auawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Kenya: Mlinzi wa mke wa Raila Odinga auawa kwa kupigwa risasi

    Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Barrack Jaraha ameuawa leo Ijumaa Oktoba 14, 2022 nyumbani kwake huko Riat, Kaunti Ndogo ya Kisumu saa 11 alfajiri. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Nyanza, Karanja Muiruri amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akisema uchunguzi unaendelea ili kubaini sababu za...
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Hii ndio Afrika: Auawa kwenye jaribio la kuzuia risasi kwa hirizi

    Mvulana wa miaka 12, auawa kwa kupigwa risasi na kaka yake nchini Nigeria, katika jaribio la 'kuzuia risasi' kwa kuvaa hirizi mpya. Kwa mujibu wa polisi katika jimbo la Kwara, ndugu hao waliamini kuwa wamejiimarisha kwa kuvaa hirizi ya ulinzi, ndipo kaka mtu akampiga risasi mdogo wake kwa...
  3. JanguKamaJangu

    Somalia: Mwanajeshi auawa katika bomu la kujitoa mhanga

    Wanajeshi wengine 6 wamejeruhiwa katika tukio hilo baada ya mwanajeshi mmoja kujilipua katika kambi ya jeshi Magharibu mwa mji wa Mogadishu. Kundi Al Shabaab lenye uhusiano na Al Qaeda linadaiwa kuhusika katika shambulizi hilo. Muuguzi wa hospitali ya Madina amesema wamepokea mwili mmoja na...
  4. BARD AI

    TANZIA Mtanzania apigwa risasi na kufariki Afrika Kusini

    Familia moja ya Kigogo, Dar es Salaam, inaomboleza kifo cha mtoto wao nchini Afrika Kusini. Ericky Ismael Ngobei, 22, aliuawa kwa kupigwa risasi Alhamisi iliyopita usiku katika eneo la biashara lenye watu wengi baada ya kuzozana na washambuliaji. Ndugu wa marehemu amesema kuwa shambulio hilo...
  5. Mpinzire

    Mtoto wa miaka 15 auawa na Jeshi la Police Mkoani Mwanza

    Kijana Yahaya Aboubakar mwenye umri wa miaka 15 anadaiwa kukamatwa na askari polisi nyumbani kwa bibi yake mtaa wa Juhudi, Kata ya Mabatini wilaya ya Nyamagana Septemba 2, 2022, akiwa mzima, kisha polisi hao waliondoka nae na kumfungia ndani bibi yake Yahaya ambapo baada ya kufanikiwa kutoka...
  6. MK254

    Afisa wa ngazi ya juu Urusi, ambaye mndani wa Putin auawa kwa bomu Ukraine

    Huyu alikua anasimamia mji wa Berdyansk mpaka sasa haijaeleweka nani kamfanyizia, aidha itakua wanajeshi wa Urusi au makundi yanayounga mkono Ukraine. Kalipukiwa na bomu lililotegeshewa kwenye gari lake....watakufa sana hawa. Russian colonel and one of Vladimir Putin’s ‘closest allies’ was...
  7. JanguKamaJangu

    Ghana: Auawa kwa kushambuliwa na Simba akidaiwa kutaka kuiba watoto wa Simba

    Mamlaka za Ghana zinachunguza kifo cha Mwanaume mmoja kilichotokana na kushambuliwa na Simba katika bustani ya Wanyama Jijini Accra ikidaiwa alikuwa na lengo la kuiba Watoto wa Simba. Uongozi wa bustani hiyo umesema uchunguzi wa awali umeonesha marehemu aliruka ukuta wa futi 10 kisha wa futi 20...
  8. Lady Whistledown

    Dodoma: Auawa na polisi baada ya kuwashambulia kwa mishale iliyohisiwa kuwa na sumu

    Jeshi la polisi limethibitisha kuuawa kwa risasi Nada Songo(45), mkazi wa wilaya ya Chemba, katika harakati za kumkamata baada ya kuwashambulia askari na wananchi kwa mishale iliyodhaniwa kuwa na sumu. Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Martin Otieno amesema mtuhumiwa alifariki mara baada ya...
  9. Lady Whistledown

    Mkosoaji Mashuhuri wa Serikali ya Sierra Leone auawa na Polisi

    Mkosoaji mashuhuri wa Serikali ya Rais Julius Maada Bio ameuawa wakati wa uvamizi wa polisi waliokuwa katika msako wa wahusika wa maandamano ya Wiki iliyopita, na kuzua wasiwasi mkubwa kuhusu mauaji ya kiholela na shutuma za kuwalenga watu wa upinzani Kulingana na polisi, Hassan Dumbuya...
  10. Mpwayungu Village

    Kenya 2022 Afisa wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya auawa

    Daniel Musyoka aliyekuwa afisa wa tume ya uchaguzi nchini Kenya alipotea siku nne zilizopita akiwa katika chumba cha majumuisho ya kura, alisogea pembeni kidogo kuzungumza na mtu ambae hakujulikana kwa sura wala jina, baada ya hapo hakuonekana tena mpaka hapo Jana alipokutwa amekufa porini...
  11. JanguKamaJangu

    Nigeria: Kiongozi wa Boko Haram auawa katika shambulizi

    Ripoti ya Jeshi la Nigeria iliyotolewa leo Agosti 8, 2022 imeeleza taarifa ya kuuawa kwa kiongozi wa Kundi la Boko Haram, Alhaji Modu ‘Bem Bem’ baada ya kufanyika kwa mashambulizi ya anga. Mbali na kiongozi huyo pia Wanamgambo 27 wa kundi hilo pia wameuawa katika mashambulizi ya Agosti 3, 2022...
  12. P

    Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri auawa kwa shambulio la drone lililofanywa na Marekani

    Taarifa zilizopatikana mida hii zinasema kuwa Marekani imefanikiwa kumuua Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri katika shambulio lililofanyika huko Afghanistan Al Zawahiri alichaguliwa kuwa kiongozi wa Al Qaeda baada aliyekuwa kiongozi wa Al Qaeda, Osama Bin Laden kuuwawa na majeshi ya...
  13. Roving Journalist

    Nigeria: Padri aliyetekwa auawa, mwingine afanikiwa kutoroka

    Watekaji wamemuua Padri John Mark Cheitnum katika Jimbo la Kaduna Nchini Nigeria ikiwa ni siku chache tangu iliporipotiwa kuwa ametekwa Julai 15, 2022. Tamko lililotolewa na Kanisa Katoliki la Kafanchan limetangaza msiba huo huku padri mwenzake ambaye walitekwa pamoja, Donatus Cleophas...
  14. M

    SI KWELI DR Congo: Muasi Sultan Makenga auawa

    Kumekuwa na uvumi wa muda mrefu kuwa Bri Gen Sultan Makenga kauawa vitani huko DRC. Hatimaye Leo zimevujishwa picha za maiti ya Makenga kwenye mitandao ya kijamii. Itoshe nisema hili ni pigo kubwa sana kwa M23 na kwa Rais Kagame bila kumsahau Lut Gen Kabarebe wa Rwanda. Brig Gen Sultan...
  15. JanguKamaJangu

    Mwandishi wa habari auawa kwa risasi akiwa anatoka nyumbani kwake, binti yake ajeruhiwa

    Mwandishi wa habari, Antonio de la Cruz (47) ameuawa kwa kushambuliwa na risasi nje ya nyumba yake huku binti yake akijeruhiwa vibaya katika shambulizi hilo Mjini Ciudad Victoria Nchini Mexico. Marehemu alikuwa akiripoti katika Gazeti la Expreso kwa zaidi ya miaka 20, anakuwa mwandishi wa 12...
  16. EINSTEIN112

    Raia wa US anayepigana Ukraine auawa

    Raia wa Marekani anayepigana na wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine ameuawa. Stephen Zabielski, 52, "alifariki siku ya Jumapili, Mei 15, 2022, wakati akipigana vita katika Kijiji cha Dorozhniank, Ukrainia," Habari hizo zilikuja baada ya Wizara ya Mambo ya Nje kubaini Mmarekani wa tatu kuwa...
  17. figganigga

    Ngorongoro - Loliondo: Askari Polisi amekufa baada ya kupigwa Mshale mmoja tu, RC Mongella amlilia

    Askari Polisi mmoja ameuawa kwa kupigwa mshale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa zoezi la uwekaji mpaka katika eneo la pori tengefu kwenye Tarafa ya Loliondo. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akisema kwamba kifo hicho kilitokea Juni 10 alasiri, na...
  18. JanguKamaJangu

    Putin ampoteza Meja Jenerali, auawa katika mapigano Ukraine

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amepata pigo baada ya kumpoteza jenerali wa 11 katika mapambano dhidi ya Ukraine, aliyefariki ni Meja Jenerali Roman Kutuzov. Inaelezwa gari lake lilishambuliwa wakati wa mapigano katika Mji wa Donbas. Kinatajwa kuwa kifo cha juu zaidi kwa waliofariki katika...
  19. JanguKamaJangu

    Waandishi wawili wa Reuters wajeruhiwa, dereva wao auawa Ukraine

    Waandishi wawili wa habari wa Reuters wamejeruhiwa huku dereva wao akiuawa baada ya gari walilokuwa wakilitumia kushambuliwa Mashariki mwa Ukraine katika Jiji la Sievierodonetsk Tukio hilo ni mwendelezo wa maumivu wanayopata waandishi wa habari katika vita ya taifa hilo dhidi ya Urusi...
  20. JanguKamaJangu

    Mwanajeshi wa Umoja wa Mataifa auawa Nchini Mali

    Mmoja wa wanajeshi walinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN) ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa wote wakiwa ni raia wa Jordan, jana Juni Mosi, 2022 katika shambulio la kigaidi dhidi ya msafara wao katika Jimbo la Kidal, Kaskazini mwa Mali. Msafara wao ulishambuliwa kwa silaha ndogo katika...
Back
Top Bottom