"Mamlaka ya CAG ni kukagua taasisi za Serikali. Kitu kinachokwamisha ukaguzi wa Sekta yetu ya Madini ni makampuni yanayochimba madini nchini kumilikiwa na wageni, hivyo hakuna umiliki wa Serikali,"
Prof Assad, aliyekuwa CAG
Wiki ya asasi za kiraia
Pole sana Professa Assad.
Mimi binafsi nilisikitika sana kwa uonevu uliofanyiwa kwa kustaafishwa bado ukiwa hujatimiza umri wako wa kustaafu. Ulisimamia ukweli, ulikuwa mwadilifu na mkweli kwa nchi yako lakini haya yote wakubwa hawakuona na bado wakakukejeli. Kama katiba inavyosema CAG ili...
Niliondolewa Ofisini kinyume na taratibu kwa sababu nilikuwa nasimamia na kufanya kazi kwa kufuata taratibu na miongozo ya kazi na sio maelekezo ya mtu,kuna mahali viongozi wetu wanashindwa kusimamia wanachokiamini kwa hofu ya kuporwa V8, wanahofu kukosa riziki.
Hili suala la kuniita CAG...
Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa.
Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata...
Natumia theory ya Assad kwamba duniani kote ndege hazinunuliwi kwa cash bali mkopo.
Kwa theory hii ni vyema basi tuwakutanishe wajasiliamali wadogo jijini Dar wakope ndege hata 20 hivi za kuanzia.
Prof Assad anaongea sana hana tofauti na Tundu Lisu.
CAG Kicheere ameshatufafanulia wananchi kilichojiri katika ripoti yake na watanzania wamemuelewa lakini bado CAG aliyemaliza muda wake anarudia tena yale yale .
Assad endelea kusimamia taaluma hapo chuo cha Tanesco mwache Kicheere afanye yake!
Tumshauri Assad ambae kwa sasa amejipambanua kama jabali jipya la siasa za Tanzania. Assad kwa muda mrefu alikuwa amejifunika kwa mwamvuli wa “kufanya kazi kiweledi “ na alifanikiwa kutuaminisha ilo.
Tumpe ushauri agombee urais 2025 kwa chama mnachoona kitamfaa.
Twende kazi.
Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi.
Binafsi sijui hizo takwimu amezipata wapi za kua vichaa tu ndio wananunua ndege kwa pesa tasilimu ama cash...
Hii ni tweet inayoombatana na video huko twitter:
Prof. Assad anasema "..You can't buy airline by cash, hakuna yeyote anayenunua ndege kwa cash...wapi umeona?..hakuna mtu ananunua ndege kwa cash. Watu wajinga sana ndio wanaweza kufanya jambo hili..."
Dar es Salaam, aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad amesema watu wenye tabia ya kuunga mkono kila wakati ni wasaka fursa na hawana msaada wowote katika nchi.
Profesa Assad amesema hayo leo Jumamosi Aprili 10, 2021 katika uzinduzi wa mfululizo wa...
Wazee wengi wameshindwa kutunza heshima yao, wameshindwa kuridhika na umri waliopewa na Mungu, wameshindwa kuwa kioo cha jamii, wamekuwa ndumilakuwili, hawana msimamo na awaridhiki na kile walichokwisha chuma.wapo tayari kuishi kwa unafiki ila wasitolewe kwenye nafasi zao.
Kwa sifa hizi wazee...
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad amesema kuna haja ya kuanza na safu mpya ya viongozi serikalini, kwa kile alichokidai kuwa waliopo wengi hawana uwezo mzuri kiutendaji.
Profesa Assad amesema hayo leo Aprili 10, 2021 wakati wa uzinduzi...
Kama tunakumbuka vizuri, ripoti ya kwanza ya CAG Assad baada ya kuingia kwa awamu ya 5 pamoja na ubadhirifu mwingine ilionesha ufisadi wa kiasi cha pesa 1.5 Trilioni ambacho hakikuoneka wapi kilienda.
Baada ya ripoti hiyo, CAG alishambuliwa sana na serikali na Chama wakiwemo mawaziri, Spika...
Ikimpendeza Mheshimiwa Rais, anaweza kumteua Prof. Assad kuwa Mbunge na kisha kuteuliwa Waziri wa Fedha na Mipango.
Sina shaka na utendaji wake hasa akiwa CAG, alisimama imara hali iliyompelekea kukumbwa na mizengwe ya wachumia tumbo.
Umri hauwezi kuwa kikwazo sababu tuna Mawaziri wengi wenye...
Rais wa zamani wa Syria bwana Hafez Assad (Baba yake na Bashar, rais wa sasa) alikuja kugundua ya kuwa idara ya ujasusi ya Israel (mafundi wa Mossad) walimtengenezea choo cha bandia kwa kutumia yeye tu pale alipoudhuria mazishi ya mfalme Hussein wa Jordan.
Ilikuwa si rahisi kwa walinzi wa Hafez...
Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua.
Wengi hawaijui nguvu ya Ndugai ndani ya CCM lakini kiukweli huyu jamaa ni very powerful.
Wako wapi leo akina Makonda, Prof Assad, Mbowe na yule aliyepima samaki kwa rula kwenye mgahawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.