Habari gani ndugu zangu wanaJamvi pendwa la Hoja Mchanganyiko.
Natumaini mnaendelea vyema kabisa na mihangaiko ya kila siku na mapambano ya UVIKO-19.
Niende kwenye maada moja kwa moja. Binafs, huu ugonjwa umeniathiri sana katika mahusiano yangu na watu ninao wapenda. Tuanzie hapa, Mwezi June...
Je, huwa unajisikia kuchoka? Wivu? Kama vile haufai au maisha yako sio bora kama ya wale unaowaangalia kwenye mitandao ya kijamii? Hauko peke yako. Hayo ni madhara machache kati ya mengi ya matumizi ya mitandao ya kijamii kwenye afya ya akili. Mitandao ya kijamii tunaipenda, inatusaidia kupoteza...
Julai 25, 2021 Wizara ya Afya imetoa muongozo wa kiafya ambao kimsingi haujaangalia ukali wa COVID19 na hali za maisha ya watu mtaani. Eti kinyozi anunue mataulo... ekhe wakati yeye vinyozi tuliozoea hata kubadili wembe ni ishu, hiyo mashine yenyewe kaiunga unga, ya moto hata mwenyewe...
Wakati kilio cha wananchi kikiongezeka kuhusu tozo mpya za serikali kwenye miamala ya kifedha kupitia simu, Watanzania wanajiandaa kukabiliana na tozo mpya kwenye laini za simu kuanzia mwezi Agosti mwaka huu.
Serikali imekusudia kukusanya jumla ya Tsh. bilioni 396.3 kutokana na tozo hizo ndani...
Naona mitandaoni suala la Ugaidi limechukua sura mpya ikionekana wapo watu wanataka kuonyesha kwamba imani ya kiislam na kikristo zote zinaweza kuzalisha ugaidi. Kwamba mwanzo kwenye uhamsho walihusishwa waislam na Sasa kuonyesha kubalance story Basi mbowe naye atapelekwa Magereza kwa Ugaidi...
Habari za muda ndugu zangu Watanzania,ni matumaini yangu tuko salama na tunaendelea kupambana kuijenga nchi yetu.
Sote ni mashahidi kwamba katika miaka ya hivi karibuni tangu kuingia kwa utandawazi, teknolojia pamoja na huduma za intaneti zimeboresha kwa kiasi kikubwa hali iliyochangia...
Hukizunguzia mapenzi hakuna yaliyomuacha kila mtu yamemgusa kwa namna moja au nyingine. hapa chini nmeandika mambo 5 ambayo unatakiwa kuyajua ili uhepukane na athali kubwa za mapenzi.
1) MWAMINI MWENYEZI MUNGU
Ukimuamini mwenyezi mungu utakuwa mtu wa subla, na subla...
Saalamu wanaJF,
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika
Zahanati hapa Tanzania nyingi zimekuwa zikijengwa sehemu ambazo ni karibu tunapoishi . Hii ni nzuri kwa sababu ya ‘easy access’ pale mtu anapopatwa na tatizo la kiafya linalohitaji uangalizi wa haraka hiyyo anaweza kupata msaada...
Wanasaikologia mpo wapi? Na kama mpo mnafanya nini? Jamii inahitaji msaada kutoka kwenu. Wanasaikolojia ni watu ambao ni muhimu sana katika afya ya kila mtu na hapa nchini huwa tunapokea wahitimu wapya kila mwaka wa masuala ya saikolojia lakini mimi sijawahi waona.
Hivi kwanini tusiwatumie...
“Kuvaa nguo ya ndani ambayo ni mbichi kunatengeneza fangasi ukeni, fangasi inaathari kubwa ikiwemo ya kula hadi mfumo wa uzazi, hivyo upo uwekezano mkubwa hasa kwa mwanamke kupata tatizo la uzazi.”
Hiyo ni kauli ya Dk Elizabeth Lema kutoka Hospitali ya Cornwell Tanzania ambaye amefunguka na...
UTANGULIZI
Hivi karibuni tumeshuhudia Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania likifanya mabadiliko ya sheria ya fedha, (The Finance Act) na kuongeza kifungu namba 46A, kifungu kidogo(1) kinachosema kwa tafsiri isiyo rasmi; “Kutakuwa na tozo zitakazokatwa kwenye miamala ya fedha kwa njia ya simu...
Siku chache baada ya tozo za miamala ya simu kuongezeka kutoka makato ya awali wakati wa kutuma pesa au kutoa pesa mpaka Makato ya sasa amambayo yapo na yanatumika Nini athari zake kwa watanzania
1. KUDORORA KWA BIASHARA ZA MTANDAONI
Biashara za mtandaoni zitapoteza wateja na kudorola hususani...
KUNA ATHARI GANI KUTUMIA MAYAI/NYAMA YA KUKU WA KISASA?
.
Kumekuwa na imani kwamba nyama au mayai ya Kuku wa Kisasa vina madhara mwilini. Madhara ambayo yamekuwa yakitajwa sana ni pamoja na kunenepa kupita kiasi, kupungua kwa nguvu za kiume, n.k.
Imani hii imekuwa ikihusishwa na dhana kwamba...
Makala haya mafupi yanaletwa kwenu na mwaandishi wenu Orkipirie lenaiterru kopp.
Ndoa za utotoni au katika umri mdogo ni pale ambapo msichana au mvulana wanapoingia katika ndoa wakiwa katika umri mdogo sana chini ya miaka 18.kwani umri mdogo huanzia 0-17miaka watoto ambao wapo katika umri huo...
IKULU, DODOMA: Mkurugenzi wa Idara ya Afrika kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) Abebe Selassie amesema Shirika hilo litasaidia Tanzania kupata fedha kwa ajili ya kuimairisha sekta zilizoathiriwa na COVID19 ikiwemo Afya, Utalii na Maji
Ameeleza hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais...
Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limetoa ripoti inayoangazia madhara ya mapigano katika eneo la Kaskazini mwa Nigeria, likikadiria kuwa athari za mgogoro huo ni kubwa mara 10 zaidi ya makadirio ya athari yaliyotolewa awali.
Awali, Shirika hilo lilikadiria kuwa takriban watu...
Mwaka 1991, Jumuiya ya Nchi Huru za Afrika (AOU) ambayo sasa inajulikana kama Umoja wa Afrika (AO), ilitangaza Juni 16 kila mwaka kuwa Siku ya Mtoto wa Afrika, ikiwa ni kumbukumbu ya mauaji ya Soweto, nchini Afrika Kusini Juni 16, 1976 ambapo polisi waliwashambulia kwa risasi wanafunzi waliokuwa...
Benki ya Dunia (WB) imefungua dirisha kwa Tanzania la kusaidia kukabiliana na athari za ugonjwa wa Uviko 19 katika Sekta mbalimbali ikiwemo ya Utalii, biashara na bajeti ya Serikali.
Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alipokutana na...
Malezi ya watoto ni elimu muhimu yenye ukurasa unaojitengemea. Tumekuwa na kujifunza darasani maada nyingi na muhimu katika maisha yetu, bahati mbaya ni kuwa suala la malezi ya watoto, ambalo kwa kiasi kikubwa wengi wetu laazima tupitie hatua hii limekuwa likiachwa nyuma, na sasa mtazamo binafsi...
Hizi ni roho ambazo shetani amekua akipandikiza kwa watu wengi wa kizazi cha leo kwa nia ya uharibifu. Spirit of man mwanaume kuvutiwa kimapenzi na mwanaume mwenzie vivyo hivyo kwa upande wa wanawake. Hizi roho zimemwagwa kwa vijana wengi sana kupitia ponography, laana kwenye familia, marafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.