PreGE2025 Ashatu Kijaji asema wanaokosoa wanapiga kelele, amwambia Rais Samia achape kazi

PreGE2025 Ashatu Kijaji asema wanaokosoa wanapiga kelele, amwambia Rais Samia achape kazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji amesema wanaokosoa wanapiga kelele, amwambia Rais Samia achape kazi

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Sisi wafugaji na wavuvi tunamshukuru sana na hao wapiga kelele kule nje namuomba mhe Rais aangalie aya ya 14 na 15 sura ya 75 pale Mwenyezi Mungu aliposema bali kila nafsi ya mwanadamu inajuwa kile kilichofanywa na nafsi yake na kilichofanywa na ndugu yake, rais Samia achape kazi.
 
Ñi wale wanaotetea Matumbo yao.

Madudu ya Wizara ya mifugo Kila siku MPINA anayeweka wazi.
 
Huyu sio yule akishindwa na bei ya coca cola na akaharibu sana wizara ya biashara na viwanda
 
Back
Top Bottom