asubuhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pang Fung Mi

    Kama hupendi unene na uzito usiofaa pata haya maarifa ufanikiwe ndani ya mwezi mmoja

    Habari wadau, Naomba ushiriki katika ujenzi wa afya, Dunia hii malaika ni watu na si vinginevyo, kila mmoja wetu kaumbwa kama malaika wa pekee, niwape hili moja la kupunguza mwili na Uzito na kuondokana na tabia ya kula kula kila wakati. Anza zoezi la kutumia kahawa iliosagwa vizuri ya dukani...
  2. Moshi25

    Kivuko cha MV Magogoni kibebe abiria tu asubuhi

    Huwa naona watu ni wengi sana asubuhi saa 12 hadi saa 3 wakiwa tayari kuvuka kutoka Kigamboni kuja Ferry na Mv Magogoni ikijaza magari tu na watu wengi kubaki wakiwa wamefungiwa kama kuku kusubiri kivuko kiende na kurudi ndo kiwachukue, wagonjwa wanachelewa hospitali na wafanyakazi wanachelewa...
  3. NetMaster

    Hizi ndizo kazi ambazo watu hulala asubuhi, kuamka na kufanya mambo binafsi mchana hadi jioni, na kurudi kazini usiku

    1. Dj - Hasa kuanzia alhamisi hadi jumapili 2. Nesi - wengi ni kila siku 3. Mlinzi - siku 6 usiku, siku 6 mchana, ndio utaratibu
  4. ommytk

    Vijana wa taifa letu mnasikitisha. Saa 12:30 asubuhi Jumatatu nakutana na kijana duka la dawa ananunua kondomu

    Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini. Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji...
  5. Championship

    Simu ya Nabi kwa Mgunda leo asubuhi yaipeleka Yanga makundi ya Shirikisho Afrika

    Mpira umetembea leo kule Tunis kwasababu ya simu aliyopiga Kocha kupata ushauri kutoka kwa Guardiola Mnene. Nampongeza Kocha kwa uamuzi wa busara.
  6. Choosen85

    Nina proposal kuhusu watu kila siku asubuhi kukaa vikundi na kubishania mpira

    Wakuu mjue kile knachowakusanya watu kila sku tena makundi yenye elimu, kpato, uelewa tofauti na wakakaa wakaanza kuzungumza tena bila kiongoz yaani ni wao tu wanajiongoza mjue hapo kuna fursa ya kupata chochote. Sasa kuna ile tabia ya watu wengi kila mkoa ukienda utaikuta ile asubuhi unakuta...
  7. Sildenafil Citrate

    Nape: Kampuni za Simu haziongezi bei za vifurushi bila idhini ya TCRA

    Baadhi ya nukuu za Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akizungumza kwenye kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TVE na EFM Radio leo Oktoba 17, 2022. Kuhusu kutishiwa Bastola Anaamini kuwa lilitokea kwa kusudi maalumu, na lilileta mafunzo makubwa kwake, waliopanga...
  8. GENTAMYCINE

    Kwa dua kali na ya aina yake iliyofanywa Al Hilal asubuhi hii, wakifungwa nawapa hawara yangu mhangaike naye

    Paka Saba (7) wamekufa kwa kitabu tu, halafu kuna mahala nimeona refa wa mchezo naye kashika filimbi na anaipa dole la furaha na kicheko Klabu ya Al Hilal. Ewe Mungu saidia Al Hilal ishinde!
  9. co fm

    Kuamka asubuhi ni changamoto

    Nauliza tu kwa nyie wanajamii wenzangu, hivi hii inasababishwa na nini asubuhi kuamka kwenda kazini yaani uvivu wa ajabu yaani natamani kurudi kitandani nilale. Kuna muda nilidhani labda nachelewa kulala maana huwa nalala saa sita usiku basi hata nikilala saa nne usiku bado nahisi sijalala vya...
  10. J

    Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam

    1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road) 2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi yapo)pia hakipo mbali na barabara 3. Nyumba ya vyumba 6 Mbezi beach Goigi (dk 10 bagamoyo road)...
  11. EINSTEIN112

    Huyu mchungaji anaitwa Mch. Prosper Shao wa KKKT Usharika wa Tumaini -Bariadi anahubiri asubuhi kupitia UPENDO-TV

    Huyu mwamba anahubiri kila asubuhi ananibariki saaana yaani mafunzo yake hata kama sio mfuasi kama mimi ila unajisikia kijifunza jambo flani la maisha nimemfuatilia wiki hii, najisikia kubarikiwa sana. Nimeona niwashirikishe, anaanza sa 12.hadi sa moja kama sijakosea. Muwe na siku njema...
  12. Godfrey Constantine

    SoC02 Kipaji ni nyota njema ambayo huonekana asubuhi

    MWENYE MASIKIO NA ASIKIE NA MWENYE MACHO NA AONE, NYOTA NJEMA HUONEKANA ASUBUHI. Njia sahihi ya kukifahamu kipaji cha mtoto,kukiendeleza na kukikuza pamoja na kujua wakati sahihi wa kukitumia ilikuleta manufaa kwa jamii na yeye pia, ni pale hakiwa na umri mdogo. Hivyo tunatakiwa kwanza kujua...
  13. M

    Wafanya Usafi Asubuhi; Barabara ya Kinondoni

    Wasalaam wana JF, Kwanza niwasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Kazi iendelee!!!!), ndugu yenu nimekuwa nikipita kusoma comments kwa muda mrefu sasa, sijafungua uzi takribani miaka 8 sasa, lakini kama kichwa kinavyo jinasibu hapo juu imenibidi, Hii barabara ya Kinondoni...
  14. Sky Eclat

    Maisha katika face me I face you, ukiamka asubuhi unaona vitu vyote unavyomiliki

    Zinaitwa face me I face you kwakua ukifungua mlango wa chumba chako inatazamana na jirani yako. Ukipika pilau chakula kinachobaki utakinusa usiku mzima mpaka kesho hamu imekuishia.
  15. Thailand

    Zolan nipangie hiki kikosi tumuue mwananchi mapema asubuhi

    Golini akae 1. Kakolanya, 4. Quaatara 5. Inonga 2. Kapombe. 3. Tshabalala, 6. Mkude, 7. Sacko,. 8. V. Ackpan. 11. Okrah, 10. Chama, 9. Kibu D, Formation 3: 5: 2 Hapo goli ni lazima kwa sababu Yanga inatakiwa...
  16. profesawaaganojipya

    Tovuti ya Nacte haipatikani leo asubuhi 19/7/22

    Kila nikifungua website ya Nacte leo asubuhi haifunguki,au tatizo ni simu yangu tu, zingine hamna shida, wenzangu vipi na nyie mnaipata?
  17. Sky Eclat

    Kupokea simu asubuhi ukiwa umelala na mpenzi wako.

    Ukiwa na mpenzi au mwenza wako kwenye marital bed, ni busara kuweka simu kwenye vibration. Mihangaiko ya mchana kutwa inachosha, na usingizi ni njia pekee Mwenyezi Mungu alituwekea kupunguza uchovu bure bila gharama. Kuna wale wanaotegemea simu za biashara ya kazi na nyingine huingia hata saa...
  18. B

    Chongolo na kongamano kubwa la mafunzo ya uongozi na uwajibikaji

    KM CHONGOLO NA KONGAMANO KUBWA LA MAFUNZO YA UONGOZI NA UWAJIBIKAJI- ASUBUHI HII. Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo Leo Jumatano tarehe 13 Julai 2022 atakuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Mafunzo ya Uongozi na Uwajibikaji kuhusu Itikadi, Elimu ya Sensa na Makazi, Tehama na usajili wa...
  19. Teko Modise

    Tunaomba kipindi cha Sports AM cha Azam Tv kianze saa 4:00 asubuhi

    Hiki ni kipindi kizuri sana, tatizo kubwa ni muda wa kuanza kipindi ambapo wengine bado huwa tupo ibadani maana huwa wanaanza saa mbili kamili asubuhi. Kwasisi watu wa zamani, kipindi hiki huwa na Ma-legend wa soka wa zamani huojiwa mubashara studioni na mtaalam Bin Zubery. Tunaomba suala la...
  20. B

    Shaka Hamdu Shaka kufanya ziara kwenye maonesho ya Sabasaba leo Julai 6, 2022

    MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KUFANYA ZIARA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA LEO- ASUBUHI HII. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumatano Julai 06, 2022 kuanzia Majira ya Saa 4 asubuhi hii atatembelea maonyesho ya Kibiashara ya Sabasaba Jijini Dar es...
Back
Top Bottom