atakuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Kwa Mazingira niliyokutana na huyu binti sikuamini kama atakuwa hivi

    Habari wanajf Ndugu zanguni nilipitia mahusiano ambayo yalinipa stress Sana drama zilikuwa haziishi kutokana na hivyo ikanifanya niachane na huyo binti na ikapelekea nijipe break kidogo ya mahusiano. Ilinichukua miezi 6 bila kuwa na mahusiano wala kufanya mapenzi. Kama binadamu wengine nikawa...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Nani atakuwa wa kwanza Kufa kwenye familia yenu na atakayefuatia ni nani?

    NANI ATAKUWA WA KWANZA KUFA KWENYE FAMILIA YENU NA ATAKAYEFUATIA? Anaandika, Robert Heriel Yule Mtibeli. Andiko hili linaweza kuwa nadharia tuu, inaweza kuwa kweli au kuukaribia ukweli. Taikon aliandika andiko hili miaka ya nyuma kidogo na hivi leo nitagusia machache. Nani atakuwa wa kwanza...
  3. Ileje

    Lissu: Rais Samia akiniteua katika Serikali yake atakuwa hanipendi

    Akihojiwa na mtangazaji wa Star Tv bwana Odemba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu amesema endapo Rais Samia atamteua kushika nafasi yoyote katika serikali basi atajua kuwa hampendi. Kwa kifupi Tundu Lissu amesema hawezi kukubali uteuzi wowote ndani ya serikali kwa sababu atakuwa...
  4. J

    Nani kuwa Naibu Spika? Ikumbukwe ni lazima awe Mbunge

    Mkeka wa Spika ndio umekamilika ambapo utabiri wa Pascal Mayalla na Genta juu ya Spika ajaye umekamilika. Sasa nafasi ya Naibu Spika iko wazi. Nani atatufaa? Je, ni vema akatokea Zanzibar kwa tiketi ya ACT wazalendo? Maendeleo hayana vyama.
Back
Top Bottom