Tumesimama kando ya ikulu ya rais, moja ya jumba alimokuwa akiishi Assad.
Watu wengi, wengi wakitoka vijijini, walivamia ikulu na wamekaribia kuharibu kila kitu.
Kufikia wakati tunafika, mahali hapo palikuwa karibu patupu isipokuwa vipande vya samani.
Wafuasi wa kundi la waasi la HTS wamefika...