1. Kumpoteza mteja
Kuna usemi usemao kumkopesha mteja ni kumfukuza. Nimesikia mara kadhaa wafanyabiashara wakisema tangu ni mkopeshe haji tena dukani kwangu, au tangu nimkopeshe anapita mbali tu. Mara nyingi mteja akishakopeshwa pesa au bidhaa haji tena kwenye biashara husika ili kukwepa kulipa...
Mimi nilitahiriwa bila ganzi, hivyo sijui!
Lakini naomba kujua, kuna baadhi ya taarifa katika jamii kuwa ile sindano ya ganzi inayochomwa kwenye mapumbu hubaki kwa athari ya baadae!
Ndiyo maana baadhi ya makabila hayaruhusu watoto kutahiriwa hospital!
Je ni kweli!? Kama kuna hanithi humu...
Watafiti katika Chuo Kikuu cha Oxford wanasema hata unywaji kiasi wa pombe unahusishwa na kuenea zaidi kwa athari mbaya kwenye ubongo kuliko ilivyotambuliwa awali. Utafiti huo umebaini kwamba kiasi chochote cha unywaji wa pombe kinaweza kukuletea madhara kwenye ubongo wako.
Utafi huo...
Ukweli bado vijana wengi tuna dhana ile tunaamini mwanamke ambaye hakuombi hela ndo anafaa kuwa mke sasa limeibuka wimbi kubwa la wanawake wapiga mizinga ukisikiliza maoni ya vijana wanasema wanawake hawa ni hit and run hawafai kuolewa.
Sasa nimeamua kuleta mada ili tupeane uzoefu kwa wanaume...
Mabibi na mabwana kwa vyama vilivyo na msukumo wa haki kama msingi wake mkuu, ni vyama vya kudumu na huendelea kuimarika kadri siku zinavyopita.
Vyama vya namna hii haviwezi kuhujumiwa kwa kuwekeza mamluki au hata kwa kununua watu.
Hakuna athari yoyote kwa vyama kama hivi kwa mamluki kuondoka...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Hamad Chande amesema ili kupunguza athari za mafuriko kwa sasa, kipande cha Mto Msimbazi cha Jangwani kinafanyiwa usafi wa mara kwa mara na Wakala wa Barabara TANROADS
Amesema Serikali imepanga kubadili eneo la Bonde la Mto...
Wakuu Umofia Kwenu! Yajayo yanaumiza!
Nimesoma taarifa iliyokua kwenye Gazeti la Tanzanite na Nimevumilia lakini Nikaona nifanye uchambuzi Wenye hoja chache tu. Hoja hizi zinaongozwa na Uzalendo na sio Ukada wala Ukamanda. Nitashukuru kama wote tutakaosoma Mjadala huu tutasimama kwenye misingi...
Hepatitis b (Homa ya Ini) ni maambukizi ya virusi kwenye Ini(Liver) .
Ini likiambukizwa hatuna matibabu kamili na yakueleweka Tanzania. Hepatitis (Homa ya Ini) imekuwa tishio kwa miaka hii na hasa kwa vijana.
JINSI HOMA YA INI INAVYOENEA
1.Ngono isiyo salama
2.Kuchangia nguo(Jasho na maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.