Maalum. Twende Pamoja. Dar es salaam Hatimaye siku iliyokuwa ikingojewa sana na kila Mtanzania, iliwadia, ya tarehe 23 Agosti, 2022, na zoezi adhimu la Sensa likaanza nchini Tanzania. Zoezi hilo limejiri siku 170 tangu Mhe Rais Samia...
  3. L

    Asante Rais wetu kwa hotuba yako, Watanzania tupo tayari kuhesabiwa

    Kwanza pole kwa kazi mh Rais wetu na Asante kwa Hotuba yako ya kutuhamasisha ili tujiandae kuhesabiwa, mh Rais napenda kukuambia kuwa watanzania huku mitaani wamehamasika vizuri na wameelewa umuhimu wa sensa na wapo tayari kuhesabiwa Mh Rais napenda kukufahamisha pia kuwa zoezi Hilo...
  4. R

    Mtanzania asiyelipa Kodi anakuwa hana uchungu na nchi yake. Asante sana system kwa kuweka hili sawa

    Yaani sisi tuliokuwa na uchungu na Nchi yetu na rasimali za Tanzania tulionekana ni wapiga kelele tu. Hatukuwa wakurupukaji tu bali tuna uchungu na nchi yetu tunapoona Kodi zetu zikitumiwa vjbaya na viongozi. Hilo la kuhakikisha kila mtanzania, kinana, mzee, mke na mume wanalipa kodi sasa...
  5. Asante TBC FM: Leo nimeisikia sauti ya Hayati Edward Moringe Sokoine

    Habari za Asubuhi wakuu, hongera kwa maandalizi safi kwa ajili ya sensa na Makazi ya Mwaka huu hapo kesho 23/08/2022. Leo asubuhi muda kati ya saa mbili mpaka saa tatu. Nina furaha sana, kwa kufanikiwa kusikia sauti ya Hayati E. M. Sokoine kupitia Redio yetu ya Taifa ya TBC FM. Asante sana TBC...
  6. F

    Kwa mara nyingine, Asante JamiiForums

    Napenda kutoa shukrani zangu kwa jukwaa hili hasa members kwa jinsi mnavyo changia mijadala mbalimbali. Kwa namna ya pekee naushukuru uongozi wa jukwaa hili. Kwa mara nyingine tena nilileta humu KERO fulani na ikatatuliwa. Ikumbukwe Jana nilileta habari ya makarani kunyanyaswa na viongozi wa...
  7. T

    Pongezi: Asante kocha Zoran Maki kwa kuligundua jipu lililokuwa likiisumbua simba kwa muda mrefu, Jonas Mkude.

    Ahlanbik: Kongole kwa kocha zoran maki kwa kupata ushindi wake wa kwanza katika ligi kuu ya NBC hapo nchini Tanzania dhidi ya Geita Gold. Pia pongezi nyingi kwake kwa kumtoa nje kabla ya kipindi cha kwanza kumalizika ,the so called "legend" ,Jonas Mkude. Ni muda mrefu sasa mchezaji huyo mlevi...
  8. B

    Ikungi tunasema asante Waziri Mkuu Kasim Majaliwa

    IKUNGI TUNASEMA ASANTE WAZIRI MKUU MHE. KASIM MAJALIWA MAJALIWA. Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro amemshukuru waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kasim Majaliwa Majaliwa kwa kufanya ziara ya ukaguzi na kisha kuweka mawe ya msingi ya chuo cha mafunzo ya ufundi...
  9. L

    Asante speaker wetu mh Tulia Ackson mwansasu kwa mchango wako wa mabati mbozi

    Ndugu zanguni sote tunajuwa ya kuwa my Tulia no mbunge wa mbeya mjini, lakini katika Hali iliyowaacha Wana mbozi mdomo wazi Ni pale mh speaker alipokuja Jimbo la mbozi na wadau wake wa silent ocean na kuweza kusaidiaa mchango wa mabati karibu Mia mbili ili kuezeka vyumba vya madarasa katika...
  10. Asante Comrade Kinana, ni kweli Serikali ijenge barabara ya lami njia nane, Dar -Songwe

    Comrade Kinana ndio kiongozi wa kwanza wa ngazi za juu kabisa katika ungozi wa CCM kujionea kero za barabara iliyosuswa na Awamu kadhaa( kuanzia alipochaguliwa Waziri wa Ujenzi-Magufuli, Awamu ya Mkapa) katika ujenzi wa barabara nchini. Hapa mtandaoni tumelalamika sana , bila mafanikio, ubovu...
  11. Asante Rais Mwinyi, makandarasi wazawa tumekusikia!

    Baada ya sintofahamu ya kutimua makandarasi Zanzibar, leo Rais Mwinyi katoa tamko la kuwapoza makandarasi. Akiweka jiwe la msingi hospitali iliyojengwa na mkandarasi mzawa, amesema ataendelea kuwapa zabuni makandarasi wazawa miradi ya serikali. Hilo tunalipokea kwa moyo wa furaha, maana ndio...
  12. Majaribio ya treni ya umeme yafanyika

    Hii ndio iliyofanyiwa majaribio mbona kama itakuja ya hivyo tumepigwa pakubwa naona kama imepitwa na wakati.
  13. Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na Makala zangu elimishi za "Kwa Maslahi ya Taifa", Makala ya leo ni jinsi Rais Samia alivyo ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Rais Samia, Akifanikiwa kwenye hili, atabarikiwa sana na taifa la Tanzania, litabarikiwa! Natoa wito kwa wote...
  14. Asante Sana Urusi, Asante sana Vladimir Putin kwa kusimama kiume dhidi ya Mafedhuli

    Hivi umewahi kufikiria dunia ya leo ingekuwaje bila Urusi? Kwamba Marekani na washirika wake ndo wangekuwa na nguvu ya kusema na kutenda wanavyotaka ingekuwaje? Kwamba kila azimio kwenye baraza la Usalama wa UN turufu angekuwa nayo Marekani peke yake ingekuwaje? Hivi bila nguvu ya kijeshi...
  15. I

    Asante Rais Samia, Sasa ajira ni za kumwaga vijana wanafanya kazi tofauti na miaka mitano iliyopita

    Nakumbuka miaka mitano iliyopita ilikuwa ya matusi kwa vijana eti wajiajiri kinara wa kutamka hivyo akiwa ni rais na Ndugai. Sasa mama kaona Kulikuwa na tatizo mahara na Sasa both prive sector and public sector ziko active kutoa ajira. Kila aliyesoma angalau ana cha kufanya hata kama hakikidhi...
  16. Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru TAMISEMI kwa utendaji kazi bora

    Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru TAMISEMI kwa utendaji kazi bora uliotukuka hakika nyie ni mfano wa kuigwa. Tunatarajia mtatenda haki kuelekea wiki hii ya kuachia post za waliopata ajira
  17. Asante Rais Samia, Ila ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi

    Tunamshukuru sana Rais Kwa Miaka 7 ongezeko la mshahara linekuwa leo tena Kwa asilimia 23 kuzidi nchi nyingi zilizo tu zunguka Asante Rais wetu.Ila Ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha Kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi kwa ukweli kwamba wanafanyakazi hao wa...
  18. Asante sana Chadema kwa maamuzi yenu ya leo, nafarijika kuwa bado kipo chama makini chenye msingi imara, hakiyumbi wala hakiyumbishwi!

    Mimi pia si Chadema ila namshukuru Jenerali Ulimwengu kwa kusema niliyotaka kuyasema, ni wakati muafaka sasa madaraka yawe mikononi mwa wananchi wenyewe pale pale walipo Kitaifa, Kimkoa, Kiwilaya, Kitarafa na Kimtaa! Jukumu hilo linaweza kusimamiwa tu na chama imara ambacho kaulimbiu yake ni...
  19. I

    Asante mama kwa Sasa private sector iko strong kabisa

    Namshukuru Sana Samia ameifufua private sector baada ya kufa na kuanza kukejeli vijana eti wajiajiri wakati kiukweli kulikuwa hakuna sehemu au upenyo wa kutokea kila Kona ilikuwa ni vilio tu. Sasa hivi kila Kona Kuna fursa kiasi ambacho watu hawaoni tena umaana wa kuajiriwa serikalini tofauti...
  20. Asante Rais Samia Kwa Bidii za kujenga Uchumi

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwenye bidii za kichumi huko USA Mama anaupiga mwingi sana. Kazi na bata vinakuja tuvumilie kidogo nchi inafunguka Huu uzi ni wa kusifu wenye stress subirini hadi sherehe za IDD
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…