Kwanza natoa pongezi kwa uongozi wote wa awamu ya sita kwa jitihada kubwa inayofanywa hasa ya kuondoa ujinga kwa watoto wetu kwa kuwekeza nguvu kubwa kwenye kujenga shule na hospitali kila mahali kwa speed ya hali ya juu na kuendana na mahitaji na muda unaotakiwa, jambo ambalo limelazimika hadi...
Bado ni mwaka mpya maana hata watoto hawajaenda shule bado.
Pamoja na yote natambua juhudi na kazi kubwa inayofanywa na rais wetu mpedwa mama Samia kwa kuhakikisha usalama wa nchi na kuifikisha Tanzania sehemu fulani.
Kwa sehemu yangu nakupongeza sana mama na hiyo inathibithisha kuwa kweli...
Enzi ya Dr. Kalemani tuliingiza umeme kwa Tshs.27,000/, sasa hivi enzi ya Makamba tunaingiza umeme kwa Tshs.300K je, serikali ya awamu ya sita kwa viwango hivi itamaliza kusambaza nishati hii adhimu ya umeme kwa vijiji na vitongoji vyote by 2024?
Wakati wa bei ya Tshs. 27,000 JPM alikuwa...
Kipindi cha Mwendazake, mambo kama haya yalikuwa hayafanyiki. Leo siku ya 3, hii system ya evaluation ya TRA hakuna. Je, kuna nini inaendelea nyuma ya pazia?
Mbatia katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka alisikika akisema mpaka sasa Serkali ya awamu ya sita imeshakopa takriban Trillion 10 tokea iingie madarakani! Nauliza kwanini serikali haiji kutoa ufafanuzi wa kutosha badala yake kufunika funika mambo?.
Mheshimiwa Spika Ndugai japo kaomba msamaha...
Mambo yanakwenda kimya kimya....
Construction of the $400 million first phase of Kenya’s second commercial port in Lamu has been completed.
The second and third berths were completed in December, paving the way for the government to float a tender to private companies to construct 20 more...
Wakati kina Askofu Mwingira wanafunguka,nami nimewaza kitu.
1. Hivi awamu ya tano ilifikiria nini kukataza watu wasimuombee Lissu uzima baada ya kupigwa risasi? Iliitishwa pia albadri kuombea mabaya wote waliompiga Lissu risasi,serikali ikapiga marufuku. Ilikuwa na interest gani na hayo maombi...
Tukifuata itifaki ni kwamba pale unapomu address kiongozi mkuu wa nchi basi ni vyema kutanguliza maneno mfano “ Mh. Rais Mama Samia Suluhu Hassan” baada ya hapo inafuatiwa risala.
Ama unapotoa risala ikakulazimu kumtaja Rais wa nchi basi ni vyema kuzingatia itifaki ya utambulisho kwa kum...
Utawala wa Awamu ya sita ulianza rasmi tarehe 17 mwezi machi mwaka 2021, Rais Samia alichukua kiti cha Uongozi baada ya kifo cha JPM.
Katika miezi hii 9 na ushee Mama huyu alipochukua kiti cha Uongozi napenda kusema nimeridhika kwa namna ambayo analiongoza Taifa letu pendwa la Tanzania. Amepata...
David Kafulila bila Shaka ni mtaalamu mkubwa wa hujuma. Alikuwa Chadema huko alishirikiana na kundi lake kulihujumu hicho chama. Baadaye alihamia NCCR Mageusi huko nako alihujumu kabla ya kutimkia CCCM. Akiwa CCM ametumika sana. Na katika hawamu ya 5 amepiga kila haina ya hujuma. Kwa sasa...
Watu wanapotosha sana kuhusu mikopo hasa kwenye awamu ya 5 u sahihi wake ktk source ya uhakika uko hivi.
Magufuli aliacha deni la $24,652M
Alilikuta deni ..... $15,261M
Samia amelikuta deni .. $24,652M
Kwa miezi hii kalifikisha..$28,054
https://www.bot.go.tz/Publications/Filter/1
Mimi si mpenzi sana wa " Nabii" , "Askofu" Josephat Mwingira kwani mambo yake mengi yana figisu nyingi.
Tuhuma alizozitoa Mwingira si ngeni kusikika, kuwa alinusurika kuuwawa na mali zake kuteketezwa.
Sisi wananchi tunashangazwa na unafiki wa wazi katika matukio hasi , ambayo yaliyiwahi kutokea...
Mama Anamalizia miaka minne ya awamu ambayo kairithi kikatiba, bado awamu yake, awamu hii ya sasa yupo kwa niaba ya marehemu.
Mama anamalizia miaka 4 ya kipindi cha pili cha miaka 5 ya awamu ya 5. Akimaliza anaanza awamu yake ya sita mwaka 2025 yenye vipindi 2 vya miaka mitano mitano mpaka...
Mimi nikiulizwa nitaje uwendawazimu uliofanywa na watu wasio wendawazimu nitataja vihoja vya chaguzi mbili tatu ambazo wagombea kutoka chama cha Mapinduzi (CCM) kupita bila kupingwa.
Ule ulikuwa ukichaa kamili uliofanywa na watu wasio vichaa.
Huyu alikuwa Mwanasheria Mkuu awamu ya nne. Anasema nchi imepitia magumu sana awamu ya Magufuli.
Kwamba Rais alitumia vibaya madaraka makubwa aliyopewa kwenye katiba iliyopo.
Sikuona sababu yoyote kumuachia malaika wa watu na vijana waende shule hadi kidato cha nne Bure.
Nchi yetu tangu uhuru tunaijenga. Wazee wetu walijenga nchi kwa nguvu nyingi wakiendelea kutangukia mbele ya haki. Sisi tusome Bure Bure bila hata senti kwa keki ipi tuliyohangaika nanyo...
Pongezi nyingi sana awamu ya sita na pekee kwa mama yetu sikukuu watu wamesafiri sanaaaa aijawahi tokea hii kwa kipindi kirefu sana wananchi walikuwa wakikumbizana na maisha na mambo hayakuwa mazuri sasa mambo angalau yamesababisha watu sasa wanasadiri kwenda kula sikukuu na familia na wazee...
Hii wizara ipo Kama haipo. Tunaelekea January Bei ya mbolea nikama tunanunua dhahabu, haijawahi tokea tangia uhuru.naona wanakula kiyoyozi tu hapo wizarani. Nimepita sumbawanga vijijini watu wanauziwa mbolea 150000"watu wameamua kuachana na kilimo Cha mahindi wanalima maharage kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.