askofu

  1. P

    Askofu Shoo (KKKT): Viongozi wote waliokuwa VIFUTU kipindi cha Magufuli basi wajiandae kuondolewa

    #HABARI Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo amesema wale wote waliokuwa wanajifanya vifutu, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakae mguu sawa, wakae tayari. NB: Kwa kusaidia niwataje tu vifutu ili kumraisishia Rais wetu kazi...
  2. J

    Askofu Malasusa: Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi wa kipekee, hata Yesu alihubiri Injili kwa miaka mitatu tu!

    Askofu Malasusa wa DMP amesema kinachoangaliwa siyo wingi bali ubora wa kazi uliyoifanya hapa duniani na kwamba hayati Magufuli amehudumu kwa muda mfupi kama Rais lakini kazi zake ni nyingi na bora. Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi wa kipekee barani Afrika. Askofu Malasusa amesema hayo...
  3. MAHANJU

    Askofu Gwajima anaribu kusifu na kujipendekeza awe Waziri

    Anaitwa Askofu Gwajima ingawa sijui aliyempa hicho cheo ni nani maana matendo yake hayaendani. Alisema hawezi kuwa mbunge wala waziri maana ni vyeo vidogo kuliko kazi yake lakini ubunge wake kwa njia alioupata hata wanaccm tunajua. Amezidi kujilisha na kujipendekeza mno bwana utafikiri hamjui...
  4. Miss Zomboko

    Askofu Nkwande: Bungeni sio mahali pa kufanya mambo ya mzaha au kuongelea utoaji mimba na mapenzi ya jinsia moja

    Askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Renatus Nkwande amesema bungeni ni mahali patakatifu na si pa kwenda kufanya mzaha na kuzungumza kuhusu uzazi wa mpango, utoaji mimba au mapenzi ya jinsia moja. Ameeleza hayo Ijumaa Machi 26, 2021 katika ibada ya mazishi ya Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania...
  5. Leak

    Askofu Niwemugizi: Rais Magufuli aliagiza nirejeshewe Passport yangu na alisema 'Wewe ni Askofu wangu utanizika'

    Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi amesema aliyekuwa Rais wa Tanzania marehemu, John Magufuli aliagiza arejeshewe hati yake ya kusafiria na alimtamkia mara mbili kuwa kiongozi huyo wa kiroho ndiye atakayemzika. Akizungumza leo Alhamisi Machi 25, 2021 katika...
  6. BIN BOR

    Aliyehoji uraia wa Askofu Niwemugizi kuzikwa na Askofu Niwemugizi

    Askofu Niwemugizi alipotumia uhuru wake wa kutoa maoni, kufumba na kufumbua, makachero wakamvaa na kumpora pasi ya kusafiria. Wakauliza, "Wapi kaburi la bibi ya babu yako?" Sasa kabla Baba Askofu hajaanza ibada ya mazishi, mrudishieni kwanza pasi yake ya kusafiria. Soma hapa: 1) Askofu...
  7. J

    Askofu Gwajima: Sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia, huyu ni Joshua wetu ukiangalia nyuma utakula risasi

    Askofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari. Askofu Gwajima amesema Kanisa la ufufuo na uzima linamuunga mkono mama Samia kwa 100% kwa sababu huyu ni Joshua, yaani...
  8. J

    Askofu Gamanywa: Nilimuombea hayati Magufuli nina uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba

    Askofu Gamanywa amesema watu wasitegemee mama Samia kufanana na hayati Magufuli kwa sababu Mungu amemuumba kila mtu na kipawa chake. Rais Samia atatimiza majukumu yake vizuri sana kulingana na kipaji alichobarikiwa na Mungu, amesema. Askofu Gamanywa amesema wao walimuombea hayati Magufuli...
  9. Francis12

    Baba Askofu Bagonza: Naendelea kuleta salaam za pole kwa watanzania wote. Poleni kwa msiba mzito. Faraja ya kweli itufunike sote

    Anaandika Baba Askofu Bagonza MASUALA siyo MAJINA Naendelea kuleta salaam za pole kwa watanzania wote. Poleni kwa msiba mzito. Faraja ya kweli itufunike sote. Katika nyakati za kutafuta au kuchagua Viongozi, Baba wa Taifa alikuwa akisisitiza umuhimu wa kuchambua na kuorodhesha masuala kuliko...
  10. J

    Askofu Gwajima: Viongozi wa dini hatupingi chanjo ya Corona wala Sayansi bali tunataka tujiridhishe kwanza

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ambaye pia ni Mbunge wa Kawe amesema viongozi wa dini hawapingi chanjo ya Corona bali wanashangazwa kwa namna chanjo hiyo ilivyotafitiwa kwa muda mfupi sana Askofu Gwajima amesema watakubali kupokea chanjo endapo patafanyika utafiti wa kutosha utakaobainisha...
  11. Queen Esther

    Askofu Mwamakula napingana nawe na tutaona fimbo ya Haruni ni ipi?

    Nimefatilia maandiko mengi ya Askofu Mwamakula kuhusu Rais Magufuli. Nimependa kumwambia ameibuka kuwa mtaabishaji wa nchi hii na kwasababu analitaja Jina la Jehovah basi Mkonoa wa Jehovah utaamua kati yake na Rais Magufuli. Nimkumbushe tu! Vita anayifanya na Rais Magufuli anafanya vita na...
  12. Mkaruka

    Jumba la Kifahari la Askofu Kakobe

    Sema chochote.
  13. Elisha Sarikiel

    Askofu Dkt. Mtokambali: " Wito wa maombi maalum ya kitaifa ya siku 21 dhidi ya wimbi la pili la maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19)”.

    Wana jamvi amani kwenu ! Leo nachukua nafasi hii kumpongeza askofu mkuu Dkt. Barnabas W. Mtokamhali wa kanisa la TAG; kwa barua ya kumbukumbu TAG/MNM/GEN/45 ya tarehe 05 Machi 2021; kwenda Maaskofu wote wa Majimbo,Wakurugenzi wote wa Idara na Vitengo, Waangalizi wote wa Sehemu, Wachungaji wote...
  14. Mwanamayu

    Hivi Askofu Dr Gwajima anaweza kutengeneza picha kubwa kweli?

    Anadai kuwa anamtumainia Bwana na waamini wake hawavai barakoa na kuchukua taadhari yoyote lakini hakuna aliyekufa. Swali, mbona bungeni kuna ulinzi? Na viongozi wakubwa wana ulinzi pia? Hivi nyumbani kwake na kwenye ofisi za makanisa yake hafungi milango na makufuli au funguo?
  15. BAK

    Majibizano kati ya Askofu Mwamakula na Profesa Lwaitama

    MAJIBIZANO KATI YA ASKOFU MWAMAKULA NA PROFESA LWAITAMA! Baada ya Askofu Mwamakula kuposti katika ukurasa wake taarifa za mwanaharakati nguli wa Haki za Binadamu, Mama Helen Kijo-Bisimba kuunga mkono kampeni za "Matembezi ya Hiyari" ya Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya, watu mbalimbali...
  16. BAK

    Askofu Bagonza: Kuzuia taharuki ni kuleta TAHARUKI

    KUZUIA TAHARUKI KUNALETA TAHARUKI Kuwazuia watu kuogopa kitu kinachoogopesha ni kuwakosea haki watu hao. Binadamu kamili huogopa. Kutoogopa kinachoogopesha ni kasoro ya kimaumbile hata kama si dhambi. Hatari huogopesha. Hatari isiyoogopesha si hatari tena. Hatari inayoogopesha imekamilika...
  17. Elisha Sarikiel

    Kwa Askofu Kakobe - Baada ya kufunga ndoa, maharusi wapanda daladala na pikipiki kwenda makwao

    Ilikuwa siku ya Ijumaa 19.2.2021, ni siku nyingine ya kukumbukwa, katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Dar-Es-Salaam, lililoko Barabara ya Sam Nujoma; pale ambapo jumla ya wahusika 84 waliposhiriki katika kufungwa kwa Ndoa 21, zilizofungwa kwa pamoja katika Ibada ya Ndoa...
  18. n00b

    Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Wakuu, Nimemsikiliza Rais Magufuli akiwa anaongea leo kanisani. Nimeshtuka, Rais anaongea kama layman kabisa. Hii ni hatari kwa Usalama wa Taifa kwa mtu ambaye amepewa dhamana ya juu kabisa hapa nchini. Rais ni Comforter-in-Chief hivyo kama mfariji mkuu wa Taifa ana mamlaka makubwa...
  19. BAK

    Askofu Mwamakula na matembezi ya hiyari

    ASKOFU MWAMAKULA KUFANYA MIKUTANO JIJINI DAR ES SALAAM KABLA YA KWENDA MIKOANI! Ndugu Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa! Ninapenda kuchukua nafasi hii kuwajulisha kuwa adhma yangu ya kuongoza "Matembezi ya Hiyari" kwa nchi nzima kwa lengo kuhamasisha umma kuhusu umuhimu na uhitaji wa Katiba...
  20. britanicca

    Askofu Ruwa'ichi: Asante mliovaa barakoa, nawalaumu msiovaa. Hali ni tete, tumetofautiana na Serikali

    Askofu JUDE THADEUS: Asante mlovaa barakoa/nawalaum msiyo Vaa/Hali n Tete. Ameyasema katika mazishi na kaongea mengi sijui kama hii Serikali hii itamuachaa Pitia video Britannica
Back
Top Bottom