Na Baba Askofu Bagonza Kalikawe
HAYUKO HURU; YUKO NJE YA GEREZA
Niwakumbushe?
Mwezi Februari 1990, Nelson Mandela akatolewa jela. Akaja Tanzania kushukuru. Tukajipanga na mabango na kushangilia MANDELA IS FREE!
Akasimama Kambarage, akasema MANDELA IS NOT FREE, HE IS OUT OF PRISON. Kwa nini...
Jana Jumatano Machi 02, 2022 Viongozi wetu wa Dini walikutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kufanya nae mazungumzo mbalimbali pale Ikulu.
Katika hali iliyonishangaza Mimi na nadhani hata kwa Watanzania wengine wengi ni hatua ya Viongozi wa Dini kuomba Rais Samia na Mamlaka zake zitumie busara...
Askofu Dkt. Bagonza ameeleza haya baada ya Rais Samia kukutana Tundu Lissu, naa baadaye Lissu kuongelea kile alichozungumza na Rais.
Lissu anaweza kuwa amekosea kwenda in detail ya mazungumzo na Rais, na wasaidizi wa rais wanaweza kuwa wamekosea kurusha picha za Lissu kukaguliwa, kusisitiza...
Mgongano wa mawazo ndiyo afya, nchi inapitia ktk tetemeko la kisiasa baada ya kifo cha Rais aliyekuwa anahudumu
Askofu Bagonza atoa mawazo yake kuhusu masuala mbalimbali ya siasa na sayansi ya siasa.
Spika au rais wote wana huru wa kutoa mawazo yao wakiwa katika nafsi iliyo nje ya taasisi ya...
MAMA TUVUSHE, TUKUVUSHE
Yawezekana tulikuwa na Bunge bila Spika. Tunakoelekea tunaweza kuwa na Spika bila bunge. Bila ushabiki wala uzembe, tuangalie yafuatayo kwa makini:
1. Ukubwa wa CCM si mtaji, ni hatari. Bila upinzani imara, CCM ni sawa na chatu aliyefugwa ndani chungu cha mfinyanzi...
Tuna mhimili mmoja. IKUBALIKE BILA MANUNGUNIKO. Asubuhi Wanaupaka rangi ya serikali. Mchana wanaubadili rangi unakuwa mahakama. Jioni unapakwa rangi ya bunge. Hakikisheni rangi imo ya kutosha kwenye makopo na wapakaji wawe sharp ili kuokoa muda.
V
Kuna kitu hakiko sawa.
"Kufafanua kauli si kubadili kauli"
Hii imetokana na Spika Ndugai kumuomba msamaha Rais.
Ndugai ameombaje msamaha ikiwa amesema waliosambaza wamepotosha.
Je waliisambaza wameigiza sauti ya Ndugai?
By Talanta Mhanga kupitia twitter:
"Japokuwa Mbowe ni tofauti na Mandela, mbinu za kumshughulikia zikifanana na zilizomshughulikia Mandela, basi Mandela na Mbowe wanakuwa sawa; na waliomshughulikia Mandela wanakuwa sawa na wanaomshughulikia Mbowe. Tunahitaji nguvu ya hoja, si nguvu ya dola" -...
Maneno ya hekima kabisa haya ya baba askofu. Kwa hakika Askofu Bagonza ana hoja nzito:
Kwa hakika kumvisha JK yanayojiri awamu ya sita ni kumkosea sana. Anamalizia baba askofu kwa kusema:
Barikiwa sana baba askofu kwa kuendelea kutuchotea busara na uzoefu uliopewa na Mola wetu kila...
Wahenga walisema, "a fool and his money are soon parted!"
Si ajabu nchi iliyojaaliwa maziwa na asali hivi leo ni nchi masikini.
Je kuna haja ya kujiuliza tumefikaje huko kama Watanzania?
Adui wa taifa hili ni moja tu...aliyehatamia madaraka toka uhuru!
A fool and his money are soon...
ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Mkoa wa Kagera, Dk. Benson Bagonza ametoji maswali nane juu ya tozo za miamala ya simu na majengo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kagera … (endelea).
Tangu kuanza kwa tozo hizo, zimeibua mjadala kwa wananchi huku Serikali...
Askofu Bagonza ametweet kwakusema Kama unachefuliwa na wanaodai katiba mpya watakapokuja watakaomdai Ben Rabiu Saanane si ndio utatapika?
Nini maoni yako.
KWA UCHACHE TU
1. Matatizo ya kisiasa hayatatuliwi kisheria.
2. Matatizo ya kisheria hayatatuliwi Kisiasa.
3. Suala la Katiba Mpya lina sheria na siasa. Mazungumzo yasiyo na hila ndani yake hayakwepeki.
4. Walipokuwa tayari hakuwa tayari. Atakapokuwa tayari hawatakuwa tayari. Mtu wa tatu...
Anaandika Askofu Bagonza
Chanjo Mbowe ,Katiba mpya, Tozo za miamala na Rais Samia.
Mambo haya 5 yameshikilia mustakabali wa nchi kwa sasa. Amani, haki, Maendeleo na ustawi vinatikiswa. Jiulize:
1. Kwa nini itumike nguvu na jitihada za ziada kuwaaminisha watu wakachanje wakati afya ni mali...
CHANJO. MBOWE. KATIBA MPYA. TOZO ZA MIAMALA. RAIS SSH
Mambo haya 5 yameshikilia mustakabali wa nchi kwa sasa. Amani, haki, Maendeleo na ustawi vinatikiswa. Jiulize:
1. Kwa nini itumike nguvu na jitihada za ziada kuwaaminisha watu wakachanje wakati afya ni mali yao?
2. Kwa nini wana CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.