PreGE2025 Askofu Dr Malasusa: Tujiepushe na kauli za kuvunja amani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amesema jana alifuatwa na muumini mmoja ambaye aliomba kuombewa ili afanikiwe kushinda ubunge

Askofu Malasusa Ametoa wito Wakristo wajitokeze kwa wingi kugombea nafasi za uongozi wa Kiraia na mara watiapo Nia wafike Kanisani kuombewa

Aidha Askofu Malasusa amewasihi watanzania wadumishe Amani kwani Yesu alipofufuka Kauli ya kwanza kwa Mitume na wanafunzi wake ilikuwa AMANI IWE KWENU

Source: Upendo tv

Sisi Johnthebaptist, Mzee Mgaya na Mchungaji Erasto tunawatakieni Pasaka njema

Haleluya 😁😁😁

=====
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa amehimiza Wakristo na Watanzania kwa ujumla kuendelea kutimiza wajibu wao wa msingi wa kulinda na kuitunza amani ya Tanzania, akiwataka kujiepusha na kauli zenye kuvunja amani na kuchochea ugomvi kwenye Jamii ya Kitanzania.

"Tunapaswa kutetea amani na kudumisha umoja. Hebu tuwe wapatanishi. Na ikiwa utakosa kitu cha kujenga cha kusema, ni bora kukaa kimya kuliko kuzungumza maneno ambayo yanaweza kuchochea migogoro," amesema Askofu Dkt. Malasusa.

Kwenye Ibada ya Jumapili ya Pasaka leo Aprili 20, 2025 kwenye Parokia ya Azania Front Jijini Dar Es salaam, Askofu Malasusa amewasisitiza pia Wakristo kufanya yale Mwenyenzi Mungu aliyokusudia mioyoni mwao na kujiepusha na mashinikizo mbalimbali ya kibinadamu yaliyo nje ya makusudi ya Mungu, akisisitiza kuenenda katika umoja na upatanishi kwenye Jamii.

Akizungumzia Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu ambao tayari maandalizi yake yameanza, Askofu Alex Malasusa kadhalika ametoa mwaliko kwa wanasiasa wa Vyama mbalimbali wanaopanga kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi huo kufika kanisani kwa ajili ya maombi badala ya kutafuta uwezeshaji mwingine nje ya Kanisa.

"Kama Wakristo, sisi pia tuna haki ya kupiga kura au kupigiwa kura," alisema Askofu Malasusa. "Wakati ukifika, ushiriki wetu katika mchakato wa uchaguzi usifanywe kwa kujificha. Wanaotarajia kugombea nafasi hiyo wanakaribishwa kufika kanisani kwa maombi, tutakuombea ili Mungu akuongoze katika safari hii, ukijisikia kuitwa njoo uombewe ili Mungu akuwezeshe kutafakari na kujiandaa." Amesema Askofu Malasusa.

Askofu huyo pia alitumia ibada ya Pasaka kuwataka Wakristo kote nchini kudumisha amani na umoja hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi. "Tutambue wajibu wetu wa kulinda amani. Mungu anatusihi tufanye hivyo-lazima tuwe mabalozi wa amani," alisema.

Screenshot 2025-04-20 205338.png
 
Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amesema jana alifuatwa na muumini mmoja ambaye aliomba kuombewa ili afanikiwe kushinda ubunge

Askofu Malasusa Ametoa wito Wakristo wajitokeze kwa wingi kugombea nafasi za uongozi wa Kiraia na mara watiapo Nia wafike Kanisani kuombewa

Aidha Askofu Malasusa amewasihi watanzania wadumishe Amani kwani Yesu alipofufuka Kauli ya kwanza kwa Mitume na wanafunzi wake ilikuwa AMANI IWE KWENU

Source: Upendo tv

Sisi Johnthebaptist, Mzee Mgaya na Mchungaji Erasto tunawatakieni Pasaka njema

Haleluya 😁😁😁
Huyu bwege ni mnafiki sana sana na hana kibali cha mungu sababu ya kushindwa kuusimamia ukweli
 
Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amesema jana alifuatwa na muumini mmoja ambaye aliomba kuombewa ili afanikiwe kushinda ubunge

Askofu Malasusa Ametoa wito Wakristo wajitokeze kwa wingi kugombea nafasi za uongozi wa Kiraia na mara watiapo Nia wafike Kanisani kuombewa

Aidha Askofu Malasusa amewasihi watanzania wadumishe Amani kwani Yesu alipofufuka Kauli ya kwanza kwa Mitume na wanafunzi wake ilikuwa AMANI IWE KWENU

Source: Upendo tv

Sisi Johnthebaptist, Mzee Mgaya na Mchungaji Erasto tunawatakieni Pasaka njema

Haleluya 😁😁😁
Malasusa nae anaongelea amani bila kutaja neno haki ,ni mshenzi tuu kama washenzi wengine
 
Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amesema jana alifuatwa na muumini mmoja ambaye aliomba kuombewa ili afanikiwe kushinda ubunge

Askofu Malasusa Ametoa wito Wakristo wajitokeze kwa wingi kugombea nafasi za uongozi wa Kiraia na mara watiapo Nia wafike Kanisani kuombewa

Aidha Askofu Malasusa amewasihi watanzania wadumishe Amani kwani Yesu alipofufuka Kauli ya kwanza kwa Mitume na wanafunzi wake ilikuwa AMANI IWE KWENU

Source: Upendo tv

Sisi Johnthebaptist, Mzee Mgaya na Mchungaji Erasto tunawatakieni Pasaka njema

Haleluya 😁😁😁
Malasusa amekula maharagwe ya wapi!?
 
Kheri ya pasaka na kwako mkuu yohanambatizaji.
Kwa vile chadema hawashiriki uchaguzi, tusubiri kwa G55 wahamie vyama vingine wakipokelewa ndo waende kuombewa huko KKKT.
Ila wakihamia vyama vya dini nyingine sijui kama atawaombea.
 
Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amesema jana alifuatwa na muumini mmoja ambaye aliomba kuombewa ili afanikiwe kushinda ubunge

Askofu Malasusa Ametoa wito Wakristo wajitokeze kwa wingi kugombea nafasi za uongozi wa Kiraia na mara watiapo Nia wafike Kanisani kuombewa

Aidha Askofu Malasusa amewasihi watanzania wadumishe Amani kwani Yesu alipofufuka Kauli ya kwanza kwa Mitume na wanafunzi wake ilikuwa AMANI IWE KWENU

Source: Upendo tv

Sisi Johnthebaptist, Mzee Mgaya na Mchungaji Erasto tunawatakieni Pasaka njema

Haleluya 😁😁😁
Hawa ndio viongozi wa dini sasa Taifa linafaa kuwaskiza, sio wale wahubiri chuki na migawanyiko, wa kupayuka na kuropoka kama vibaka na matapeli wa kidini madhabahuni 🐒
 
Malasusa ni Chawa. Mahubiri yake yanaandaliwa na Watawala.
 
Back
Top Bottom