Nimepitia CV ya Proffesa Makame Mbalawa nikaikumbuka CV ya Proffesa Assad ..former CAG..
Hebu mwenye CV za watu wengine impressive atuwekee.
Ya Mbalawa hii..
WASIFU WA PROFESA MAKAME MNYAA MBARAWA
Prof. Makame Mnyaa Mbarawa alizaliwa mwaka 1961 Chokocho Kisiwani Pemba na kupata elimu ya...
Bunge limemtaka AG ambaye pia ni mbunge kuchunguza kama kitendo cha mbunge wa Kigoma mjini mh Zitto kutumia nyaraka za bunge kuishtaki serikali huko benki ya dunia hakina chembe chembe za Jinai ndani yake.
Hapa nina maswali mawili:
Mosi, Jinai inachunguzwa na mwanasheria mkuu wa serikali...
Kuna siku niliwahi kuwaambia kuwa tujifunze kukaa kimya, sasa waliozusha habari za kutekwa Prof Assad sijui wataficha wapi sura zao, kwenye video hii anasimulia alipo kuwa.
Profesa Mussa Assad ni mtu sahihi kuwa Rais wa Jamhuri Ya muungano wa Tanzania, kwa weledi aliouonesha ni kweli Tanzania tuna wasomi na watu makini sana na wasiogopa mtu, Kauli ya Baba wa Taifa ya kwamba tunahitaji vijana jeuri basi huyu ni miongoni mwa zao la baba wa taifa.
Ukimtathimini huyu...
Hiki ni kitendo kilichofanyika bila kuchelewa , hajataka kuleta longolongo ili waseme kuna mafaili yametoroshwa .
Kila la heri Profesa Assad
******
Prof. Assad:
"Hii ni taasisi na makabidhiano ya taasisi yanaenda kwa maandishi, kwa hiyo makabidhiano kwa maandishi yatafanyika Dodoma kwa sababu...
Prof Assad alitumika kimkakati kuidhoofisha serikali ya Rais Magufuli hakuwa mzalendo kama ambavyo wengi waliaminishwa. Juma Assad (Personal) aliamua kukitumia kitu chake cha kuwa CAG Katika kutekeleza mipango mikakati ya wanasiasa na ndiye mtu pekee aliyebakia kama target muhimu ya kuibua...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Novemba 4, 2019 kuanzia majira ya saa tatu na nusu (3:30) asubuhi atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni
Wanaoapishwa ni pamoja na;
1. Charles Edward Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
Ukifanya uchunguzi mdogo tu utagundua katika mazingira fulani watatu hawa Prof Lipumba, Dr Dau na Prof Assad wanafanana sana.
Na lililo kuu wote ni walimu wa Udsm kama ilivyo kwa Prof. Kabudi.
Lakini watatu hawa umaarufu wao " umetengenezwa" zaidi na wanasiasa vijana kwa sababu za kisiasa "...
Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi - Prof. Mussa Assad akizungumzia uteuzi wa CAG mpya
Nilipoteuliwa nilipewa barua ya uteuzi iliyoeleza mambo kadhaa ya kisheria...
Taarifa ya Ikulu imeeleza kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad amemaliza kipindi chake cha miaka mitano kwenye nafasi hiyo. Lakini Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (ambayo ndio sheria mama) haelezi hicho kinachoitwa "kipindi cha miaka...
CAG Prof. Assad amezipongeza Halmashauri zilizofanya vizuri kwenye ukusanyaji wa mapato ya Serikali kama ilivyotangazwa na Waziri wa TAMISEMI Mh. Jafo.
Prof. Assad amesema pia Kamati za kudumu za Bunge zimeanza kuifanyia kazi ripoti ya ukaguzi wa taasisi mbalimbali za serikali kama...
BBC has completed its investigations in Syria, where they have discovered that Syrian President Assad has gassed civilians 106 times. I used to support Assad, lakini kama hii habari ni ya kweli, basi ni vizuri serikali yake ipinduliwe. Marekani, kazi kwako. Ama wewe waonaje?
How chemical...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.