TAWALA ZA AFRIKA NA BIASHARA YA NISHATI
Tutanunua umeme kutoka Ethiopia kwa ajili ya mikoa ya Kaskazini. Mikoa hiyo ina barabara nzuri, nyama choma nyingi na watalii wengi lakini haina uhakika wa umeme.
Kenya itatumika kama posta. Itapokea kifurushi toka Ethiopia na kukikabidhi Tanzania. Hakuna...
MIAKA 5 IMEPITA LAKINI Dr. BASHIRU BADO HANA MPINZANI!
Miaka 5 iliyopita, siku kama ya leo, Dr. Bashiru Ally, akiwa Katibu Mkuu wa CCM, alisema maneno mazito. Kwa maoni yangu, hayajajibiwa mpaka leo. Naheshimu kimya chake ambacho kina nguvu kuliko maneno yake. Ni juu yetu kudadavua uzito wa...
Salamu za Kwaresima toka kwa Baba Askofu Bagonza (PhD).
DHAMIRI SAFI, DIRA YA TAIFA
Tuongozwe na Katiba?
Tuongozwe na Mtu?
Tuongozwe na Dhamiri?
Tuongozwe na Chama?
Tuongozwe na Vyombo?
Niliwahi kukumbusha:
Kule kwa jirani, “Hawa walipaza sauti, Wale wakanyamaza. Lakini sasa, kila mwaka...
Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini.
https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
4R's za mh.Rais Samia zina mawanda mapana sana.
REFORM:
Huko nyuma hatukuona ujenzi wa barabara zetu wakipewa "PPP-ubia wa sekta binafsi na serikali" zaidi ya hatua za wizara ya uchukuzi(ujenzi)pekee.
Mh.Rais Samia amekuja na mikakati hii mipya akiichagiza "REFORM" kwa kuihusisha "PPP" na...
Askofu Bagonza aeleza namna 4R za Rais Samia Suluhu Hassan zilizotekwa na baadhi ya watu kwa kushindwa kuzifuata kama alivyokuwa akitaka Rais zifuatwe.
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya...
Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe, Askofu Benson Bagonza achukizwa na kamata kamatwa inayofanywa na Jeshi la Polisi kwa Viongozi wa Walimu wasio na ajira ambao wamejitokeza kuikumbusha Serikali juu ya hatma yao ya haki ya kupata ajira ambayo wameisubiri kwa muda mrefu tangu walipo...
Tunaikaribia Nigeria. Mambo haya yanaathiri utambulisho wa taifa letu. Baadhi yetu tumefaidi matunda ya jina zuri la taifa letu ndani na nje ya mipaka. Jina hilo lilijengwa kwa gharama kubwa na waasisi wa taifa letu. Popote ulipojitambulisha ni Mtanzania, watu waliinama kwa heshima kubwa...
"Si dalili njema kuona vijana wengi wameanza kushabikia uongozi wa kibabe (Trump na Traore) huku wakibeza demokrasia. Na wengine wengi wanamkumbuka JPM na kutamani arudi. JPM alikuwa na mazuri yake lakini si katika eneo hili la demokrasia na utawala bora. Tushtuke na Tuamke. Madai ya mabadiliko...
Na Askofu Bagonza
RAIS SAMIA HALAZIMIKI KUFUATA NJIA YA JPM KUHUSU CHAGUZI ZETU:
Ndiyo. Rais Samia anatoka chama kile kile alichoongoza hayati JPM.
Ndiyo. Rais Samia alikuwa Makamu wa JPM, lakini HALAZIMIKI kurithi misimamo ya JPM kuhusu chaguzi zetu na mahusiano mabaya na vyama vya upinzani...
Anaponda kauli ya CCM wanayosema CCM itakaa madarakani hadi Yesu atakaporudi
Wanasiasa wanaoelewa nini maana ya siasa wamekwisha sasa
Anazungumzia hofu kubwa za kutekwa kwa watanzania kutokana na kuwa na mawazo tofauti na serikali
4R imetekwa na hakuna utekelezaji tena
Walio madarakani...
ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Benson Bagonza amechambua ushindi wa Tundu Lissu na kushindwa kwa Freeman Mbowe kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Juzi Kamati ya Uchaguzi wa CHADEMA ilimtangaza...
Askofu Benson Bagonza anaandika...
"Naandika kupongeza. Sina pole za kutoa. Nawapongeza Mwenyekiti (CHADEMA taifa) Tundu Lissu na Makamu wake, mtani wangu John Heche. Hata mimi siamini kama mmeshinda lakini sina pa kukata rufaa. Mwaka huu nina bahati sana. Makamu wote wa vyama vikubwa ni watani...
WARSHA KUHUSU MAFUNDISHO POTOSHI
Katika kongamano lililowaleta viongozi kadhaa wa dini mbalimbali Tanzania, baba Askofu Bagonza alichangia mada
Bagonza ataja hatari SITA kuhusu Mafundisho potoshi. Wewe zako ni zipi?
https://m.youtube.com/watch?v=ZGhFhp6v6WE
Baba Askofu Bagonza amesema kuna...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, ameonyesha wasiwasi wake juu ya hali ya demokrasia ndani ya vyama vya siasa nchini, akisisitiza kuwa vyama vingi vimejikita katika kuongozwa na viongozi badala ya kuheshimu matakwa ya wanachama...
Vyama vyote vya siasa hapa nchini ni vyama vya viongozi, siyo vyama vya wanachama. Vyama vyetu vya siasa hapa nchini vina tatizo moja kubwa, ni vyama vya viongozi sio vyama vya wanachama. Matashi ya wanachama hayaheshimiwi na viongozi, kwahiyo nani anagombea nani hagombei kwangu siyo tatizo...
SHUKRANI na USALITI
Wapendwa marafiki wa ukurasa huu wa Kalikawe Lwakalinda Bagonza, napenda kuwashukuruni nyote kwa kuniombea na kunitakia heri katika siku yangu ya kuzaliwa (6 Desemba).
Salaam zenu na pongezi zenu kwa maelfu zilinitia moyo na kuongeza deni lisilolipika.
Kwa njia hii pokea...
Askofu Bagonza ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook;
Mwaka 2019 tulitangaziwa kuna uchaguzi. Likawa shindano la kujaza fomu. CCM wakashinda. Wapinzani wakarudi darasani kujifunza kujaza fomu.
Mwaka huu tukatangaziwa, safari hii ni UCHAGUZI KWELI. Tukainuka kuhamasisha watu...
KKKT Ina MKUU MMOJA TU
Naona KKKT imepamba moto kutokana na matamshi ya mmoja wa Maaskofu wake. Kwa kimbelembele nilicho nacho naomba umma wa watanzania uelewe yafuatayo:
1. KKKT ina Mkuu mmoja tu. Dereva wawili hawawezi kuendesha gari moja kwa wakati mmoja.
2. KKKT hakuna cheo kinaitwa “Mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.