“Labda kesho nitafanikiwa…Labda ni kwa kua sikusoma...au Labda sina nyota”. Ni msururu wa mawazo unaopita kwenye akili ya kijana Rakimu ila siku asubuhi kabla ya kuamka na kufungua dirisha na kugundua kuwa kila kitu kipo kama alivyokiacha jana.
Jiji kubwa na tupu la Dar-es-Salaam linamtazama...
Hili kwa ukweli wizara husika (ya habari) ilizingatie. Saa mbili, saa tatu asubuhi unaanza kusikia habari za nani kafungwa nani kahamia club fulani, kocha kafanyaje, n.k. Muda wa asubuhi ni muda wa kupata taarifa muhimu za matukio yanayoendelea duniani kuanzia siasa, uchumi, utamaduni, sheria...
Habari.
Mi mwenzenu sijui nikoje haya maimani ya ajabu ajabu yananipa shida sana huku duniani yaani huwa hata siwazagi haya mambo.
Sàsa mimi nina ela yangu msimbazi safi nahitaji kitu kwenye duka chenji hana na mimi kutembea na hela ndogo ndogo siwezi namwambia mwenye duka nasi nipe bidhaa...
Ndugu zangu kwema?
Kama kuna jambo zuri limefanyika sio mbaya tukipongeza. Barabara ya Mwenge kama mwezi hivi umepita kulikuwa na tabia ya magari yanayotoka Tegeta kupendelewa zaidi kwa kuruhusiwa kupita barabara zote.
Soma: Adha ya foleni katika makutano ya barabara ya Mwenge
Pamoja na...
OFISI YA MKUU WA WILAYA KOROGWE
PRESS CONFERENCE
Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo Kesho Tarehe 25-05-2023 atakuwa na 'PRESS CONFERENCE '
MUDA: Saa 5 Asubuhi.
MAHALI: OFISI YA MKUU WA WILAYA
UTANGULIZI
Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za gesi asilia na madini katika bara la Afrika na duniani. Hili linathibitishwa na mifano mingi ya madini yenye thamani kubwa yanayopatikana katika mikoa mingi nchini, kama vile dhahabu, Tanzanite, almasi, chuma, nikeli, makaa ya...
Huwenda umeshawahi kusikia kuhusu umuhimu wa kushiriki tendo la ndoa asubuhi na ukashangaa lakini ni kweli kuna faida za kufanya tendo hilo kwa afya yako na wataalamu wanasema ni moja wapo ya matibabu.
Tunakusogezea baadhi ya faida za kushiriki tendo la ndoa asubuhi kutokana na utafiti...
Kuna mambo yanayoendelea mpaka unajiuliza, hivi nchi hii hatuna watu wenye akili, uwezo na dhamira safi ya kuendeleza Taifa?
Nimesafiri na kukaa kati ya wiki moja hadi mwezi mmoja kwenye mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora na Mara. Yanaoendelea katika maeneo haya kuhusiana na nishati ya umeme ni...
Lazima tu kwa magari yote yaliyopaki ama yaliopo nje ya kanisa la Kilutheri Tumbi hapatakosekana yenye Dashcam.
Pia njiani kuelekea kwenye pori tengefu lazima hawa watekaji na wauaji walipishana na magari lazima kulikuwa na magari tu yenye Dashcam.
Polisi watoe wito wote wenye magari yenye...
Vyenga vya leo vinatosha kabisa kuona kuna mmoja katika maridhiano haya yanampa faida kuubwa sana hasa huko tuendako, na kuna yule ambaye anafurahia vinono vya muda mfupi!
Maridhiano kwa nchi kama hii yetu yenye watu waliozoea Amani kama maji ya mtungini ni mhimu sana kwa mstakabali wa nchi na...
Kwenye makala yetu ya leo tunaenda kujifunza na kujibu swali amabalo watu wengi hujiuliza upi ni wakati sahihi wa kufanya mazoezi kati ya asubuhi na jioni. Mara nyingi swali hili humjia mtu pindi anapoamua kuanza kufanya mazoezi ya mwili, sasa anakuwa anashindwa kuchagua wakati gani awe anafanya...
Hii kada ni ya wanyonge na wananyongwa kweli. Mke wangu ametumiwa meseji na mratibu wao kuwa yeye (mwalimu mkuu) pamoja na walimu wake wafike bila kukosa eneo la usa-river jumapili saa 1:00 asubuhi bila kukosa ili Rais atakapokuwa anapita basi awapungie mkono.
Cha kushangaza hakuna nauli wala...
Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi.
Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka...
Ameyasema leo akihojiwa na Ngasa TV leo Dodoma akiwa njiani kuelekea nyumbani kwao Ikungi, Singida..
Akizungumzia utawala wa Rais Samia Suluhu, amesema moja ya mambo yaliyobadilika kidogo baada ya Mwendazake John P. Magufuli kufa, ni waandishi wa habari kuwa na ujasiri wa kumsogelea na kumhoji...
Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu yuko vizuri.
Ebu fikiria mtu nimekulia maskani, dili zote za haram na halali nazijua, maana nyingi huwa zinapangwa katika maskani mbalimbali halafu ndo zinaenda kuchezwa halafu anakuja kijana from Lagos mashambani huko anataka kunitapeli mimi...
MOHAMED SAID RADIO ONE KIPINDI CHA MAPINDUZI YA ZANZIBAR 1964 KESHO 12 JANUARY ASUBUHI SAA MBILI
Kichwa cha.habari kinajieleza.
In Shaa Allah...
Nasikia, ‘’Hodi, hodi, hodi.’’
Nafungua nawaona watu wa stesheni moja maarufu sana wako mlangoni pangu wananiambia wamekuja kunihoji kuhusu Mapinduzi...
Wachezaji ambao nisingewaita ni kama Neymar, Paqueta, Richarlison, Fred, Raphinha na Anthony. World cup sio kwa ajili ya mabishoo na wavivu.
Ningembadilisha Martinelli ili acheze winga ya kulia, kushoto angekaa Vinicious halafu namba tisa angesimama Firmino huku namba kumi ningempa Gabriel...