askari

An askari (from Somali, Swahili and Arabic عسكري ʿaskarī, meaning soldier, or military) was a local soldier serving in the armies of the European colonial powers in Africa, particularly in the African Great Lakes, Northeast Africa and Central Africa. The word is used in this sense in English, as well as in German, Italian, Urdu and Portuguese. In French, the word is used only in reference to native troops outside the French colonial empire. The designation is still in occasional use today to informally describe police, gendarmerie and security guards.During the period of the European colonial empires in Africa, locally recruited soldiers designated as askaris were employed by the Italian, British, Portuguese, German and Belgian colonial armies. They played a crucial role in the conquest of the various colonial possessions, and subsequently served as garrison and internal security forces. During both World Wars, askari units also served outside their colonies of origin, in various parts of Africa, the Middle East and Asia. In South Africa the term refers to former members of the liberation movements who defected to the Apartheid government security forces.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbeya: Watelekeza bastola na risasi kumi baada ya kushtukiwa na askari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limekamata bastola na mkasi mkubwa zilizotelekezwa na watu wawili ambao bado wanaendelea kutafutwa na jeshi hilo. Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Mbeya, Ulrich O. Matei amesema leo Machi 28., 2022 majira ya saa 06:30 asubuhi maeneo ya Uhindini, Kata na Tarafa ya Sisimba...
  2. B

    KIBOSHO: Askari wanaofanya operesheni ya kuua mbwa waua Binadamu,baada ya mbwa alielengwa kukwepa

    Tukio limetokea usiku huu,maeneo ya KIBOSHO kindi, ambapo mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Munishi, Afariki dunia baada ya kupigwa risasi ya kifua ktk operesheni ya kuua mbwa wanaozurura hovyo inayoendelea huko KIBOSHO. Wamarangu, Wauru,wamachame,waold Moshi,wamasama,warombo tumefiwa huku...
  3. S

    Duterte: Sitotuma wanajeshi wangu kuisaidia Marekani kama Marekani ikijiingiza vitani Ukraine

    Rais mtata wa Ufilipino (The Philippines), Rodrigo Duterte, jana amesisitiza kuwa nchi yake itaendelea kuwa nyutro (haitochukua upande wowote) ktk vita vya Russia nchini Ukraine. "Nchi nyinginezo pamoja na Ulaya zitaangamia kama Russia ikiamua kufanya mashambulizi ya maangamizi. Hivyo, ni bora...
  4. Waliohusika tukio la askari kumuua raia Kigoma kwa risasi wachukuliwe hatua, Serikali yaombwa Jeshi la Polisi lichunguzwe

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani tukio la mauaji ya Juma Ramadhan (35) kupigwa risasi na askari wakati Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma likidhibiti vurugu, Machi 14, 2022 katika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma. LHRC imetoa wito hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi ya afisa...
  5. Shinyanga: Askari anayemlinda mwekezaji adaiwa kumuua kijana kwa risasi, wananchi wamlilia Rais Samia

    Mkazi mmoja wa Kitongoji cha Mwamala, Kijiji cha Igumanghobo, Kata ya Idukilo Mkoani Shinyanga aliyekuwa akichimba madini katika Kijiji cha Mwang’holo, Kata ya Mwadui Lohumbo anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na askari polisi wanaolinda eneo la Mwekezaji Kampuni ya El-Hillal Minerals Ltd...
  6. Askari wa jiji wapokea kipigo toka kwa machinga mtaa wa Samora

    Baada ya kuchoshwa na uonevu wa askari wa jiji ambao wamekua wakiwavamia machinga na kuharibu mali zao. Leo askari hao wameonja joto ya jiwe baada ya kupokea kipigo na kuamua kukimbia na virungu vyao. Hiyo ni salamu tosha kabisa kwa wahusika kuachana na utaratibu huu unaokiuka utu kwa raia...
  7. Mtwara: Kesi ya mauaji inayowakabili askari saba yapigwa kalenda, mshtakiwa aweka ‘POZI’ kupigwa picha

    "Mmeridhika?" ndivyo anavyosikika Ofisa Upelelezi (OC CID) Wilaya ya Mtwara, Gilbert Kalanje na mshtakiwa namba moja wa kesi ya mauaji inayowakabili maafisa saba wa Polisi mkoani Mtwara huku kesi hiyo ikiahirishwa. Kalanje na maofisa wenzake sita leo Jumanne Machi 8, 2022 wamefikishwa katika...
  8. Askari waonywa kutotumia lugha za kifedhuli, waambiwa rushwa ni chanzo cha ajali

    Kamishna wa Polisi Zanzibar, CP Awadhi Juma Haji ametoa maelekezo kwa Jeshi la Polisi kufanya oparesheni za kukamata madereva wote ambao wataendesha abiria bila kuvaa kofia ngumu katika pikipiki, kuendesha kwa mwendo kasi, kuendesha gari bila leseni na makosa ya kuegesha magari hovyo...
  9. Simiyu: Mkuu wa Mkoa ahoji kuhusu askari anayetuhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi

    Picha: Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila mwanzoni kulia Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila ameagiza kupata maelezo ya kina juu ya hatua zilizochukuliwa na Jeshi la Polisi dhidi ya askari, Nuru Mtafya anayetuhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi anayejulikana kwa jina la Neema Mabula wa...
  10. Mtwara: Askari 7 wanaotuhumiwa kuua wafikishwa mahakamani

    Maofisa saba wa Polisi mkoani Mtwara wanaotuhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis (25) anayedaiwa kufariki dunia Januari 5, 2022 akiwa mikononi mwa polisi, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mkoani Mtwara kwa ajili ya kesi yao kutajwa leo Jumanne Februari 22...
  11. Waziri Mbarawa yuko sahihi, Askari wa Traffic wanachangia ugumu kwenye sekta ya Usafirishaji

    Waziri Mbarawa yuko sahihi Askari wa Traffic wanachangia ugumu kwenye sekta ya Usafirishaji Alikuwa akiongelea kuhusu kupunguzwa kwa vituo vya mizani ili mizigo iwahi inakoenda alisema ni vizuri na askari was Traffic wakapunguza usimamishaji magari ili mizigo iwahi inakoenda Naunga mkono hoja...
  12. Waziri Masauni: Matukio ya mauaji nchini yananinyima usingizi

    Picha: Mhandisi Hamad Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, amesema tangu ateuliwe kuongoza Wizara hiyo yapo mambo mawili yanayomnyima usingizi ikiwemo mauaji yanayotekelezwa na baadhi ya watu kwenye jamii pamoja na baadhi ya askari kufanya vitendo kinyume na maadili...
  13. Askari Polisi wahusishwa matukio ya ukeketaji Mara

    Baadhi ya askari wa polisi wa Kanda Maalum ya Tarime/Rorya wanadaiwa kuwa kikwazo katika mapambano dhidi ya ukeketaji kwa kuwalinda watuhumiwa kutokana na ushawishi wa rushwa. Tuhuma hizo zimeibuliwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Amon...
  14. J

    Mtoza Ushuru, Askari, Daktari Muuguzi na Mwalimu ni kazi za WITO. Siasa ni uasi wa shetani aliouasisi pale Bustani ya Eden

    Kinacholisumbua taifa letu la Tanzania kwa sasa ni kwamba watu hawajakaa kwenye nafasi zao kama walivyojaaliwa na mwenyezi Mungu kwa karama walizopewa. Kazi za Wito yaani kiutumishi kwa mujibu wa maandiko matakatifu wamewekwa watu wasio na karama nazo. Ndio unaona TRA, Polisi na Hospitali...
  15. N

    Tangu nikiwa mdogo nimekuwa na ndoto za kuwa askari (mwanajeshi)

    Habari zenu wanaJF? Tangu nikiwa mdogo nimekuwa na ndoto za kuwa askari (mwanajeshi), lakini dunia ina mambo mengi, mpaka sasa nimeshindwa kutimiza ndoto hiyo. Nimeajiriwa lakini sina furaha, why? Kwasababu nafanya kitu ambacho hakipo moyoni mwangu. Kwasasa nina umri wa miaka 29, kwa umri...
  16. Udhaifu wa taarifa ya askari aliyejinyonga Mtwara

    Aliyeandaa ile taarifa kama hakukurupuka basi ana agenda ya siri ama hakuwa timamu kiakili, tangu kuiandaa mpaka kuisoma na pengine sasa anajutia makosa ya wazi yanayoacha shaka kubwa! Jamii, wazazi na ndugu wa marehemu wana hamu ya kujua ni nini hasa kilimaliza uhai wake! Baadhi wanatuhumu...
  17. Jeshi la Polisi lasema askari aliyejinyonga alikuwa peke yake mahabusu

    Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi kuelezea tukio la Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Grayson Mahembe kujinyonga katika mahabusu alipokuwa anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mussa Hamisi, mkoani Mtwara. Wamesema askari huyo baada ya kutoa maelezo alifungiwa mahabusu peke yake...
  18. M

    Polisi force Tz: Fahamu taratibu za mazishi kwa askari . Askari aliyejiua hazikwi kijeshi

    Tuelewane!!! #UmojaWetuNdioNguvuYetu https://t.co/pYpOG00jIv
  19. Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

    Dunia inazunguka kwa kasi. Askari huyu, tarehe 23.3.2017 alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais Magufuli kwa sakata la Makonda kuvamia Clouds FM usiku. Leo hii ni miongoni mwa maaskari waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji mfanyabiashara mkoani...
  20. B

    Makomando na askari wa karne hii ni watu wenye nguvu za mwili au wanapaswa kuwa watu wenye upeo mkubwa wa kufahamu mambo(IQ kubwa)?

    Wakati tunapita JKT miaka 80+ kigezo Cha uaskari kilipimwa Kwa mambo yafuatayo; 1. Urefu 2. Mwonekano wa umbo 3. Uwezo wa kupiga paredi 4. Smartness Kwa maana ya unadhifu wa mavazi. 5. Unoko Watu wenye sifa zilizoelezwa hapo juu bila kujali uwezo wao wa kufikiri,kupambanua mambo na kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…