assad

  1. Echolima1

    Mauaji ya kutisha kwa wakristo na alawite wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Assad huko Syria

    Huko Syria mauaji ya kutisha sana yanaendeshwa na askari wa utawala mpya kwa Wakristo na Alawite wanaotuhumiwa kuwa walikuwa wafuasi wa rais Assad aliyepinduliwa. Wakati mauaji haya ya kutisha yakiendelea huko Syria ulimwengu umeshikwa na kigugumizi na hatimaye kupotosha waziwazi Kuhusu mauaji...
  2. Bezecky

    PICHA: Kumbe Prof Assad ni MwanaCHADEMA

    Kumbe Magufuli alipomng'oa huyu CAG Mstaafu kabla ya wakati na kwa kinyume Cha Sheria alimfahamu kuwa ni Mwanachama wa CHADEMA!!
  3. Mi mi

    CIA walitumia wa Uyghurs kuiharibu China na kumuondosha Assad Kanali wa US anatoa siri

    Huyu kanali wa US anatoa siri kuwa US kupitia CIA waliwatumia wa Uyghurs katika jimbo la Xinjiang ili kuiharibu China kwa ndani utokee mvurugano ili waweze kuidhibiti China. Pia anasema wanatumia military power kuharibu mpango wa China wa B.R.I pia kagusia suala la US kupeleka majeshi...
  4. Mi mi

    Baada ya Syria ya Assad Je, sasa ni zamu ya Egypt ya Sisi ? Movement ya kumtoa madarakani yahofiwa kuanza

    Baada ya utawala wa Assad kuangushwa Syria, yahofiwa movement inayofuata ni ya kuondosha utawala wa Misri wa Sisi. Movement hiyo ni January 25 Revolutionaries Movement. Je, hawa wapiganaji watafanikiwa ? https://x.com/BroderickM_/status/1878204005450690640?t=mV3t7TJCfbPpIy2Ta18SXw&s=19...
  5. I

    Waarabu ni watu wa ajabu sana. Kumbe Assad alikuwa ni wakala wa Mossad

    Ripoti ya Hurriyet inadai kuwa Assad alipokea dhamana kutoka kwa Israeli ili kuhakikisha usalama wa njia yake ya kutoroka baada ya kupata taarifa za kijasusi. "Kwa kuzingatia usahihi wa mashambulizi ya Israeli dhidi ya mali ya kijeshi ya Syria baada ya kuanguka kwa Assad, inaonekana Israeli...
  6. R

    Kumbe Rais Bashar al Assad alikuwa anauza madawa ya kulevya! Yalikutwa kwenye kasri lake Damascus

    Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake. Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!! Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje? Yaani, familia...
  7. M

    Rais Assad alikuwa spy wa Israel nchini Syria

    Nimeona barua inayodaiwa kupatikana kwenye kavazi la aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al Assad ikimhusisha kuwa alikuwa akitumiwa na intelijensia ya Israel kufanikisha baadhi ya mipango yao. Lugha iliyotumika nimeshindwa kuielewa maana si mjuzi wake.
  8. T

    Damu ya Hamza al Khatibu ilivyo nena Mei 2011 nakuanguka kwa utawala wa Assad

    Ilikuwa ni Mei 2011 kijana mdogo katika mji wa Deraa mji mdogo nchini Syria karibu na mpaka wa Jordan. Kama ilivyo tawala zaki imla kijana huyu mwenye umri wa miaka 13 alirudishwa kwa familia akiwa amecharangwa na umeharibiwa vibaya na maofisa usalama wa Syria baada yakuwa amekamatwa kwenye...
  9. matunduizi

    Kwa nini wapiganaji waliompindua Assad hawaishambulii Israel iliyoingia ndani mwa nchi walioyoiomboa

    Israel imeingiza vifaru kwenye eneo la kijiografia la Syria. Kinyume cha utaratibu. Inashambulia uti wa mgongo wa jeshi lililoshindwa la Syria. Kana kwamba wanataka serikali itakayokuja hata kama ni yawa wanamgambo wasiwe na kifaa chochote cha kijeshi cha maana. Kwa nini hawa waasi...
  10. Mpigania uhuru wa pili

    Kaburi la hafez al assad baba yake bashar al assad limelipuliwa leo na waasi walioteka nchi

    Kaburi hilo limelipuliwa na kuharibiwa vibaya mno na waasi waliochukua nchi kwa kumfurusha bashar al assad Ikumbukwe hafez al assad aliwaua wasunni wengi sana wakati akitawala syria kwa mkono wa chuma ilibidi afanye hivyo sababu madaraka aliyapata kwa mapinduzi ya kijeshi Hii habari...
  11. Stuxnet

    POTOSHI Video clip: Suleyman Al-Assad Jenerali wa Serikali ya zamani ya Syria anyongwa mubashara

    Binamu wa rais wa zamani wa Syria, Bashar al-Assad aliukiwa kwa kunyongwa na baada ya kupandishwa juu na crane. "Baada yakuwasili kwa vikosi vya waasi wa Syria katika mji wa Latakia, ilitangazwa kuwa Suleiman al-Assad, ambaye alikuwa kiongozi wa Vikosi vya Ulinzi wa Kitaifa, aliuawa. Kwa...
  12. Nyani Ngabu

    Magari ya Assad

    Hebu ona hii collection ya magari ya kifahari ya dikteta Assad! Na inaripotiwa kuwa hii ni moja tu ya collection yake ya hayo magari ya kifahari. Alikuwa anayaendesha wapi hayo magari? Muda mwingi alikuwa mafichoni. Popote alipokuwa anaenda alikuwa alikuwa anaendeshwa. Ni lini alikuwa...
  13. econonist

    Assad kawatesa Sana Wasyria kwenye gereza la Sednaya

    Nina fuatilia hapa Al Jazeera kuhusu yaliyokuwa yanafanyika kwenye gereza la Sednaya nadhani Assad alikuwa mtu katili Sana. Ndio maana wasyria wameshangilia Sana. Leo halaiki ya watu walifika kwenye gereza la Sednaya kuona kama ndugu zao bado wapo. Ila kwa masikitiko wengi hawapo aidha walikufa...
  14. M

    Familia ya Bashar Assad

    Mzuka wanajamvi! Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion. Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez...
  15. Allen Kilewella

    Waliosaidia Assad apinduliwe ni Russia ama Marekani?

    Kuna watu huwa wanawaona waarabu kama hawana akili za kujitegemea. Sasa Bashir Assad kaondolewa madarakani. Jee kaondolewa na Wasiria peke yao ama hao Wasiria wamesaidiwa na Marekani au Russia? Kama Russia kwa maslahi gani na kama pia na Marekani, pia ni Kwa maslahi gani?
  16. bahati93

    Bashar al Assad, daktari wa macho aliyeshindwa kuona mbali

    Mwaka 1994 Bashar aliitwa nyumbani kutoka Uk alipokuwa akipata doctorate katika fani ya ophthalmologist. Mwito huu ni kutokana n kifo cha kaka yake Bassel katika ajali ya gari, Bassel ndio aliyekuwa akiandaliwa kupokea madaraka. Baba yao dictator aliyebadilisha jina la ukoo wake kuwa al Asaad...
  17. Msanii

    Waasi waliomuangusha Assad wa Syria waapa kuendeleza vita hadi kuiteka Yerusalem

    Waasi walioiangusha serikali ya Assad waapa kuendeleza mapambano ili kuiteka Yerusalem. Kwa mnaojiuliza sababu za Israel kuitwaa miji mitano ya Syria na vilele vya Hermon baada ya regime kuanguka, nadhani mtaelewa sababu sasa. Vita ya mashariki ya kati sasa inachukua sura mpya ambapo kila...
  18. Mpigania uhuru wa pili

    Kuanguka kwa utawala wa Assad kumeonyesha udhaifu mkubwa sana kwa Iran na Urusi

    Utawala wa bashar al assad umeanguka Utawala wa assad ungetakiwa uanguke miaka zaidi ya 10 iliyopita sema kilichokua kinamsaidia ni msaada wa russia na iran ulimfanya kuweza kudumu kwa mda wote huo Syria wengi ni wa-sunni na ndo wanaounda vikundi vingi vya waasi hata hawa waliochukua nchi ni...
  19. Mathanzua

    After the fall of Assad ,the evil U.S. and Israel governments bombing Syria to remove all evidence and kill any one who can testify against them

    The United States Air Force has begun bombing Syria. After the fall of the Syrian government, and the resignation of President Bashar al-Assad, who fled to Moscow, Russia earlier today, the United States has commenced bombing targets inside the defenseless country. This is the true nature of...
  20. Sir John Roberts

    Bashar Assad akwepa mtego wa Kuiingiza Syria katika Vita ya wenyewe kwa wenyewe, Hongera Urusi na Iran kwa ushauri mzuri

    Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad...
Back
Top Bottom