GE2025 Asia Halamga: Aliyoyafanya Rais Samia Hanang yataishi milele

GE2025 Asia Halamga: Aliyoyafanya Rais Samia Hanang yataishi milele

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Mgombea ubunge Jimbo la Hanang kupitia CCM, Asia Halamga amesema wema alioufanya mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM, Dk Samia Suluhu kwa wananchi wa Hanang utaishi milele.

 
Chawa mnashangaza sana. JF imefungiwa na serikali yenu lakini kutwa kucha mnaweka mabandiko ya Samia humu je mmeshindwa kuyaweka huko Facebook na Instagram?

Kabisa nawewe unateseka kufungua VPN?
Maana hii hata ninyi wenyewe(chawa) hamkubaliani na hili la kufungiwa ila kwa vile akili na upeo mshaacha chooni mpo tu kama nzi aliyekoswa uozo(mavi)
 
Mgombea ubunge Jimbo la Hanang kupitia CCM, Asia Halamga amesema wema alioufanya mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM, Dk Samia Suluhu kwa wananchi wa Hanang utaishi milele.

A bit too late
1759631492849.jpg
 
Back
Top Bottom