awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ime

    Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka Shilingi Bilioni 16 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya, kwa ajili ya Ujenzi wa Jengo la Huduma za Mama na Mtoto, pamoja na...
  2. Ojuolegbha

    TRA yavunja rekodi ya makusanyo miaka 4 ya serikali ya awamu ya 6

    TRA YAVUNJA REKODI YA MAKUSANYO MIAKA 4 YA SERIKALI YA AWAMU YA 6 Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda leo tarehe 12.03.2025 amewasilisha mafanikio ya TRA kwa kipindi cha miaka 4 ya Serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
  3. chizcom

    Kila awamu zikifika ili neno ccm wanapenda kulitumia la “serikali au awamu iliyopita ….”

    Tokea kupata uhuru hakuna chama chochote cha upinzani kilichoweza kushika hata uraisi wala maamuzi makubwa zaidi ya chama cha ccm. Maamuzi haya yapo ndani ya serikali ya ccm ambayo ndio chama kilichomo. Sasa neno ili la ulaghai linapendwa sana kutumia kila anayeingia iwe...
  4. milele amina

    Jamani, kama kuna fedha kuibiwa, basi awamu ya sita inakabiliwa na wizi mkubwa kweli! Uwanja huu eti umekarabatiwa kwa 1. 5 Billion?

    Jamani, kama kuna fedha kuibiwa, basi awamu ya sita inakabiliwa na wizi mkubwa kweli! Uwanja huu, ambao umekarabatiwa kwa gharama ya shilingi bilioni 1.5, hauna thamani yoyote. Inashangaza jinsi uongozi wa Manispaa ya Moshi unavyoweza kutufanya tuone kama tumepigwa kichefuchefu kwa jambo hili...
  5. Subira the princess

    Si vema serikali ya awamu 6 kulipuuza hili.

    Wasalaam Mungu wa binguni alitupa hii hazina tukaipoteza na kumpoteza mweka hazina. Hayati mwendazake alitengeneza njia sahihi kuhakikisha tunajitegemea kwa madini yetu, ajabu amefariki na upigaji wa tanzanite umerudi kwa kasi ya kimbunga. Sikiliza hapa uni jibu je tumelaaniwa?
  6. Z

    Inakuwaje Arena ijengwe Kawe wakati Serikali ya awamu ya 5 ilitoa eneo kubwa lililopo Kwembe/luguruni kwaajili ya kujenga Arena?

    Eneo kubwa linalo milikiwa na Serikali lililopo Kwembe/luguruni lilitolewa au lilitengwa na Serikali ya awamu ya 5 kwajili ya ujenzi wa Arena baada ya Mbunge wa eneo hilo kuliomba. sasa leo hii tunasikia Arena itajengwa Kawe?!! kulikoni? mboni wilaya ya Ubungo inatengwa kupata miradi ya...
  7. Mr nobby

    Je, wajua mwaka huku hapatakua na kumbukumbu ya kifo cha ally Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya pili?

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe. Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku za maraisi wengne walio fariki? Je, waliotangaza kifo hiki siku ya tarehe 29 hawakujua kama tar 29...
  8. Pfizer

    Mndolwa: Serikali ya Awamu ya Sita Imewekeza Trilioni 1.2 Katika Sekta ya Umwagiliaji

    📌NIRC Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi trilioni 1.2 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali katika sekta ya umwagiliaji nchini. Lengo ni kuboresha kilimo nchini, na kuongeza hali ya upatikanaji wa chakula ili kufikia adhima...
  9. Eli Cohen

    Ukishinda Urais, vitu gani vitano utafanya katika utendaji wako?

    Ndio umeshinda urais wa awamu ya saba. Ni vitu gani vi-5 utaviondoa au kuvifanyia reformation ili utendaji wako na maendeleo ya wananchi viwe thabiti. Karibuni wakuu.
  10. Waufukweni

    Pre GE2025 Mwigulu: Anayeongea ndiye Waziri Fedha, mkirudi Majimboni waambieni Wajumbe wenu hakuna awamu imetoa pesa nyingi kama ya Sita

    Waziri wa Fedha, Mwigulu amejigamba Mbungeni kuwa "Anayeonge ndiye Waziri Fedha, mikirudi Majimboni waambieni Wajumbe wenu hakuna awamu tumetoa pesa kama awamu hii ya Sita Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  11. Beira Boy

    Hii mbunga imekimbiwa awamu hii, watu wanaishi mjini

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO Kwa mbali naliona pori la chamwino ambalo limikimbiwa kibabe sana Watoto wa mjini huwa wanaishi mjini siyo porin Pumzika kwa aman anko magu , polen watanzania kukosa viongozi wazalendo badala yake mna viongozi wala Bata tu SAYUNI BOY
  12. milele amina

    Hatari ya CCM Kuchagua Nchimbi Mapema kugombea Umakamu wa Rais

    Utangulizi Katika kipindi hiki cha kisiasa, ni muhimu sana kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa makini na maamuzi yake, hasa katika kumchagua Nchimbi kuwa Makamu wa Rais kuelekea mwaka 2030. Hatari hii inaonekana wazi kwa sababu inawezekana kwamba tunajenga msingi wa Rais wa mwaka 2030 hadi...
  13. Ojuolegbha

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,235.1 mwaka 2020 hadi 15,366.36 mwaka 2024. Huo ni utekelezaji wa ujezi wa barabara zenye urefu wa kilomita 2,131.26. Pakua Samia App kupitia...
  14. Christopher Wallace

    Walinzi wa Rais Mwinyi wamenikumbusha enzi ya awamu ya tano huku bara

    Rais Mwinyi wa Zanzibar ana ulinzi wenye madoido na wa aina yake. Amenikumbusha enzi ya awamu ya tano chini ya hayati John Pombe Magufuli. Hongera sana Rais Mwinyi!
  15. Mshobaa

    DOKEZO Ni kitu gani kinakwamisha awamu ya pili ya mradi wa DMDP wakati fedha zilishatolewa na Waziri?

    Wakuu salaam, Nadhani sasa ifike mahali sisi wananchi tuache kudanganywa kwa ahadi hewa. Tumesha kuwa watu wazima sasa, sio watoto. Huu mradi sote tulishuhudia utiaji saini wake na Mh. Mchengerwa mwaka jana, mwezi Oktoba, na kuahidi utekelezaji wake ufanyike mara moja. Naomba kuuliza, ni...
  16. Tlaatlaah

    Pre GE2025 JF kama timu na familia moja Oktoba 2025: Twendeni tukamchague Dkt. Samia Suluhu, Mgombea Urais wa CCM kwa awamu ya pili kama mkuu wa nchi yetu huru

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu. Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana...
  17. chiembe

    Pre GE2025 Baada ya kuchaguliwa kuwa Rais 2025-2030, Rais Samia aandae mchakato wa maridhiano awamu ya pili ambao utakuwa na mambo makubwa zaidi

    Kwa kuwa sasa ni dhahiri maridhiano yanalipa, yameleta utangamano wa kitaifa. Nashauri Rais Samia aandae maridhiano awamu ya pili ambayo itagusa mambo makubwa makubwa ya kisiasa, ikiwamo mabadiliko ya sheria mbalimbali. Mchakato huo uhusishe vyama vyote. Tumpe ushirikiano ilo afanikishe hilo
  18. chiembe

    Kwa madhila ya awamu ya 5 yanayosemwa na Erick Kabendera, anayebeza maridhiano ya awamu ya 6 alaaniwe na kila mtu mwenye nia njema

    Kwa niliyosikia akisema Erick Kabendera, halafu unasikia mtu anabeza maridhiano na kuyaita upuuzi. Taifa lote tusimame na kumpuuza kwa nguvu zote. Kama nchi, tumepiga hatua kubwa kutoka katika hali ile. Tuwapongeze Mama Samia na Mbowe.
  19. L

    Awamu nyingine ya urais wa Trump itakuwa na matokeo gani kwa ushirikiano kati ya China na Afrika?

    Mara ya kwanza wakati Donald Trump alipogombea urais wa Marekani dhidi ya Hilary Clinton, wanadiplomasia wengi na wataalam wengi wa mambo ya uchumi, waliweka karata yao kwa Hilary Clinton, wakiamini kuwa Hilary alikuwa na uelewa wa kina kuhusu Afrika, na kama Trump angeshinda basi Afrika...
  20. G Sam

    Awamu hii ni ama ivuke Chadema sanaa au ivuke Chadema wazalendo. Haiwezi kuvuka imechangamana

    Na huo ndiyo ukweli. Chadema ya sasa imechanganya Chadema sanaa na Chadema wazalendo. Hizi Chadema zilikuwa pamoja. Mbowe ambaye ni kiongozi wa Chadema sanaa ametengana na Lissu ambaye ni kiongozi wa Chadema wazalendo. Hawa watu walikuwa pamoja na sisi wafuasi wa kila mmoja tulikuwa pamoja...
Back
Top Bottom