Akihojiwa na mtangazaji wa Star Tv bwana Odemba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu amesema endapo Rais Samia atamteua kushika nafasi yoyote katika serikali basi atajua kuwa hampendi.
Kwa kifupi Tundu Lissu amesema hawezi kukubali uteuzi wowote ndani ya serikali kwa sababu atakuwa...