Moja ya sababu kubwa inayochangia foleni majira ya asubuhi na jioni kwenye barabara nyingi za Dar es salaam ni ufinyu wa VITUO VYA DALADALA.
Kusema kweli VITUO VYA DALADALA jijini Dar es salaam ni vifinyu sana kiasi kwamba havitoshelezi DALADALA angalau 5 kuegesha kwa pamoja ili kushusha...
🔥🔰MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA NA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI ASUBUHI HII🇹🇿.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumatatu tarehe 23 Mei, 2022 atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House) Jijini Dodoma...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatarajia kutoa tamko leo Mei 17, 2022, ambapo waandishi wa habari wamekaribishwa kuchukua taarifa ambayo inatarajiwa kuzungumza, lakini kubwa wengi wanaamini itakuwa inahusu sakata la kina Halima Mdee na wenzake 18.
====
"Wanaojaribu kufanya...
Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA mh Benson Kigaila amesema amekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika wa Bunge leo saa 2:42 asubuhi
Barua amekabidhiwa Katibu muhtasi wa Spika kea dispatch
Source: ITV
Mko fresh watu wa Mungu?
Nimepanda basi la angani toka saa 12 asubuhi kuja mwanza kikazi, lakini cha kustaajabisha mpaka sasa saa mbili kasoro usiku kwa saa za Afrika Mashariki wife hajanipigia kuniuliza kama nimefika salama or not!
Hivi napendwa kweli hapa wazee wenzangu?
Habari zenu ndugu zangu. Baada ya salam, ningependa niende kwenye mada husika kwa kutumia mifano hai iliyopita.
Katika historia ya nchi yetu toka tapate uhuru mpaka leo, hakuna kipindi kilichokuwa na changamoto za kiusalama kama kipindi cha miaka ya 1989 hadi 1993. Hiki ndio kipindi ambacho...
Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro linamshikilia mpigadebe wa mabasi ya Abood Abdilah Yassin (32) mkazi wa Kihonda Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za kumuua mpiga debe mwenzake wakati wakigombea abiria kwenye stendi kuu ya mabasi Msamvu.
---
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Abdilah...
Habari Wote.
Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Honest Ngowi na Dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo kwa ajali ya gari wakiwa njiani kuja Kampasi Kuu Morogoro.
Tunaomba muwe watulivu wakati Menejiementi inaendelea kufuatilia taarifa kamili ya...
Ni uzembe wa hali ya juu sana kwa mwanamme kumtamani mwanamke katika maeneo ya starehe, unamnunulia vinywaji, unaondoka nae lets say saa nane usiku unampeleka katika hoteli unalipia gharama zote halafu ikifika saa mbili ama tatu una CASH OUT.
Huu ni ujinga na uzembe wa hali ya juu, kwangu...
Leo Jumatano Machi 23, 2022, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Nyumba 644 za Makazi Magomeni Kota Jijini Dar es Salaam kuanzia Saa 4 na nusu asubuhi hii.
Utafuatilia Matangazo haya ya moja kwa moja kupitia Televisheni, Radio na Mitandao ya Kijamii.
#TunaImaninaSamia...
Bunge la Ukraine limepitisha azimio la nchi hiyo kuwa katika hali ya hatari kwa siku 30 kutokana na mzozo uliopo kati ya Nchi hiyo na Urusi
Mamlaka nchini humo zimeruhusiwa kuzuia raia kutoka, kuzurura na kuzuia Mikutano ya Vyama vya Siasa na Taasisi kwa maslahi ya Taifa
Pia, Serikali...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni rasmi kwenye Maadhimisho ya Jubilee ya miaka 25 ya Mhashamu Askofu Severine Niwemugizi yatakayofanyika kwenye Viwanja vya Posta- Ngara Mjini Mkoani Kagera kuanzia Saa 4 asubuhi hii.
Utafuatilia matangazo haya ya moja kwa moja kupitia...
Nimepata ajali baada ya kumkwepa bodaboda nikakosa muelekeo nikagonga mti uliokuwa pemben ya barabara.
Mafundi naomben makisio ya gharama ya kutengeneza hii gari, Taa mbili za upande wa kulia (juu na chini)zote zimepasuka, air cleaner box limepasuka, bonet imebonyea na kioo cha mbele kimeweka...
Sijaelewa ni mentality ya raia tu kupenda kupelekana polisi kwa kesi hata ndogondogo au ni mazingira polisi wametengeneza ili kupiga hela kwa sababu haiwezekani asubuhi tu kituo kinajaa wateja zaidi ya 100 na ni kila siku mpaka inafikia hatua wanaitwa kwa foleni.
Mambo haya hayapo katika vituo...
TANESCO imetoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme kwa Wilaya mbalimbali.
PIA SOMA: TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima (28/01/2022)
Naandika kwa machungu siku hii ya Christmas mpenzi wangu simu yake haipatikani tokea asubuhi!,moyo umekuwa mzito,pumzi Kama zinakata zinarudi!.. hicho kidada cha voda kinachoniambia simu yake haipatikani nakiona Kama kichawi tu!😥
Inauma asikwambie mtu kila siku natendwa mimi tu! Kweli dunia...
Unapata mchumba mpenda dini, mnafunga ndoa na hata kanisani anaaminika kiasi cha kupewa uwongozi katika moja ya kamati za kanisa kwakua ana mahudhurio mazuri na pia ana heshimu wakubwa na wadogo katika kauli zake.
Nyumbani mnasali sala asubuhi na jioni, tena mnajikabidhi katika mkono ya Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.