Husika na kichwa cha habari,
Kila mtu na jinsi alivyobarikiwa juu ya kutake time kutoka mshindo mmoja kwenda mwingine. Wapo wanaounganisha, wapo wa dakika 5, 10 na zaidi.
Je kwa wewe unaetumia amount of minutes kwenda mshindo mwingine Huwa unafanya nini wakati unasubiri. Binafsi Huwa napiga...
Kuna nini pale sio kwamba mikataba ya ajabu imewekwa na Sasa muwekezaji anafosi wamaasai watoke na ana ushindi hata mahakamani?
kama Kuna watu Wana vibali vya kuwinda je hawafanyi zaidi ya hapo vipi kuhusu kuharibu hifadhi je hii ndo sababu kubwa?
Ni dhahiri sasa, Dr.Samia Suluhu Hassan anapendwa nchi nzima. kazi za mikono yake na mipango mikakati yake kupitia serikali sikivu ya CCM zawafurahisha sana na kuwanufaisha wananchi nchini kote Tanzania..
Wananchi hivi sasa maeneo mengi nchini wana pata huduma nyingi muhimu kwa uhakika na...
CCM Kwa katiba iliyopo bado mtaiba kura na mgombea wenu atapita. Ushauri wangu kuwenu serious basi badilisheni gia angani huyu mama akacheze na wajukuu Kizimkazi, hali siyo kabisa serikalini. Magufuli sikuwahi kumpenda lakini kusimamia utendaji wa serikali alikuwa very smart pamoja na madhaifu...
Kwamba sasa mazingira ya kufanya kazi za siasa ni sawa, lakini kuna uhuru wa kufanya siasa bila mipaka, vizuizi wala vipingamizi ilimradi tu kufuata na kuzingatia sheri na kuzitii bila shuruti, kiburi au ukaidi...
Uhuru kwa vyama vya siasa kukusanyika kufanya mikutano ya ndani na ya hadhara...
Ni udhaifu mkubwa sana kuteua viongozi wa kitaifa halafu kuwatengua muda mfupi baadaye na kuwateua tena.
Haya yote yanadhihirisha ukosefu wa umakini katika kufanya maamuzi mazito kwa maslahi ya Taifa. Nafikiri teuzi na tangua nyingi hufanywa kwa mihemko.
Ninapendekeza teuzi na tanguzi za...
Nimeona mtandaoni kwenye shamrashamra za yanga day nikakumbuka habari za awamu iliyopita.
Gerson Msigwa amekata mauno yanayoendana na Kangi Lugola.
Msigwa akiwa na kibukta chake ameshika kiuno akakata mauno. Hakuangalia umri wala hadhi yake.
Hongera Msigwa,hongera kwa mamlaka kumleta katibu...
Wasaalam.
MTAKUWWA kirefu chake ni Mpango Kazi wa Taifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (wa kike na kiume).
Awamu ya kwanza ulikuwa 2017/18-2021/22.
Awamu ya 2 ni 2024/25-2028/29 ambapo, tulizindua tarehe 15 Mei, 2029.
Kwa kifupi, ziko Kamati za Ulinzi wa Wanawake na Watoto...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) - Mwenge - Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa...
Matukio ya watu kutoweka katika mazingira yenye kutatanisha huku askari polisi wakihusishwa kuwashikilia yanaendelea kushika kasi nchini.
Taarifa mpya zilizolifikia Mwananchi zinadai kuwa vijana wanne wilayani Temeke, Dar es Salaam na mkazi mmoja mkoani Geita wametoweka na jitihada za...
Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesema yuko tayari kuachia ngazi nafasi ya uwaziri kuliko kutoa kibali kwa wafanyabiashara cha kuagiza sukari kutoka nje ya nchi.
Profesa Mkenda amesema hayo leo Agosti 30 jijini Dodoma wakati akizindua ripoti ya sensa ya kilimo, mifugo na uvuvi ya mwaka...
Binafsi pamoja na mapungufu ya Awamu ya tano ambayo baadhi ya wanasiasa wanakiita kipindi cha giza, bado naamini ndio kipindi ambacho mambo mengi ambayo yalionekana magumu yalianzishwa na sasa yanakamilika tunaona manufaa yake.
Hawa watu niliotaja wana sifa zinafanana sana na hayati Magufuli...
THE Tanzania Revenue Authority (TRA) has been instructed to suspend all operations involving arresting traders, as well as suspending inspections on electronic fiscal devices receipts for at least one month.
Thobias Makoba, the chief government spokesman, late yesterday that this was the first...
MOJA YA MAMBO YALIYONIFANYA NICHUKIE AWAMU YA TANO NI SUALA LA UTEKAJI. HATA KAMA WAKOSOAJI NI WAPUMBAVU BASI USITUMIKE UPUMBAVU KUKABILIANA NAO.
Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli
Suleiman aliwahi kusema,
Mhubiri 7:17
[17]Usiwe mwovu kupita kiasi;
Wala usiwe mpumbavu;
Kwani ufe kabla ya...
Leo hii
Nimepata wasaa wa kupata chai asubuhi kwenye kijiwe chetu mtaani,
Jaji kaongea Kwa uchungu anasema ni kweli sisi majaji maslahi yetu ni kama tuko peponj na hatuna shida hata moja,
Akaendelea kusema ile kufungua nchi uliingia pia uchafu wa kutosha,
Akasema hivi unakumbuka ziara za...
Salaam, Shalom!!
Miaka mitano, ni muda unaotosha kabisa kutimiza kusudi na malengo na KAZI ambayo mbunge amepewa na wananchi.
Ikiwa miaka mitano pekee, ya Rais Magufuli, ilitosha kuonyesha matokeo makubwa kuliko waliokaa miaka kumi, iweje mbunge ashindwe kudeliver Kwa miaka mitano?
Kwa kuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan ametuma salamu nzito za pongezi kwa Mheshimiwa Cyril Ramaphosa ,kwa kuchaguliwa kwake kwa kishindoo kwa muhula wa pili kama Rais wa Taifa hilo.
Salamu hizo zimetolewa na Rais wetu kupitia...
Babati Naibu waziri katumia chupa kwa kijana wa kiume, Mafia DED kabaka Beki 3 , safari hii RC kalawiti binti kwenye gari.
Yaani ni ukatili na upwiru tu kwa viongozi wa leo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.