Mimi sijipakulii minyama ila huyo mwanamke atakuwa kapata bahati sana Mimi sio mlevi sana, naheshimu mawazo ya watu, sikasiriki ovyo najitambua mno, simyenyekei mtu kisa ana pesa Wala mamlaka
Naamini kwenye ukweli hata kama Tanzania nzima itasema uongo sintoungana nayo .
Mungu anipe pesa za...
Baada ya Trump kumpa rungu Netanyahu kwa kumpatia silaha za kila aina ili kuingamiza Gaza.
Nchini Israel wameshatoa jina jipya Kwa eneo lote la Gaza baada ya kuondolewa wapalestina wote kwenda Egypt na Jordan
Katika mkutano wao Kati ya Trump na Netanyahu wamekubaliana kuwaondoa wapalestina wote...
Kama jibu ndio January Makamba na wenzakewote wenye imani kama yake itawapasa kusubiri mpaka 2040,Makamba atakuwa mzee wa miaka 65+,
Watoto wa 2000 watakuwa na umri kama alionao yeye kwa sas...,kutakuwa na wanasiasa wapya kabisa wenye confidence na ushawishi kulIko yeye,dalili zimeanza...
Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno...
Wanabodi,
Nami niko hapa Dodoma Jiji kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM.
Rais Samia katupiga bonge la surprise ya mwaka kututeulia Stephen Wasira kuwa M/Mwenyekiti CCM Bara!.
Wakati Comred Kinana aking'atuka, aliomba kupumzika, na kutoa sababu ni kupisha vijana, damu changa, damu chemka...
Nipo hapa Dodoma mzee mmoja wa Makamo ndani ya chama kateta nami jambo hili.
Mzee anadai Balozi Amina Ally aliteleza wakati wa kuomba kura huku akijua wazi jina la Lowassa limekatwa na kudai atamteua kuwa mgombea mwenza.
Kauli yake hiyo kilimkera mwenye Chama chake kipindi hicho na bahati...
Wanaotajwa sana na vyombo vya habari,mitandao na makada wa CCM kuwa mmojawao atateuliwa kuwa makamu mwenyekiti wa CCM Taifa ni hawa hapa.
1.Paul Kimiti
2.Abdulah Bulembo
3.Mizengo Pinda
4.Dr Bashiru Ally Kakurwa
5.Yusuph Makamba
6.Frederick Sumaye
7..Dr Asharose Migiro
8.Anna Makinda
9.Steven...
Habari za Leo.
Hakuna kitakachomfanya Lisu aendelee kubaki CHADEMA.
Lisu anagombea uenyekiti ili aisafishe CHADEMA Hasa kwenye Safu ya juu ya uongozi ambayo anaishutumu imechafuka kwa Rushwa na matendo ya kifisadi.
Ikitokea Lisu amepigwa chini. Na uongozi ule anaosema umechafuka kwa Rushwa...
Bila shaka umewahi sikia kuhusu msemo Pyrrhic Victory. Msemo huo unamaanisha ushindi uliopatikana kwa gharama kubwa kiasi kwamba umekuwa sawa na kushindwa. Miaka kama 300 kabla ya Yesu mfalme mmoja wa ufalme mdogo wa Kigiriki aliyeitwa Pyrrhus alipigana na Waroma. Alishinda vita ila alipoteza...
Jamani napata shida sana,kusikia Mbowe anasema yeye ndio amekijenga CHAMA, eti kwa fedha, mawazo,nk, nijuacho mm kiongozi mzuri na mwenye hekima hawezi kusema yeye ndio umekikuza CHAMA na kukijenga
CHAMA ni tasisi, ambayo inajengwa na watu mbalilmbali ndani ya nchi na nje, watu wanatoa michango...
Tindu Lissu na zile kampuni za Tigo ya zamani na wamiliki ni muda tu kabla ya kukubaliana kiasi gani wamlipe.
Mjadala unao endelea sasa ni mgawanyo kati ya Lissu na mawakili wake kwa mara nyingi mawakili wanataka 30% lakini Lissu amekazia hapo wakati wengine wakitaka 30% pamoja na gharama za...
Kila nikimtazama mh Rais naona hafurahishwi na mambo ya ovyo yanayoyofanywa na watendaji wake.
Nadhani anakwepa mgawanyiko katika Chama chake maana anataka ajenge umoja kuelekea uchaguzi mkuu ili aweze kushinda yeye na Chama chake
Mh Rais ni mtu wa haki. Na hapa anakuwa anawazoom tu
Baada ya...
Hizi tume binafsi sijawahi kuziamini kabisa zaidi ya kutumia kodi zetu.
Hivi unajua engn wa lile gorofa la Changombe lilodondoka tukasikia tume ushawahisikia matokeo ya tume?
Je wajua engn alietajwa kusimamia lile ghorofa n mmoja wa mabosi wakubwa.
Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa...
Bwana Trump ana viporo vingi mahakamani.
Je nini kitatokea kama bwana Trump ataenda jela?
Nani atakuwa rais? Au watamsubiri mpaka amalize hukumu kwanza au vipi, au nchi itabidi irudie uchaguzi?
Wataalam msaada hapo.
Natanguliza shukrani
Mzee kikwete akiulizwa kuhusu Mtazamo wake wa Uchaguzi wa Mwaka huu na nafasi ya CCM amesema:
"Mimi naamini chama kipo kwenye mazingira mazuri, lakini watu wanasema Politics is local, kuelekea Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa na uchaguzi wa Mkuu mwakani sina hofu na CCM, itaendelea kushinda na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.