askofu bagonza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Pre GE2025 Askofu Dkt. Benson Bagonza aimiminia sifa na pongezi Serikali ya Rais Samia kwa kutekeleza Miradi ya Maendeleo

    Ndugu zangu watanzania, Haya ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Askofu Dkt Benson Bagonza Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa...
  2. mwanamwana

    Pre GE2025 Askofu Bagonza: Ushahidi wa Marko Ng'umbi unasambaratisha uhalali wa TAMISEMI na tume “huru” kusimamia chaguzi kwa uhuru na haki

    Askofu Bagonza "Jumapili ya 1 September mosi 2024, mmoja wa watekaji wa 4R alijitokeza hadharani na kutoa siri kuwa alihusika katika kuvuruga Nchi na kufanya uhaini wa serikali dhidi ya wananchi, ni aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido anayeitwa Marko Henry Ng'umbi, Rais ametengua uteuzi wake...
  3. Inside10

    Askofu Bagonza: Tunahitaji nguvu ili kuharibu

    TUNAHITAJI NGUVU ILI KUHARIBU. Mzee Malecela aliwahi kusema, “urais siyo kubeba karai la zege”. Alimaanisha uongozi hauhitaji kutumia misuli na mitulinga. Mara nyingi tunahitaji kutumia nguvu ili kuharibu. Ili kujenga, kupatanisha, kutenda haki, kuridhiana na kutunza amani, tunahitaji HEKIMA...
  4. R

    Askofu Bagonza Aibuka Sakata la CHADEMA na Polisi Mbeya

    ASKOFU AMEONGEA MAMBO MAZITO SANA, MSIKILIZE https://www.youtube.com/watch?v=GTiX8kpt13U POINTS TAKEN FROM THE CLIP: 1. Walitumwa au walijituma na hao wanaotamani kubaki na chama kimoja, naona Zanzibar wanaota kuwa na chama kimoja 2. Kuna Uchawa 3. Tubadilishe mind set 4. Wanaipa chadema...
  5. Mmawia

    Askofu Bagonza, Watawala wanatuaminisha kuwa CHADEMA ndiyo chama tawala Tanzania.

    Askofu ambaye kimsingi hanaga uoga wala kujipendekeza ametema nyongo. Amesema anawashangaa watawala kuiogopa sana CHADEMA kwa kuwakamata wanachama na viongozi wa Chama hicho ambao walikuwa wanatekeleza hakim zao kikatiba. UVCCM walifanya au walishiriki hiyo kongamano na hata ACT Wazalendo pia...
  6. Inside10

    Askofu Bagonza na ukumbusho wa nukuu ya Mwl Nyerere mwaka 1990

    Utangulizi kama alivyoweka kwenye ukurasa wake wa Facebook "Unaweza kupigwa kwa niaba lakini huwezi kupiga kwa niaba. Huwezi kuua kwa niaba lakini unaweza kuuawa kwa niaba." Askofu Bagonza
  7. Inside10

    Askofu Bagonza: Ukiishi muda mrefu unawaona Mwambukusi wengi…

    UKIISHI MUDA MREFU UNAWAONA MWAMBUKUSI WENGI… Wanyambo wenye hekima husema, “Bora uporwe mali kuliko kuzeeka, kwa sababu ukiporwa mali, marafiki zako wanaweza kukuchangia ukawa na mali tena”. Mimi sasa ni mzee na nimewahi kuona “Vi-Mwambukusi” na “Ma-Mwambukusi wengi”. Nitaje? 1. Nilimwona...
  8. Frank Wanjiru

    Baba Askofu Bagonza: Jina la Edward lina maana kubwa Monduli

    Tar 17/2/2024 tumemzika EDWARD Lowasa. Miaka 40 iliyopita tulimzika EDWARD Sokoine eneo hilohilo la Monduli. Tulivyomzika Edward yule ndivyo tulivyomzika Edward huyu. Jina “Edward” lina maana kubwa katika eneo hilo. Yalikuwa mazishi yenye hadhi. Usingejua kama ni ya Waziri Mkuu Mstaafu. Hata...
  9. Frank Wanjiru

    Anaandika Baba Askofu Bagonza kuhusu Edward Lowassa

    Edward Ngoyai Lowasa ameondoka. Yuko mahali salama pasipo na mgao wa umeme wala usanii wa treni za umeme. Amepumzika baada ya kazi ngumu. Anapokufa mtu mzito kama Lowassa, kuna makundi matatu hujitokeza; 1. Wanaolia 2. Wanaofurahia 3. Wasiojua kama walie au wafurahie. Makundi yote matatu tunayo...
  10. BARD AI

    Askofu Bagonza: Makonda ni tatizo, dalili mbaya au suluhisho?

    Paul Makonda ni zaidi Katibu Mwenezi wa chama Tawala. Tumewahi kuwa nao wengi na wapo wengi wa vyama vingine. Hakuna kama Makonda uzuri na kwa ubaya. Kwa nini? 1. Kama Makonda ni tatizo basi halina suluhisho. Kwa sababu ndani ya chama tawala huyu ndiye ameonekana. Na kama huyu ndiye bora zaidi...
  11. CRISTA

    Askofu Bagonza acha kulichafua Kanisa la KKKT

    Hivi karibuni hapa Jamii Forum tumeshuhudia Tamko kutoka kwa Askofu Bagonza likimshutumu Aliyekuwa Askofu Mkuu wa KKKT Dr.Fredrick Shoo. Kauli hii inasikitisha sana ikizingatiwa ni Kiongozi Mkubwa sana wa Kanisa la KKKT. Maswali ya muhimu kwako 1.Kwa Nini uliamua Kutoa Mambo ya KKKT...
  12. BARD AI

    Askofu Bagonza: Rushwa imesababisha Bandari ifanyiwe kinachofanyika

    "Rushwa bandarini ndiyo imesababisha bandari ifanywe inachofanyiwa. Wakishapeana rushwa, serikali inakosa mapato, mizigo inachelewa, inapotea, na bandari limekuwa pango la majizi. Swali ni je, kila penye rushwa tuuze? tubinafsishe? tukabidhi sekta binafsi?" Askofu Benson Bagonza Chanzo: Jambo TV
  13. Ileje

    Busara ya Baba Askofu Bagonza kuhusu mkataba wa bandari

    BANDARI IMEUZWA au IMEKODISHWA? Suala la Bandari limekuwa gumzo. Hata Bubu wanaongea na woga unajaa ujasiri. Waliozoea kuongea wamekuwa bubu. Kwanini? 1. Je, imeuzwa au imekodishwa? 2. Je, imeuzwa au tumekodi mwendeshaji? 3. Je, ni kweli tayari imeuzwa, imekodishwa au kuajiri hiyo...
  14. J

    Askofu Bagonza: Tusitegemee uwajibika ripoti ya CAG

    ASKOFU Benson Bagonza amesema Rais ni sehemu ya bunge, Bunge haliwezi kuiwajibisha Serikali kwa kuwa Rais ni sehemu ya Bunge. "Rais ni sehemu ya bunge, Bunge haliwezi kuiwajibisha Serikali kwa kuwa Rais ni sehemu ya bunge, lakini Rais huyo huyo ndiye anayewateua Jaji Mkuu na majaji wengine na...
  15. benzemah

    Askofu Bagonza awashukia wanahabari, awataka waache kuandika kwa mihemko

    Watunzi wa vitabu na waandishi wa habari wametaki wa kuandika uhalisia kwa kufanya utafiti.na uchunguzi wa kuto sha ili kupata ukweli wa mambo badala ya kuandika kwa mihemko, jazba na visasi hali itakayosababisha. walaji wasipate kile kilichokusudiwa. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
  16. J

    Askofu Bagonza: Ili tusirudi huko tulikotoka Mifumo na Taasisi Imara ndio muhimu kuliko Super Woman au Super Mwamba!

    Askofu Bagonza wa KKKT Ngara amesema Ili tusirudi huko tulikotoka Mifumo na Taasisi Imara Ndio muhimu kuliko Super Woman au Super Mwamba Bagonza amesema takwa la Katiba mpya ni la Jana wala siyo la Leo na kwamba Watawala wanaihitaji Katiba mpya kuliko Watawaliwa Chanzo: Jambo TV
  17. BARD AI

    Mbowe na Askofu Bagonza kuongoza mapokezi ya Lema KIA

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe anatarajia kuongoza mapokezi na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Godbless Lema, Machi Mosi mwaka huu, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akiwa na viongozi kadhaa wa dini. Lema aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kuanzia mwaka 2010 hadi...
  18. Doctor Mama Amon

    Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

    Bagonza akiwa amemkumbatia Lissu Kwenye Uwanja wa Kayanga, Karagwe, 2020. Kuhusu sababu mojawapo ya uzushi angalia tofauti kati ya urefu wa kidole cha pili na kidole cha nne, ambapo duara A ni vidole vya Mlinzi wa Lissu vikionyesha kidole cha pili kikiwa kifupi kuliko kidole cha nne na duara B...
  19. masopakyindi

    Askofu Bagonza na Askofu Mwaipopo, msaidieni mwenzenu Dkt. Mwaikali kwa kumpa uchungaji Dayosisi zenu

    Kama unafiki wa kidini upo basi kuumbuliwa ni sasa. Dkt Mwaikali aliyekuwa Askofu Dayosisi ya Konde, kibarua kimeota nyasi. Sasa Maaskofu waliokuwa wakimpigia chapuo la nguvu ni Benson Bagonza wa Dayosisi ya Karagwe na Ambele Mwaipopo wa Dayosisi ya Ziwa Tanganyika Sumbwanga. Hawa Maaskofu...
  20. MIMI BABA YENU

    Askofu Bagonza tafuta miafaka ndani ya KKKT kabla ya kuingilia masuala ya siasa

    Inashangaza kuona kiongozi wa dini ambaye ni muasisi wa mgogoro uliopo ndani ya kanisa la KKKT katika jimbo la Konde. Ambapo ya baada Askofu Dk Edward Mwaikali wa Jimbo la Konde kuondolewa katika nafasi yake na uongozi wa kanisa hilo kutokana na sababu za kiutendaji, Askofu Bagonza aliifanya...
Back
Top Bottom