awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Awamu ya pili ya Operesheni Haki kutikisa tena, itaanzia Kanda ya Pwani

    Ile kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi iliyotikisa Nchini Tanzania ya OPERESHENI HAKI , itaendelea tena baada ya kusimama kwa muda kwenye Kanda ya Pwani na baadaye Zanzibar na Pemba , Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika...
  2. JF Member

    Sasa ni dhahiri teuzi za Awamu ya Sita ni za wa Social Media

    Kila zama na wakati wake. Tukianza awamu ya Nne teuzi zake zilitegemea sana watu walio ndani ya chama na watu walio kuwa nje ya nchi (Wenye exposure zao). Awamu ya Tano: Watu wenye PhD zao na Profs walilamba Teuzi. Awamu ya Sita tunaona watu wanaoteuliwa ni watu wa social media. Mdau mmoja...
  3. Shujaa Mwendazake

    Tuache kuwalaumu wateule wa awamu iliyopita, hali ilikuwa ngumu sana

    Namnukuu mwanajamvi mwenzetu white wizard: "Huo ndio ukweli mtupu!!watu watawalaumu sana, viongozi wengi waliopita, DPP, DCI, TAKUKURU, RC, DC, DED, IGP kwa mambo yaliyofanyika huku wakiwepo, lakini ki ukweli hawakuwa na namna ya kuyazuia, kwani mwendazake ndio alikuwa nyuma yake, labda njia...
  4. Wakusoma 12

    Wanaosema Rais Samia mpaka 2030 wanajua maana ya demokrasia? Je, somo la Awamu ya Tano halikueleweka?

    Wakuu wameanza tena, Wanasema mama mpaka 2030 na atakayempinga atakiona. Najaribu kuwaza hawa watu tunaposema "Kila amtegemeae mwanadamu amelaaniwa" hawaelewi? Awamu ya Tano walianza hivihivi, wakamtia kibri JPM wakakufuru na mwisho laana ikawa juu yao. Ameanza Kigwangala, jana tukamsikia tena...
  5. Chizi Maarifa

    Mafanikio Makubwa ya Kitabibu Yafanyika. Hongera Serikali Awamu ya 6

    Jamiiforums naona kuna baadhi ya threads mnazi delete bila sababu ya msingi. Tupeane Mwongozo Zinatakiwa threads za namna gani pekee? Tunashukuru pia kijiografia nchi kama Usa, Ugiriki, Misri sasa zimesogezwa karibu na Tanzania.
  6. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Watoto waliozaliwa Awamu za Kikwete na Magufuli wana Majibu ya Kukusababishia ukaishi Gerezani Segerea milele?

    Mtoto unamuhangaikia Kumsomesha Usiku na Mchana halafu unamuuliza unataka kuwa nani baadae anakujibu anataka kuwa Mpiga Debe Msamvu Bus Terminal. Huyu huyu Mtoto ukipiga na ukamvunja vunja na Kumuharibu kwa Hasira Serikali ya Mama Samia haitakuelewa na labda hata Kukusamehe isikushtaki? Halafu...
  7. Morgan Freeman

    Kuna watu walichonga majeneza yao wenyewe Serikali ya Awamu ya Tano

    Wasalaam wadau, Wakati fulani katika awamu ya tano, kiliibuka kikundi cha kusifu na kuabudu viongozi hata kufikia kutaka kubadili katiba ili kuwaongoza muda viongozi walio madarakani, sio nia ya bandiko langu kutweza utu au legacy ya hayati mwenyekiti wangu Dkt. JPM bali kuwakumbusha waabudu...
Back
Top Bottom