Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima amesema watanzania wengi hawaelewi athari za nchi kuwa uchumi wa kati.
Ni kwamba unapoingia katika kundi la uchumi wa kati zile fursa zote ulizokuwa unapata kama nchi maskini zinatoweka na usipokaza buti ni rahisi sana kurudi kwenye uchumi wa chini.
Chanzo: TBC...
Aitaka serikali kuongea na manabii wanaodai kufufua wafu ili wafufue wapendwa wetu?
===
Mbunge wa Mtambwe (ACT-Wazalendo), Khalifa Mohamed Issa amehoji "Serikali haioni wakati umefika kukaa na manabii wanaodai kufufua waliokufa, ili kuweza kuwafufua wapendwa wetu." N/Waziri Mambo ya Ndani...
Salamu za Askofu Gwajima wa Jimbo la Kawe kwa Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli alipoteuliwa na Mh.Spika kusalimia kwa niaba ya Wabunge wenzake, leo Bungeni Dodoma.
Mheshimiwa Spika, ninaomba nikushukuru sana kwa kunipa fursa hii ya kusema maneno machache kwa...
Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani.
Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani. Dunia nzima inagombania...
Askofu mkuu wa Kanisa la KKKT nchini Dr Shoo ameiomba serikali ya Rais Samia kuwapunguzia kodi katika shule na hospitali za taasisi za kidini kwani mxigo wa kodi ni mkubwa na umewaelemea.
Askofu Shoo ametoa ombi hilo mbele ya waziri mkuu mh Majaliwa katika ibada ya kumuweka kitimi Askofu Mbali...
Je mliokisoma kitabu hicho mliona nini kwenye maandishi yake ? hebu tusimulieni na sisi wengine tuelewe .
====
Inaonekana Spika Ndugai alisoma kitabu cha Animal Farm! Bunge chini ya uongozi wake halikumpa Tundu Lissu nafasi ya kusikilizwa na kujitetea, lakini alihoji akiwa katika Bunge hilo...
Askofu Mkuu Jude Thadeus Ruwaichi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam
Tarehe 01 Mei 2021, Kanisa Katoliki Duniani lilisherehekea sikukuu tatu kwa mpigo. Kuna kumbukizi ya miaka 130 ya waraka wa Papa Leo wa XIII uitwao “Mabadiliko ya Kimapinduzi (Rerum novarum),” kumbukizi ya miaka 30 ya waraka wa...
Baba Askofu amesema amefurahishwa sana na ziara ya kibinadamu iliyojaa utu inayofanywa na viongozi wa Bavicha ya kutembelea Magereza za Tanzania kwa lengo la kuwasalimia na kuwapa moyo Wafungwa na Mahabusu waliowekwa selo kwa miezi mingi kwa tuhuma za uongo za kisiasa zilizoshinikizwa kinyama na...
MOYO WA ASKOFU MWAMAKULA KWA TAIFA
Unatafuta kuongoza Kitongoji, Kijiji, Kata, Jimbo, Wilaya, Mkoa na hata Taifa. Lakini unapanda miiba njiani ili kuwazuia washindani wako. Unatafuta uteuzi au hata ushindani wa kibiashara au unatafuta kushinda tenda Serikalini, lakini unatega mabomu ili kutaka...
Baba Askofu ameongea hayo alipokuwa anahojiwa na gazeti la Mwananchi.
Amesema ni vema Rais Samia Suluhu akaanza na Katiba Mpya ili kutengeneza msingi imara wa Utawala bora ambao utazingatia haki.
Ameahidi kukutana na Mh Rais ili kumpatia ujumbe huu haraka iwezekanavyo.
-----
“Nikipata nafasi...
Mtazame na msikilize mwenyewe kisha tunaweza kusema na kujadiliana.
Huu ukosoaji enzi za Mwendazake John Pombe, ilikuwa hatari na pengine angeweza kunyang'anywa uhai bila kupenda.
Pengine pia, tunaweza kuamini zile tetesi za kuwa kuna zengwe linasukwa chini chini ili atemeshwe U-Spika kabla...
Mimi siongezi neno hapa
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amelishauri Bunge kuwa Sheria kandamizi zilizotungwa mwaka 2019 ikiwemo Sheria ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha zifanyiwe Marekebisho kwani kuna Maelfu ya watu Wamebambikiwa kesi hizo mpaka sasa Wanasota Mahabusu bila kujua hatma...
AMEGUSA KILA KITU BILA KUKISUMBUA..
Hotuba imeisha. Tumeisikia. Penye wengi kuna mengi. Nimetoka na haya:
1. Hotuba nzuri lakini ya kawaida. Wakuu wa nchi wa kawaida huongea kwa uungwana mbele ya mabunge. Yaliyo mengi tumeyashika tangu utoto. Yalienda likizo awamu ya tano.
2. Kawa jasiri...
Huyu Bishop ambaye huwa anajinasibu kuwa ni mwanachadema kindakindaki hana ushawishi wowote kisiasa. Ni mlopokaji na mpiga kelele na kelele zake ni kama kelele za chura.
Nilishangaa sana kumsikia Mambo Sasa amemkamata eti anataka kuitisha maandamano. Huyu jinsi anavyopuuzwa na watu ndio wa...
Mhashamu Baba Askofu Dkt. Kalikawe Lwakalinda Bagonza! Elimu uliyoitoa juzi katika ukurasa wako wengine haikuwaingia! Waliendelea kuteseka katika nafsi zao eti kwa nini Viongozi wengine wa Dini hawakuhudhuria Kongamano la Viongozi wa Dini lililofanyika Dodoma! Waguma?!
Ifuguto: Heshima yako...
Askofu mkuu wa kanisa la Pentekoste Tanzania na mwenyekiti wa baraza la makanisa ya kipentekoste Tanzania, Peter Konki amewasilisha mada ya umoja na mshikamano katika kongamano la viongozi wa dini kumshukuru Mungu kwa maisha ya hayati John Magufuli ambalo Rais Samia Suluhu alikuwa Mgeni Rasmi...
Mbunge wa Jimbo la Kawe Josephat Gwajima akitoa mchango kuhusu hotuba iliyotolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema nchi nyingi za Kiafrika zimekuwa haziendelei kwa kasi ya maendeleo kutokana na kushindwa kutumia rasimali kwani inaendana na 'manpower'.
Pia ameeleza kuwa Tanzania...
Siku chache zilizopita, nilisema jinsi ambavyo Maaskofu tulivyoandamwa na mamlaka kwa vitisho hadi baadhi ya Maaskofu wakaamua 'kuomba poo' lakini wengine tusonga mbele!
Sasa soma ushuhuda wa Mhashamu Baba Askofu Severine Niwemugizi wa Kanisa [Roman Katoliki] Jimbo la Rulenge - Ngara...
Jaji Mwangesi Pokea Mzigo toka kwa CAG
Kila mfumo una uwezo wa kujiharibu. Demokrasia ina uwezo wa kujiua. Udikteta una uwezo wa kujiua ndani yake. Uliberali unayo sumu yake. Si sumu ya kuua mifumo mingine bali kujiua. Tumeona jinsi awamu ya tano ilivyotengeneza sumu ya kujiua. Ilipobana Uhuru...
Kifutu ni aina fulani ya nyoka ambao ni wafupi na wanene.
Ndio najiuliza hao vifutu aliowataja askofu Shoo kwamba wakumbuke hii ni awamu ya 6, ni akina nani hao?
Nawatakia Pasaka njema.
Maendeleo hayana vyama!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.