Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.
Niseme tu ,kama Rais...
Jumuiya ya kimataifa (wabeberu) wameikalia kooni serikali ya Mh. Samia Suluhu, kwa kutuma mawakala wake kufuatilia kila hatua jinsi kesi ya kubumba (mchongo) inayomkabili Mh. Mbowe na kutuma ripoti kwa kila hatua inavyoendeshwa.
Na wameahidi hakuna kutuma misaada hadi pale watakapomuachia Mh...
Awaye yote atake au asitake Mola anayo namna yake ya kusema na waja wake:
Ikumbukwe kuwa imeandikwa, (Mathayo 7:15-16) "manabii wa uongo mtawajua kwa matunda yao."
Izingatiwe kuwa utabiri wa Lema unafungamanishwa moja kwa moja na umuhimu wa matendo ya haki kwa wengine, kuweza kuivuna...
Ninayoenda kuyaandika hapa yanaweza kuchukuliwa kama masihara au kukosa uelewa wa siasa za nchi hii lakini ni ukweli usiopingika mtu mwenye kariba, mtazamo na uwezo kama wa JPM wa kupambana na mafisadi na wazembe ni Dkt.Bashiru.
Uongozi wa Rais Samia unafanya vizuri sana katika kusaka fursa za...
Enyi walimwengu
Naomba msaada kujulishwa hayati JPM akiwa raisi alivunja mahusiano gani na nchi mbali mbali Na jumuia za kimataifa ambazo leo nasikia wengi wakitamka kuwa sasa mahusiano hayo yaliyovunjwa awali yanatejeshwa kwa kasi sana.
Angalizo
kwa waleta majibu ya maswali hapa chini ndo...
Polepole anatafuta namna ya kuwafanya Wananchi wajinga, anatafuta namna ya kutumia kile chumba anachodai kimevunjwa kuonyesha Wananchi kwamba yeye ni mzalendo na hakujilimbikizia Mali, anataka kuonyesha Wananchi kwamba yeye ni fukara na mtu wa kiwango Cha chini kimaisha. Tumpuuze
Kwanini...
Kumekuwepo na mjadala mkali juu ya kutaka kujua watanzania tuko awamu ya sita au bado tuko awamu ya tano?
Mtanzania mwenzetu Ndugu Polepole ametanabaisha kwamba tuko awmu ya tano(5) bado.
Watanzania walio wengi wameaminishwa kwamba tuko awamu ya sita (6)
Nimejaribu kutafakari kwa kupitia hoja...
Wakuu,
Mbunge wa kuteuliwa na mtunga Sheria Humphrey Polepole, anadai hii awamu ya rais Samia sio awamu ya sita.
Rais Samia alisema yeye ndiye rais ya awamu ya Sita. Kwamba ni awamu ya sita kipindi cha kwanza.
"Hii serikali sio mpya,haikupigiwa kura, huwezi ukaita awamu ya sita, awamu lazima...
Kuna hatari fulani nimeanza kuiona, kuna maneno fulani nimeanza kuyasikia na kuna Mipango fulani ya kukomoana na kuhujumiana ndani kwa ndani nimeanza kuisikia pia.
Mimi sina uhakika kuwa kwa sasa Rais Samia ni TV Screen tu ila Rais Mstaafu Kikwete ndiye Remote Control kama watu wasemavyo, ila...
Abuu Kauthar
Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, awamu sita za uongozi kuanzia mwaka Desemba 9, 1961 hadi leo Desemba 9, 2021. Kila awamu ilikuwa na mambo yake kutokana na mazingira ya wakati huo.
Julius Nyerere
Awamu ya kwanza chini ya Rais Julius Kambarage Nyerere ilikuwa ni ya kujenga...
Kwa mujibu wa katiba ya Japan kiongozi mkuu wa executive ni waziri mkuu.
Tangu mwaka 2000, Japan imeongozwa na mawaziri wakuu 11, kati ya hao 8 wameongoza chini ya mwaka 1 na nusu.
1. Yoshiro Mori: 5/4/2000 - 25/4/2001
Sawa na mwaka 1 na siku 22
2. Junichiro Koizumi: 26/4/2001 -...
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?
Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?
Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Kifo cha Magufuli kimethibitisha pasipo shaka kuwa sisi kama nchi hatuna utaratibu wowote rasimi wa kikatiba, kisheria au usio wa kisheria unaotuongoza katika kuhesabu au kuzitambua awamu za serikali.
Kama utaratibu rasimi huo, basi ni wazi hauleweki na unapaswa kutazamwa upya ili kuondoa huu...
Kwanza nimshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kuendelea kuilinda nchi yetu
Naomba ieleweke hivi kila serikali iliyoko madarakani imechaguliwa na wananchi baada ya kuinadi ilani ya chama husika. Mwaka huu tunaomaliza nchi ilipitia kipindi kigumu sana kwa kuondokewa na Rais aliyechaguliwa na...
Msimamo wa Magufuli juu Corona unaeleweka, hizi sarakasi zote zinazoendelea ni kuwatayarisha kisaikolojia kuhusu linalokuja, nalo ni Chanjo ya lazima kwa wote, na jinsi watakavyofanya ni unpopular jambo ambalo litawafanya wasiopenda chanjo wamkumbuke Magufuli.
Kuna sababu kwa nini JWTZ...
Ukweli kabisa kwangu mimi ni mawaili tu mpaka sasa!
Mohamedi Mchengerwa na Geofrey Mwambe.
Hawa wamezishika nafasi zao kwa kujiamini na wanaendasha kazi za Uwaziri kama ipasavyo.
Mohamed Mchengerewa mpaka nimeanza kumfikia come 2030 akae pale juu. Huyu bwana anajitambua sana. Mwambe anajua...
Rais amesema " upigaji ulifanyika awamu ya tano lkn jumba bovu inaanushiwa awamu ya sita. Sitakubali".
Kama angekuwa mshiriki mkuuktk uendeshaji wa serikali ya awamu ya tano rais SSH asingekubali hata awamu ya tano idhalilike.
Lkn anaona ni sawa kwakuwa hakuhusika kwa chochote. Alikuwepo kama...
Mh Polepole naona anazunguka sana kuwataja majina na level zao wahuni ambao anadai Serikali ya Awamu ya Tano ilishindwa kumalizana nao.
Kwanza Polepole anakubali kuwa Wahuni hao ni wanachama wa CCM.
Pili Mh Polepole hakatai kuwa Wahuni hao (Hooligans) ni viongozi ndani ya chama na wengine...
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema Ufanisi na kuaminika serikali ya awamu ya sita umeondoka kabisa pia Mbatia amesema kuna mpasuko mkubwa Serikalini.
Mbatia amedai kukosekana kwa uchaguzi mwaka jana kumeleta matatizo mengi na hali sio nzuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.