PreGE2025 Askofu Mameo: Watendaji wa Serikali acheni kumdanganya Rais 'Mama hatukudai' wakati barabara hazipitiki

PreGE2025 Askofu Mameo: Watendaji wa Serikali acheni kumdanganya Rais 'Mama hatukudai' wakati barabara hazipitiki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Morogoro Jacob Mameo, akiongea katika ibada ya Ijumaa Kuu katika usharika wa Ifakara Mjini, ametoa wito kwa Watendaji wa Serikali kuto mdanganya Rais kwa kumwambia 'Mama hatukudai' wakati kuna mahali barabara hazipitiki.

Pasaka ya spana hii, it time uchawa upigwe marufuku
 
Walutheri pia wapo vizuri. Hata wakati wa utawala wa marehemu, walitoa waraka mkali sana kukemea mambo yanayodhulumu haki za wananchi.

Ila safari hii sidhani kama wanaweza kuthubutu, maana watawala wamefanikiwa kumweka mtu wao kwenye uongozi wa Kanisa la KKKT.
Enzi ile ilikuwa askofu shoo sasa safari yupo mamluki wao MALASUSA hana maana
 
Back
Top Bottom