Nimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko lako linaamsha maswali)
1. Kama mkataba una manufaa, kwanini bandari za Zanzibar hazipo? (kizuri...
Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi
👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi)
👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi)
Profesa Assad ametoa...
Kati ya Post zilizomo humu leo nimemuona Paskal akimuunga mkono Assad, Paskal ni mwanasheria mzuri Assad tunamfahamu kwa umahili wake kwenye mahesabu ya ndululu sijui kama naye ni mwanasheria.
Leo Assad amejitokeza na kuelezea mambo ya kisheria kuhusu uwekezaji wa bandari na kuungwa mkono na...
Mwezi April 2021, tarehe 10, CAG Mstaafu, Profesa Assad, aliitoa kauli ambayo ilizua gumzo kwa watu wengi. Wapo walioiunga mkono, huku wengine wakiipinga vikali.
Nafikiri wafuatiliaji wa Habari wangali wakikumbuka. Profesa alisema kuwa asilimia sitini ya viongozi wa Serikali hawana uwezo mzuri...
Huyu hapa Prof wa ukweli
PROFESA Mussa Assad, aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) amekerwa na viongozi wenye uwezo wa kuzungumza ukweli kwa maslahi ya Taifa kushindwa kufanya hivyo.
CAG huyo wa zamani amesema hayo leo Jumatano, tarehe 6 Oktoba 2021...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) , kimetoa muda wa siku 3 kuanzia leo hadi 13/4/2023 kwa Waziri Mkuu Mh Kasimu Majaliwa awe amewajibika kutoka na ubadhirifu wa kutisha ambao umeanikwa na ripoti ya CAG .
Kauli hii ya kikakamavu imetolewa na Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika...
Mbunge wa zamani wa Nyamagana kupitia CHADEMA EZEKIEL WENJE amenukuliwa akisema kuwa kama Rais wa Awamu ya Tano, Marehemu Dkt John Pombe Magufuli angekuwa hai basi asingekubali hali aliyoiita "ufisadi" huu uliotajwa kwenye ripoti ya CAG.
Nimeshangazwa sana na kauli hii ya Wenje na nimejiuliza...
Tunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Huyu bwana alionesha msimamo wa kusimamia Taaluma yale pale alipoondolewa katika nafasi yake kwa nguvu na Hayati Dkt. JPM kwa sababu tu alisimamia kazi yake...
Jumanne, 22 Novemba 2022
THREE OIL COMPANIES LOCK HORNS AS EX-CAG REMAIN ARBITRATOR
By FAUSTINE KAPAMA-Judiciary
THE High Court has refused to bar ex-Controller and Auditor General Prof. Mussa Assad from serving as an Arbitrator in pending arbitral proceedings between three giant petroleum...
Wakati Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akijiandaa kukata rufaa kupinga sehemu ya hukumu ya kesi ya kikatiba ya utumishi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Serikali imemtangulia na kuweka kusudio la kukata rufaa.
Mahakama Kuu katika hukumu yake ya Desemba 5, mwaka huu chini ya...
Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amezungumzia suala la Tozo wakati akihojiwa katika kipindi cha Jahazi cha Clouds FM.
Profesa Mussa Assad amesema anaamini suala la Tozo lina hasara kubwa kuliko faida kwa Serikali.
Amesema “Kuna namna...
Na. M. M. Mwanakijiji
Mojawapo ya maajabu makubwa ni hili la watu kuamini kuwa ujio wa Katiba Mpya utawapa Rais ambaye ataweza kudhibitiwa na "taasisi". Kwamba, Katiba Mpya itazuia Rais kufanya lolote na kuwa atakuwa analazimishwa kusikiliza mashauri mbalimbali. Prof. Assad ni miongoni mwa...
Hata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa.
Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona...
Aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amesema ni vizuri kuwa na Katiba Mpya lakini vizuri kuwa na watu wa kutekeleza Katiba hiyo sawasawa.
Amesema hayo alipoenda kutoa maoni yake mbele ya Kikosi Kazi cha Rais, leo Mei 19, 2022 ambapo...
Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
Tarehe kama ya leo 7 Januari,2019 aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai alimtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge siku ya Januari 21, 2019 kwa hiari kwa ajili ya kuhojiwa, vinginevyo angepelekwa kwa pingu.
Spika...
Wengi wameshaanza kugundua kuwa tatizo lilikuwa nini kwa kuwa wamegundua pia kuwa profesa Mussa Assad si kweli kuwa ni smart kama ambavyo mara ya kwanza hata mimi nilidhani. Ni mtu mropokaji, ambaye inawezekana akawa na akili lakini akawa hana busara au hekima. Ukimsikiliza katika maongezi...
Wakati ujenzi wa kipande cha Dar – Morogoro ulitakiwa kukamilika katika kipindi cha miezi 30 baada ya kuzinduliwa, na muda huo umepita, haifahamiki sababu za kuchelewa kwake wala siku ya kuanza kutumika.
CAG Charles Kichere alibainisha katika ripoti yake ya miradi ya maendeleo ya mwaka 2019/20...
Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini kwenye taifa hili la wajinga.
Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizindua kampeni...
Sakata la uuzaji wa nyumba za Serikali limeibuliwa upya na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Assad akikosoa utaratibu uliotumika kuziuza.
Dodoma. Utaratibu uliotumika kuuza nyumba za Serikali umekosolewa kutokana na kutolihusisha Bunge kama chombo cha...