GSM wana akili sana Waliifadhili Yanga kutangaza magodoro yao. Wakafadhili timu ndogo kutangaza Yanga.
Walitaka kufadhili ligi kuu eti Simba na timu zote zivae jezi ya GSM, Simba wakasema mkifanya hivyo tunahamia ligi ya Burundi au Zambia TFF wakaufyata.
Wanayo familia kubwa sana, nusu ya...
Kila ninapokuwa nikiingia hapa Jukwaani ni lazima nitakutana na Uzi wa huyu jamaa Anayejiita Chief Godlove
Nimekuwa nikilazimika kufungua nyuzi zake kwasababu nimekuwa nikiona mada zake zimekaa Kishambenga hasa kushambulia wanaume ambao yeye Kwa tafsiri yake amekuwa akiwaita "MASIKINI"
Huyu...
Kutoka ligi yoyote duniani.
Mi nadhani Hawa hapa hawatomaliza msimu na pengine hawatafika hata Christmas.
i)Eric Ten Haag
ii)Fadlu Davies
iii)Mourinho
iv)Vincent Kompany
Wewe mwanamichezo unahisi kocha gani atafukuzwa mapema?
Nimeshawaambia kuwa weatern siyo watu wazuri wakitaka jambo lao lazima litimie. Putin alinifanya mjanja sasa anapumulia mashine. Ukrain wameweza kuingingia nchini mwake na wanateka watu na putin analia kama mtoto.
Usicheze na nchi zenye demokrasia
Nchi za kidictator zinakuwa na poles nyingi za...
Nyota wa zamani wa Roberto Firmino kwa kushirikiana na mkewe, wameanzisha kanisa huko Maceio, Brazil ambalo yeye atakuwa miongoni mwa wachungaji.
Kufunguliwa kwa kanisa hilo ni kutimia kuwa ndoto ya muda mrefu kwa Firmino kufanya huduma ya uchungaji yeye pamoja na mkewe Larissa Pereira.
Eneo...
Muuza Madafu wa Ikulu, Barnabas Alexander, leo atapanda ulingoni kuzichapa na Fredy Sebastian kwenye hii Dar Boxing Derby. Hii ni exhibition fight lakini mabondia wote ni wapya kwenye ulingo mbali na kuwa wanaonekana wanajua michezo.
Je unadhani Komando Madafu atatoboa?
Mo ni mbinafsi,
Changu ni changu chako ni changu
Pesa yake ni yake, ila pesa inayopatikana SSC kama fungu la CAF au NBCPL pia ni yake,
Hii ni Falsafa yake,
Akisimama ktk camera husema simba ni yake,
Ana wajumbe wake kwenye bodi upande wa uwekezaji,
Wote ni watiifu kwake,
Wote wamejiuzuru...
Geita hawajawahi kufungwa na Azam pale kwao, leo wakifungwa wanashuka daraja, leo wakisare wanashuka daraja, wana mambo mawili, wakubali kuisaidia Simba ifuzu nafasi ya 2 na kujinusuru wasishuke daraja au kushuka daraja na kuipa Azam nafasi ya 2.
Wakubali kushirikiana na mnyama ili wasishuke...
Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala...
Sifa zake:-
1. Awe ni rais mstaafu wa JMT mkongwe kuliko wote.
2. Awe amehudumu kiti cha urais kwa mihula 2 (miaka 10).
Majukumu yake.
1. Kuridhia maamuzi ya serikali juu ya uuzwaji ama ubinafsishai wa rasilimali za nchi.
2. Kumpa ushauri rais juu ya masuala yote yahusuyo nchi.
3. Kumuwajibisha...
Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER.
Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka.
Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi.
=============
Tukirudi kwenye mada kumhusu huyu mwamba.
Kwamba, haina shaka kuwa anaijua historia ya Tanganyika na...
Imeshakuwa mila na desturi kwa timu hizi za jadi kuwapa presha wachezaji katika mechi za kimataifa ingawaje nayo huleta hamasa kwa timu, kwa timu zote mbili mechi za mwisho za makundi tumeshuhudia mechi ya yanga ilipewa jina la Pacome huku Simba mgeni Rasmi akiwa Enonga Baka na kufanikiwa...
Hii ni fursa adimu na inahitaji juhudi kubwa kutoka kwa wachezaji. Wanapaswa kujituma na kufanya vyema ili kufikia malengo haya makubwa.
Tunawatakia kila la heri katika safari yao ya kufikia mafanikio hayo against mamelodi.
🌟🇹🇿
Kufikia mafanikio ya kuwa bilionea ni ndoto kubwa kwa...
Hili swali hata mimi naomba kuuliza japo nimelikuta mahali.
Naomba kuuliza swali? Kuwa chama tawala kunatokana na kushikilia mhilili wa Serikali, mhimili wa Bunge au vyote viwili?
Mfano;
Chama cha Mapinduzi CCM kikishinda kura za urais na ndio kikaunda serikali..
ila Bungeni CHADEMA ndio...
Nilimsikia Fred Lowassa katika salaam zake za rambirambi pale Karimjee Hall, akitoa shukurani zake za dhati Kwa Rais Samia Kwa matibabu ya Baba yake, Hayati Edward Lowassa na kwenda mbali zaidi Kwa kutamka kuwa kama siyo Kwa msaada mkubwa aliotoa Rais Samia, baba yake asingeweza kufikia majuzi...
Jamaa tumewasiliana humu aliomba niweze msadia mambo kadhaa, nikasema haina shida lets meet. Ni almost two months anasisitiza jambo hilo nami nikaona si shida sababu binadamu ni kusaidiana. Jana tumeonana sehemu tukawa tunapata kinywaji na chakula akawa ananionesha kitu fulani kwenye simu yake...
Na baada ya Kumsoma na Kumjua kuwa ni Mshamba,. Akili hana na mpenda Sifa na Ukubwa wamemlevya kwa Kumdanganya na Nguvu Kubwa aliyopewa sasa, Ulinzi, Fedha za Kuchezea na Msafara mrefu wa Magari.
Yaani ninamuonea mno tu Huruma.
Yanga alijiwejea lengo la kufika hatua ya Makundi CAF CL, na keshatimiza lengo hilo, ikitokea ziada hiyo ni bonus.
Sema mashabiki wanakuwa na expectations kubwa sana sababu wanaiona timu yao iko vizuri mno, lakini Yanga inaelewa ugumu wa mashindano ya kimataifa na huwa haiwapi mashabiki wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.