ashatu kijaji

Dr. Ashatu Kijaji (born 26 April 1976), is a Tanzanian academic and politician belonging to the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. She is a Member of Parliament for Kondoa and Deputy Minister in the Ministry of Finance and Planning.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Hon. Ashatu Kijaji Dr., RPC Masejo, TANAPA, Afande Tenga wa Police Tourism Unit-Arusha, Afande IGP

    Kuna Tour operator aitwae Frank Boniface ambae amekuwa sugu kwa kuwatapeli wageni haswa wafaransa kwa kupokea fedha na kutowapa huduma za utalii mkoani Arusha. Frank Boniface ambae kwa sasa yupo remande akishikiliwa na jeshi la police ana TALA ya mlima lakini anahadaa na kuwadanganya wageni...
  2. JamiiForums Tanzania Vifo vya watumishi sita wa uhifadhi Tabora, Dkt. Ashatu Kijaji. Je, anatosheleza kuendelea kushika nafasi ya Uwaziri wa Maliasili na utalii?

    Vifo vya watumishi sita wa uhifadhi Tabora, pamoja na vifo vya simba 11 na fisi wawili Ngorongoro, ni matukio mazito yanayohitaji uwajibikaji na majibu ya kina kutoka kwa Wizara ya Maliasili na Utalii. Kwa mtazamo wangu, matukio haya yanaibua swali kubwa kuhusu ufanisi wa usimamizi wa sekta ya...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Dkt. Kijaji: Tujali utu na maslai ya Mtanzania

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), amewataka watumishi wa wizara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kuhakikisha wanazingatia maslahi na utu wa Mtanzania wanapotoa huduma kwa wananchi. Dkt. Kijaji ameyasema hayo jijini Dodoma mara baada ya kuripoti kazini na kufanya...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ashatu Kijaji asema wanaokosoa wanapiga kelele, amwambia Rais Samia achape kazi

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji amesema wanaokosoa wanapiga kelele, amwambia Rais Samia achape kazi Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
  5. JamiiForums Tanzania Dk. Ashatu Kijaji: Wananchi msitupe majokofu ya zamani

    Serikali imewataka wananchi kuepuka kutupa majokofu ya zamani na vifaa vya kuzima moto vyenye kemikali zinazoharibu Tabaka la Ozoni au kuongeza joto duniani. Aidha, wananchi wanashauriwa kuepuka kuingiza nchini gesi zilizopigwa marufuku na vifaa vinavyotumia gesi haribifu kama vile majokofu na...
  6. JamiiForums Tanzania Ashatu Kijaji: Waziri Mwongo anaye endelea kubebwa na Serikali ya awamu ya 6

    Huyu mheshimiwa Ashatu Kijaji sijui anatuonaje. Huyu ndiye aliye ahidi kutoa taarifa ndani ya siku 7 kuhusu sakata la jezi feki zilizo kamatwa. Mpaka leo hajatoa taarifa na amekaa kimya kama vile hakuna kilicho tokea. Huyu aliwahi kuahidi kushughulikia mfumuko wa bei ya bidhaa za ujenzi ndani...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Achaguliwa Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri AfCFTA

    Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA Council of Ministers) kwa kipindi cha mwaka mmoja (1) kuanzia Desemba 07, 2023. Aidha, Waziri Kijaji ameongoza Mkutano wa 12 wa Baraza la...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ashatu Kijaji - Tanzania, China, Uturuki na Indonesia Kuendeleza Ushirikiano wa Kibiashara

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo kuhusu kuendeleza ushirikiano wa kibiashara baina ya Tanzania na Indonesia na Balozi wa Indonesia nchini Mhe. Tri Yogo Jatmiko Septemba 9, 2023 katika Ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Ashatu Kijaji: Limeni Miwa kwa Wingi Soko la Miwa Limekuwa Kubwa

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - LIMENI MIWA KWA WINGI, SOKO LA MIWA LIMEKUWA KUBWA Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewataka wakulima wa miwa kuendelea kulima miwa kwa wingi kwani soko la miwa limekuwa kubwa kutokana na ongezeko la viwanda vya sukari nchini. Dkt. Kijaji...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji awataka Wakulima kuongeza kasi ya uzalishaji wa Malighafi za Mafuta.

    Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji awataka Wakulima kuongeza kasi ya uzalishaji wa Malighafi za Mafuta. Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji(MB) amewataka wakulima hususani wanaozalisha malighafi ya viwanda vya mafuta ya kupikia kuongeza uzalishaji kutokana na uwepo wa viwanda vingi vya...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ashatu Kijaji: Zalisheni bidhaa zenye ubora unaohitajika sokoni

    Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ametoa rai kwa wazalishaji wa bidhaa zote za viwandani kuongeza jitihada za uzalishaji wa bidhaa kwa ubora unaohitajika sokoni na kwa kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu zilizowekwa ili kukabiliana na kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Awasili Ofisi za Wizara Mtumba Dodoma

    Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akikabidhiwa maua ya pongezi na watumishi wa Wizara hiyo alipowasili katika Ofisi za Wizara, Mtumba Dodoma, Julai 18, 2023, baada ya kuapishwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waziri wa Viwanda na...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara. --- PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Ashiriki Kongamano la Uhamasishaji Biashara Kati ya China & Afrika Nchini China

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI KATIKA KONGAMANO LA UHAMASISHAJI BIASHARA KATI YA CHINA & AFRIKA AMBALO LIMEFANYIKA NCHINI CHINA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu K. Kijaji (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Bi. Rossella Lyu, Mkurugenzi wa Kampuni ya Greenchain ambayo...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Akitaka Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC) Kusimamia Mikataba ya Wawekezaji

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI AKITAKA KITUO CHA UWEKEZAJI (TIC) KUSIMAMIA MIKATABA YA WAWEKEZAJI Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akitaka Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kusimamia mikataba ya wawekezaji mahiri na wa kimkakati ili kujenga uchumi imara wa nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Aipongeza Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO ) kwa Ubunifu wa Vifaa Tiba

    WAZIRI MHE. DKT. ASHATI KIJAJI AIPONGEZA TEMDO KWA UBUNIFU WA VIFAA TIBA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji (Mb.) ameipongeza Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO ) kwa ubunifu wa utengenezaji wa mitambo mbalimbali kwa gharama nafuu pamoja na vifaa...
  17. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba na Ashatu Kijaji ni Mawaziri wenye utendaji unaotia shaka

    Mgomo wa Kariakoo umeibua mengi, lakini pamoja na kuonyesha madudu ya uncontrollable TRA na rushwa za nje nje zilizoishinda serikali kuzikabili, mgomo umeibua jambo serious la utendaji chini ya kiwango wa mawaziri wa Fedha na Mipango, pamoja na yule wa Biashara na Viwanda. Wiazara hizi lazima...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Ashatu Kijaji: Biashara Kariakoo zinaendelea, wafanyabiashara wametumia Demokrasia na Uhuru wao kufungua au kutokufungua

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 25 leo Mei 15, 2023. WAZIRI MASAUNI: SERIKALI HAIJAJIRIDHISHA URAIA PACHA NI MATAKWA YA WENGI Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema “Bado Serikali haijajiridhisha kwamba uraia pacha ni takwa la...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya utozaji wa ushuru

    WAZIRI ASHATU KIJAJI AAHIDI KUTATUA KERO YA UTOZAJI USHURU KWA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOA WA MANYARA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya utozaji wa ushuru wa Shilingi...
  20. JamiiForums Tanzania Dkt. Ashatu Kijaji azindua Jengo la Mionzi katika Hosipitali ya Wilaya ya Kondoa

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewataka watumishi wa afya katika Halmashauri ya Kondoa pamoja na Halmashauri ya Mji Kondoa kutoa huduma bora kwa wananchi kwa kuwa wananchi hao wanamatumaini makubwa ya kupata huduma kwa haraka na kwa uhakika. Ameyasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…