Askofu Dr Malasusa amesema Kiongozi ni lazima aweke gap kati yake na wale anaowaongoza vinginevyo haina maana yoyote ya wewe kuwa Kiongozi
Askofu Dr Malasusa amesema Kiongozi lazima awe na uwezo wa kutoa maamuzi yeye kama yeye na siyo kutegemea kushirikisha Watu wengine kwenye kila jambo...
Kiutaratibu na kikawaida, shughuli za KKKT zinazomhusisha Mkuu wa Nchi huwa zinahudhuriwa na Maaskofu wa Dayosisi zote za KKKT pamoja na Maaskofu Wastaafu.
Shughuli hizi pia huwa zinahudhuriwa na washirika wakuu wa KKKT ambao ni Baraza la Maaskofu Katoliki ( TEC)
Tofauti kubwa iliyoonekana leo...
Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amesema jana alifuatwa na muumini mmoja ambaye aliomba kuombewa ili afanikiwe kushinda ubunge
Askofu Malasusa Ametoa wito Wakristo wajitokeze kwa wingi kugombea nafasi za uongozi wa Kiraia na mara watiapo Nia wafike Kanisani kuombewa
Aidha Askofu Malasusa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.