askofu mameo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Mameo: Watendaji wa Serikali acheni kumdanganya Rais 'Mama hatukudai' wakati barabara hazipitiki

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Morogoro Jacob Mameo, akiongea katika ibada ya Ijumaa Kuu katika usharika wa Ifakara Mjini, ametoa wito kwa Watendaji wa Serikali kuto mdanganya Rais kwa kumwambia 'Mama hatukudai' wakati kuna mahali barabara hazipitiki.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Mameo: Taifa lirudi katika misingi ya Haki, agusia Tume Huru, na 'No Reforms' asema Ikulu imegeuka kuwa sehemu ya lawama

    Wakuu! Ibada ya Ijumaa Kuu Kitaifa imefanyika katika Kanisa la KKKT Ushirika wa Ifakara Mjini, Dayosisi ya Ulanga Kilombero, ambapo imetumia nafasi hiyo kueleza kuhusu hali ya kisiasa na kijamii nchini, wakati huu Taifa likielekea kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 2025. Akihubiria...
Back
Top Bottom