Habari za asubuhi wana jukwaa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana nimeoa ninafanya kazi katika kiwanda kimoja hapa Dar, nina mkataba wa miezi 6 now imebaki 3 mkataba uishe. Tatizo ni kwamba mshahara ninaoupata ni mdogo kiasi kwamba hautoshi hata kwa mahitaji yetu...