awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) wanatokaje awamu hii?

    Awamu ya tano ilikuwa na maupendeleo kibao. Mikopo ikawa inatolewa kwa watoto wanaosemwa ni wa walalahoi. Watoto wa tabaka la wafanyakazi - hata wale ambao mishahara yao ni kiduchu na haijapandishwa kwa miaka sita mpaka sasa, watoto wao wakanyimwa kukopa. Vigezo vya kutoa mikopo vikaangalia...
  2. Crocodiletooth

    Vyombo vya umma vya kisheria na haki vimepunguza Kasi katika awamu hii, viongeze kasi

    Binafsi naona kasi ikipungua kwa Kasi ya hali juu kwa mashauri ambayo kimsingi mashauri yake yapo wazi kabisa tena hayana complications za aina yoyote ikimaanisha pande mbili ambazo zinashindana katika mgogoro kutoona umuhimu wa kuendelea na shauri usika na kuona wayamalize kinyumbani hapa Huwa...
  3. Linguistic

    Nape: Sasa hivi vyuma vimelegea, Rais Samia kamwaga pesa mtaani tofauti na awamu iliyopita

    Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia? Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
  4. CM 1774858

    Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari nchi nzima

    Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania. " Hakuna kama Samaia " Baada ya janga la Covid-19 kuvuruga Uchumi wa dunia na sisi tukiwemo, Shirika la fedha duniani ( IMF)...
  5. peno hasegawa

    Mkiambiwa maisha ni magumu awamu ya sita muelewe

    Haya habari ya mjini
  6. jitombashisho

    Kwa nini wakati wa Utawala wa Magufuli umeme haukuwa wa tabu kama awamu ya Samia?!

    Ukweli ni kwamba pamoja na kukatika umeme kwa nyakati fulani wakati wa uongozi wa Magufuli lakini kero hiyo imezidi na kushamiri mno kipindi hiki cha miezi 6 baada ya kifo cha JPM. Sielewi tatizo ni nini!
  7. P

    Makamba na nongwa za bodi ya TANESCO, ni marudio ya awamu nyingine japo yalifanyika kimya kimya

    Uwezo wa watanzania ni kulalamika kwa vitendo, kwa kutumia ushahidi wa video zilizopita. Yaani ilimradi walalamike, waweke hisia zao wazi ndio huwa furaha yao kuu. Tangu JPM alale usingizi wake wa milele, kuna wanaoishi kwa hasira na majonzi yasiyosemeka. Kila ambacho Mama atakifanya kitaonekana...
  8. K

    Tunakwenda wapi? Gachuma awamu ya tano Mwalifu, awamu ya sita mjumbe bodi ya TANESCO

    Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana. Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu...
  9. chiembe

    Siasa za kilaghai za Polepole: Awamu ya Nne aliunga mkono Katiba Mpya; Awamu ya Tano alikataa, Awamu ya Sita anaitaka kwa gia ya Shule ya Uongozi

    Huu ulaghai wa hali ya juu unaofanywa na Polepole, alikuwa anapinga katiba mpya enzi ya mwendazake, alitumia muda mwingi kukata viuno akicheza mabolingo huku akijirekodi katika camera, alishuhudia na akawa sehemu ya tawala ya hovyo kabisa katika historia ya nchi hii,alikuwa sehemu ya tawala...
  10. Mmakedonia

    Kuhusu udahili wa kozi za afya awamu ya pili 2021/2022

    Tarehe 17/09/2021 NACTE kupitia ukurasa wao waliweka tangazo na ndani ya hilo tangazo wamesema wale wanafunzi ambao hawakuchaguliwa na ambao hawakuomba nafas za vyuo basi wafanye hivyo katika awamu hii kwani ndio awamu ya mwisho kwa muhula huu wa masomo. Sasa hapa tangu juzi naingia kwenye...
  11. Richard

    Serikali ya awamu ya tano ilikusanya kodi Trilioni 1.3 kwa mwezi, leo awamu ya sita yakopa fedha hizohizo kutoka IMF kwa matumizi yaleyale

    Katika kile serikali inachoamini kufufua uchumi ulokwamishwa na janga la UVIKO-19, mapema mwezi ulopita wa August iliandika barua ya kuomba mkopo IMF. Katika barua hiyo ambayo iliandikwa na waziri wa fedha Mwigulu Nchemba na Gavana wa BOT Florens Luoga, serikali imeahidi matumizi mazuri ya...
  12. B

    Je, tunatoa mahabusu wa awamu ya tano tupate nafasi ya kuweka wa awamu ya sita?

    Jamhuri iliweka watu watu ndani zaidi ya miaka mitatu ndani bila kusikiliza kesi zao na baada ya awamu ya sita kuingia madarakani watu wale wanaondolewa Magerezani kupitia ofisi ile ile iliyokuwa inawashikilia. Mmoja Wapo Ni kaka yangu Rwegamalila. Wakati wakina Rwegamalila wakiondoka gerezani...
  13. masopakyindi

    Kimaendeleo Awamu ya Tano iliinyanyapaa Nyanda za Juu Kusini. Mabalozi EU watembelea

    Nyanda za Juu Kusini, Mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma, Rukwa hata Katavi imenyanyapaliwa sana na Awamu ya Tano kimaendeleo. Mikoa hii ndiyo bread basket ya nchi-wazalishaji wakubwa wa chakula. Mwaka huu wamezalisha mahindi mengi kuliko uwezo wa Serikali. Pengine Magufuli alitembelea mikoa hiyo...
  14. K

    Tunapima Legacy ya Awamu ya Nne na Tano kwa Uzani: Mfano wa karatasi v/s Chuma

    Mtapima wenyewe. Kanuni ya maumbile ni moja tu. Kilo 1 ya karatasi ni sawa na Kilo 1 ya chuma. Awamu ya Nne v/s Awamu ya Tano i. Kuweka mazingira ya uwekezaji kuwa ya kuvutia v/s...
  15. britanicca

    Uongo wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. John Pombe Magufuli utawatesa sana Marais watakaofuata na Samia akiwa miongoni

    Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!! 1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion...
  16. M

    Kwa Mbumbumbu mnaojitoa ufahamu na kudai kupinga chanjo ya corona ni "uharibifu" uliofanywa na serikali ya awamu ya 5. Cheki hapa!

    Nyomi hii ya maandamano ya kupinga corona mjini London Uingereza. Sipuka Ndugayi waite na hawa kwenye kamati ya maadili!! Waliharibiwa pia na JPM!! Watu wanafiki wanatia kichefuchefu sana!! Alipokuwepo ndio walioongoza hoja ya kuvunja katiba ili aongezewe kipindi cha kutawala zaidi ya miaka 10...
  17. M

    Wakili Peter Madeleka: Freeman Mbowe amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa gerezani

    Nimeshtushwa na kusikitishwa sana, na hii taarifa kuwa mh. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwekwa 'Condemn'. Yaan kuwekwa katika gerezani kwa kuchanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Hii Ina leta maana kwamba wanamuandaa na kumtesa kisaikolojia kufanya ajiskie si chochote, na...
  18. Stephano Mgendanyi

    Ridhiwani Kikwete: Chalinze tumepata maendeleo makubwa ndani ya muda mfupi wa uongozi wa Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete aishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan. Kazi Nzuri inayofanywa na Serikali yetu ya Awamu ya Sita Chini ya Uongozi wa Mhe. Samia Suluhu Hassan ndani ya Kipindi hiki cha Miezi Sita katika...
  19. Sauti ya Umma

    SAU yawashauri wanasiasa kuendelea kuiunga mkono Serikali ya awamu ya 6

    CHAMA CHA SAU CHAWASHAURI WANASIASA KUIUNGA MKONO SERIKALI YA AWAMU YA 6 Katibu Mkuu wa Chama cha siasa cha Sauti ya Umma (SAU ) Majalio Kyara akizungumza na Mtandao huu+ ofisini kwake Mgomeni Kagera jijini Dar es salaam. NA MUSSA KHALID DAR ES SALAAM Katibu Mkuu wa Chama cha siasa cha Sauti...
  20. Mung Chris

    PSSSF malipo ya pensheni kwa awamu haifai mkiri tu kwamba hamna pesa

    Tatizo hili lili watokea wengi ma askari waliokuwa wanalipwa pensheni miaka ya nyuma awamu ya tano, kwa uzoefu tulijua pensheni hulipwa zote sasa hii habari imekuwa ni kikwazo sana kwa mtu anayetaka kufanya maendeleo ya haraka. Kwann PSSSF msitoe tangazo rasmi kuwa pesa hamna vizuri maan...
Back
Top Bottom