Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
Nakutana na watoto wawili wakiwa wanampiga ndege akiwa katika Kona moja ya nyumba,umri wao ni kama miaka mitano Kwa kukadiria.
Mmoja anamwambia mwenzake Yule ndege ni wangu lakini tukimpata tutagawana nyama wewe nusu na Mimi nusu. Mashallah nikajikuta nawaza mbali Sana.
Huwa tukiwa wadogo...
Athari za mabadiliko ya tabia nchi zimekuwa kubwa mno ikiwemo Joto kali lisilostahimilika, Mafuriko yanayoharibu makazi na miundombinu, Ukame unaosababisha kupotea kwa rotuba ya ardhi na Kuzorota kwa sekta ya kilimo.
Katika kupaza sauti juu ya suala hili ambalo linahitaji nguvu kubwa ya wadau...
Kampuni hiyo ya uzalishaji mafuta imetakiwa kufika mbele ya jopo la Wabunge wa Umoja wa Ulaya Oktoba 10, 2022 kujieleza kuhusu athari za Kimazingira na Ukiukaji wa Haki za Binadamu kwenye utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP).
Mtendaji Mkuu wa Kampuni...
Kwa foleni ya magari iliyopo Dar es salaam na wakati mwingine barabara za mwendo kasi zinakuwa wazi sioni kama ni sahihi kwa kuzuia polisi au watumishi wa vyombo vya dola ambao wanauharaka wa kwenda kutimiza majukumu ya kudhibiti uhalifu.
Piga picha utafakari kuna ghasia au benki imevamiwa...
Utangulizi
Tanzania ni nchi isiyokuwa na dini, lakini watu wake wana dini. Hili ni jambo zuri kwani katika ulimwengu huu wa Sayansi na Teknolojia wapo wengi ambao hawaoni tena umuhimu wa dini maishani mwao. Licha ya hilo, zipo athari nyingi hasi za wazi na zisizo za wazi zinazoweza kuathiri...
Katika siku za hivi karibuni limeibuka wimbi la watu wanaodai kuwa siasa ni kila kitu katika maisha. Je ni kweli kuwa siasa ni zaidi ya sheria ambayo ndio uti wa mgongo katika utawala bora?
Kwa Jicho pevu kabisa naweza kusema hapana si kweli kuwa siasa ni zaidi ya sheria. Ili kupata utawala...
Madhara Ya Ugonjwa wa Kisukari na Namna Ya Kuepuka
Vidonda kwa wagonjwa wa kisukari ni changamoto kubwa sana inayosababisha ulemavu unaotokana eidha kuwa kukatwa miguu au mikono.
Haya yote yanaweza kudhibitika kama tahadhari itachukuliwa katika muda muafaka.
Kabla ya kufahamu ufanye nini na...
Jamii nyingi za kiafrika zimekumbwa na matatizo mbali mbali katika familia kama:-
1: Ndoa kuvunjika
2: Baba kukimbia familia
3: Vijana kukataa mimba
4: Watoto kuugua magonjwa yatokanayo na ukosekanaji wa vyakula bora nk.
Ukosekanaji wa huduma bora katika familia hutokana na kukokuwepo kwa...
Tunapozungumzia maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na intanet bila shaka hutaacha kuzungumzia jukwaa linalotoa fursa za ajira, kujuajiri (yaani kuuza bidhaa au huduma kupitia internet), kurahisisha mawasiliano katika jamii zetu pamoja na kurahisisha upatikanaji wa taarifa...
1. Kuongeza Umasikini kwa Kubahatisha
2. Moyo Kudunda sana kwa kuwaza kama utashinda au hapana
3. Uwizi wa Fedha Kwingineko ili ucheze hizi Bahati Nasibu kila mara au kila Siku
4. Wivu na Chuki Kuongezeka kwa Walioshinda
5. Kumkufuru Mwenyezi Mungu kama Mmoja anacheza mno ila hafanikiwi na...
Leo tunakutana tena kuzungumzia jambo ambalo si geni kwenye maskio ya walio wengi japo halifahamik sana chanzo,sababu na athari zake kwa jamii.
Tuondoe dhana ya kusema kuongelea dhambi ni kufanya dhambi na haifai na kujiweka nyuma katika kufatilia mambo kama haya ndio chanzo kingine cha huu...
Watafiti wamezungumzia suala la ndoa kwa vijana wa kike, kasikazini mwa Tanzania, wameonyesha sababu za kupamba moto kwa matukio hayo na athari zake kwa waathirika wa mitazamo na mawazo hayo (wanawake).
Sababu za kupamba moto kwa matukio haya ni ukosefu wa elimu ya kutosha juu ya masala ya ndoa...
Masharti kwa waandishi wa habari katika nchi zenye changamoto ya utawala wa kiimla. Upatikanaji wa habari ni mdogo zaidi na waandishi wa habari wanaweza kupata udhibiti, mateso, na vitisho kwa Maisha yao. Nchini Urusi, kwa mfano, uvamizi wa Ukraine umesababisha sheria mpya inayozuia uhuru wa...
Yaliyomo:
UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO
MTOTO NA ELIMU
MTOTO NA JAMII
TABIA NA MATENDO
MTOTO NA MTAZAMO WA MAISHA
ATHARI ZA MALEZI DUNI
UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO
Utoto hauepukiki lakini je watoto wengi wanafurahia utoto wao?
Hali ya...
Athari za Matumizi ya Simu Barabarani na Sheria
Utangulizi
Kulingana na tafiti za Shirika la Afya Duniani(WHO) za mwaka 2022; ajali za barabarani zinaongoza duniani kwa kusababisha vifo, ambapo takribani watu milioni1.3 hufariki kila mwaka kutokana na ajali za barabarani. Huku madhara makubwa...
Uraibu hutazamwa kama ugonjwa au utumwa wa ndani unaotokana na hali ya kuzoea kufanya kufanya kitu chenye madhara bila kujizuia . mara nyingi watu huzingatia Zaidi uraibu wa dawa za kulevya na kuchukulia ulevi kama tabia lakini kisichojulikana ni kua kuna uraibu wa mambo mengi kama vile uraibu...
UTANGULIZI
Nchini kwetu Tanzania kwa sasa kumekuwa na mwendelezo wa ajali mbalimbali ikiwemo za magari barabarani, mashuleni kuwepo na ajali za moto ambao vyanzo vyake havifahamiki kwa haraka. Ajali hizi zinaweza kusababishwa na hali ya kimazingira, kiufundi au kibinadamu. Hapa ina maana kuwa...
Mjadala wa kisayansi juu ya uendelevu wa teknolojia ya ndani
Mbadala wa kilimo kidogo mageuzi ya kukabiliana na athari za mabadilko ya hali ya hewa kwenye mazao ya bustani🍃🎋
Akinukuu ripoti ya mkutano wa kilele wa hali ya hewa duniani wa 2021 joto la dunia limeongezeka kwa nyuzi joto 1.18...
Wafanyakazi wanaokaa kwenye viti kwa muda mrefu ofisini, wapo hatarini kuvimba miguu kutokana na kubana mishipa ya damu.
Wameshauriwa kujenga tabia ya kusimama na kufanya mazoezi ya kunyoosha mwili ili kujiepusha kubana mishipa hiyo.
Mtaalamu wa Udhibiti wa Magonjwa wa Wizara ya Afya, Dk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.