TANESCO wametaja mabadiliko ya mara kwa mara ya vipaumbele vya serikali kama moja kati ya kitu ambacho huathiri mpango wa TANESCO. Hayo yameandikwa katika mpango wa TANESCO wa 2020 hadi 2025. Pia wametaja mahusiano ya kimataifa na makubaliano ambayo huwa yanakuwa tofauti tofauti.
Katika mambo...
Na Pili Mwinyi
Ukame, mafuriko, moto wa msituni, ukosefu wa chakula, kutoka nchi zenye mapato madogo hadi zenye mapato makubwa duniani, athari za mabadiliko ya tabianchi zimekuwa zikishuhudiwa kila siku katika sayari hii. Kati ya mwaka 1998 na 2017, hasara iliyotokana na hali mbaya sana ya...
Mapungufu yaliyobainishwa katika utekelezaji wa miradi kwa utaratibu wa “force account”, yamepelekea kuwepo kwa athari zifuatazo:
a) Kuwepo kwa viashiria vya rushwa na udanganyifu katika mchakato wa ununuzi wa umma. Mfano; Kutilia shaka ushindani kwenye mchakato wa ununuzi katika miradi 21...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Mabadiliko ya Tabianchi ni suala la Dunia nzima, hivyo suluhisho lake linapaswa kuwa la Ulimwengu wote
Ameeleza kuwa hatua za pamoja zikichukuliwa na Mataifa, inawezekana kuokoa Ulimwengu. Ametoa wito kwa Mataifa yaliyoendelea kusaidia yale...
Tumewahi kusikia malalamiko kuhusu kada ya majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Malalamiko hayo, kwamba kuna majaji hawana viwango vya kiweledi vinavyotakiwa, yalitolewa bungeni, na mh. Tundu Lissu enzi hizo.
Nakumbuka Spika wa wakati huo, Anne Makinda, alikasirishwa sana na kauli hiyo ya Mh...
Kumekua na dhana ya muda mrefu ya kwamba jina analopewa mtu huwa lina athiri haiba yake. Hii inapelekea watu kuwapa watoto wao majina yanayoambatana na watu waliofanikiwa ili wafanikiwe pia.
Lakini pamoja na hayo nimekua nikiona kunabaadhi ya watu hawaendani na majina. Mf. unakuta mtu anaitwa...
Shirika la Afya Duniani(WHO) limesema vifovinavyotokana na maradhi ya TB vimeongezeka duniani kwa kuwa juhudi nyingi zimeelekezwa kwenye #COVID19.
Hadi sasa watu milioni 4.1 wanaugua TB kutoka watu milioni 2.9 mwaka 2019. Ambapo WHO wamesema kuna haja ya kuwekeza kwenye namna ya kuwapima na...
Madhara ya Kutokipa Kiingereza Umuhimu
Siku hizi nchi yetu ina tatizo la wananchi wengi kutoweza kuandika na kuzungumza kwa lugha ya Kiingereza. Kiuchumi, TAZIZO HILI SIYO HIMILIVU.
Adhari zake ni pamoja na zifuatazo:
1. Kukosa ajira za kimataifa. Nchi kama Uingereza inakuwa na upungufu wa...
Mfanyakazi wa zamani wa Facebook, Frances Haugen amewaambia Wabunge Nchini Marekani kuwa App za Kampuni hiyo kuleta athari kwa Watoto.
Facebook ni Mtandao wa Kijamii unaotumika zaidi duniani, ikiwa na watuamiaji wapatao Bilioni 2.7 kwa mwezi. Mamilioni ya watu pia hutumia WhatsApp na Instagram...
Wakuu hili swali nimeliuliza sehemu nkashindwa kupata majibu nimeona nililete hapa.
Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je kutakuwa na athari gani ktk jamii kiuchumi?
Mfano alama za kujiunga chuo ziwe atleast BBB
Nimeamua kuandika kuhusu swala la uvuvi haramu hapa nchini hasa nikiangazia ziwa Victoria Kwa sababu nina uzoefu mzuri kwenye shughuli za uvuvi. Nitaanza kwa kueleza maana uvuvi haramu na hali ya uvuvi haramu hapa nchini (hasa ziwa Victoria), athari zake na wajibu wa wananchi katika kuzuia uvuvi...
Nyumba iliyo karibu kusombwa na Bahari, kijiji cha Mdimni wilayani Mkuranga.
Na Mwandishi Wetu
Maisha ya wakazi wa Kijiji cha Mdimni kilichopo wilayani Mkuranga katika Mkoa wa Pwani, yapo shakani kufuatia sehemu kubwa ya ardhi yake kughubikwa na athari zilizokithiri za mabadiliko ya...
Sio mara moja wala mara mbili, watu wamekua wakiwalinganisha viongozi (Rais) na wazazi nyumbani. Kwa sasa Rais anaitwa mama na anayoyafanya kama vile afanyavyo kwa wanawe.
Imefika mahali hata mwenyewe anaona kama vile ni kweli anao wajibu wa kutenda vile atendavyo mama nyumbani.
Ni kweli kuwa...
kwa hatua hii bila shaka itauwa vipaji vya soka la vijana wetu kwani ni wazi sasa vilabu havitakuwa tena na mda wa kupoteza wa kulea vijana ili hali kuna soko tayari nje nje la vijana kutoka nje waliolelewa vizuri na wapo tayari kutoa matokeo mazuri (ikumbukwe lengo kuu la wamiliki wa vilabu...
UTANGULIZI
Kwa muda mrefu tumekuwa tunajiuliza nini hasa muarobaini wa ajira kwa wahitimu nchini? Kwanini wasomi hawaajiriwi au kuajirika? Upatikanaji wa ajira ni suala mtambuka ambalo watanzania wanajiuliza bila kupata majibu ya maswali haya:
Je suala ni wasomi wenyewe
je ni ukosefu wa stadi...
Hapa tuseme ukweli.
Tangu kuondoka Manara kuna mambo tayari Simba imerudi nyuma na kulingana na Yanga.
Kuna faida moja Manara ameiacha kwa Yanga nitaitaja baade.
Katika kipindi hiki cha usajili, tumezowea kuwa kipindi cha muhaho kwa pande zote mbili.
Manara akizowea kukoleza sana kwa kila...
ATHARI 8 ZISABABISHWAZO NA MSONGO WA MAWAZO
Msongo wa mawazo unajulikana kama sehemu ya maisha ya kawaida. Mwili wako unaweza kuitikia hali hii kiakili na kimwili. Hata hivyo msongo wa mawazo unaweza kusababisha athari mbaya kwako.zifuatazo ni athari mbaya za msongo wa mawazo.(8).
1. Uharibu...
Habari wakuu,
Husika na kichwa hapo juu, kuna mwana upande mmoja wa kichwa chake slightly umebonyea kuanzia katikati ya kichwa mpaka kwenye komwe.
Je, ni kweli hii husababishwa na kulazwa upande mmoja pindi unapokua bado kichanga? Na je, kuna njia yoyote inayoweza kutumika kurudisha shape ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.