asia halamga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Asia Halamga: Aliyoyafanya Rais Samia Hanang yataishi milele

    Mgombea ubunge Jimbo la Hanang kupitia CCM, Asia Halamga amesema wema alioufanya mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM, Dk Samia Suluhu kwa wananchi wa Hanang utaishi milele.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Asia Halamga: Nyie ni Mkono wangu wa Kuume, mkinichagua nitakuja kulala kwenye Kata zenu

    Mgombea Ubunge Jimbo la Hanang Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Asia Halamga amesema kuwa m iwapo atapewa ridhaa ya kuwa Mbunge Wa Jimbo hilo atahakikisha anamalizia miradi iliyoanzishwa anamalizia na kujenga miundombinu ya huduma muhimu Katika kata ambazo hazijafikiwa na huduma hizo. Halamga...
Back
Top Bottom