Ni wazi kwamba watu wenye uroho wa madaraja, wanayataka hata kama eakimeaga damu, ambao walikuwa hawamtaki SSH, na Wana kundi lao dogo sana linaloongozwa na NDULI Bashiru (chasaka wa kisiasa, alikuwa CUF, mpaka leo ana kadi huko)na Mpina.
Linazama majini kujificha pumzi ikikata linaibuka juu...
Mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita kuifungua mikoa ya Pembezoni Kiuchumi.
Mikoa ya pembezoni ina geography nzuri ya kibiashara, fursa nzuri ya kuvutia uwekezaji hasa hasa Kwa Viwanda vya Kilimo (agricultural industry) Kwa sababu Wananchi wa Maeneo haya wanafanya manunuzi ya bidhaa muhimu na...
Nitumie vigezo gani kupima ufanisi wa serikali ya awamu ya sita?
1. Wingi wa mikopo
2. Wingi wa magari ya misafara ya viongozi
3.safari za kila mara nje ya nchi
4. Porojo
5. Tozo kila mahali
6. Chanjo ya corona
7. Ufisadi
8. Sgr
9.jnhep
10. Barabara za mjini na vijijini kutokutengenezwa licha...
Wasalaam wana JF.
Wakati tukitafakari mchango wa wananchi wenzetu wanoko waliosanifu na kutoa wazo shule la uanzishwaji wa tozo, tusisahau heka heka za watu wasiojulikana.
Katika awamu ya tano watu wasiojulikana walikua busy na mishe mishe anuai waki fanya hili na lile. Cha ajabu, katika awamu...
Wananchi wanaunga mkono Vipaumbele vya Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu, Vipaumbele hivyo ni;
Vituo vya Afya
Kilimo
Maji
Usafiri na Usafirishaji
Elimu
Ajira
Usalama wa Chakula
Huduma ya Umeme
N
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Hapa chini ningependa tuorodheshe tano bora ya mawaziri wenye kufanya vizuri zaidi katika serikali hii ya awamu ya sita ya mama yetu mh raisi Samia S. Hassan.
Tukiachana na waziri mkuu ambae yeye...
Ukweli tuuseme tu, jahazi limeanza kumshinda mama. Sio kwa ugumu wa maisha huu!
Yaani Watanzania wanatozwa tozo ambazo hata mkoloni na roho yake mbaya asingethubutu kuwatendea namna hiyo.
Wengi wetu vipato vyetu ni vilevile, lakini gharama za maisha zimepata mara dufu! Kwa lugha rahisi...
Kuna watu kazi yao wamekuwa ni kupinga na kubeza mafanikio ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Samia Suluh Hassan, yawezekana wanatumia uhuru wao wa kutoa maoni kikatiba au wameamua kupinga kwa sababu kazi yao ni kupinga bila kutambua hatuna Tanzania nyingine zaidi ya hii tunayoishi...
Tusipoyaandika au kuyapigia kelele vilivyo, mama aliye busy na kuifungua nchi atayasikia vipi na hasa kama wenye dhamana ni sehemu ya mchezo wenyewe?
Baada ya kuyasikia nilijivinjari kufika mpakani Rusumo kujiridhisha.
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu:
Mgeni haingii nchini bila kutoa rushwa...
Katika sera ya utawala bora ni pamoja na kuhakikisha maendeleo sawia katika kanda zote za nchi husika. Ni ukweli usiopingika kuwa katika miongo kadhaa iliyopita tangu nchi ya Tanganyika ijipatie uhuru na baadae Tanzania, Moja ya maeneo yaliyokuwa nyuma sana hata baada ya uhuru ni maeneo ya...
Wala usiumize kichwa kutaka kujua limekopwa lini, kwa sababu anayekopa si Rais, inakopeshwa serikali, mikopo yote ya nchi yetu haikopeshwi kwa awamu, kuna nchi ambazo zinakopa kwa awamu, lakini kabla hujamaliza awamu yako uwe umeshalipa".Waziri Nchemba.
Chanzo: ITV Tanzania
Yaani...
Wakuu,
Awamu zote za serikali Ngorongoro haikuguswa kabisa!
Wamasai waliachwa kama urithi wa ikolojia ya asili kwa Watanzania.
Ngorongoro ilibaki kama utambulisho pekee asilia wa utamaduni wetu na tunu ya kujivunia ulimwenguni mwote.
Wahusika wameamua KUTUMIA udhaifu wa serikali ya awamu hii...
Wasalaam.
Katika Serikali ya awamu ya 4 chini ya Jakaya Kikwete posho ya kujikimu safarini kima cha chini ilikua elfu 80 na cha juu ilikua 120,000 tofauti ilikua elfu 50.
Katika awamu ya tano chini ya Magufuli yeye hakuongeza wala hakupunguza aliacha kama ilivyo japo alitamani kuzifuta kabisa...
Wakuu
Baada ya uchaguzi mbovu wa 2020,kulijitokeza dosari kubwa Sana ya uundaji wa serikali KWA mihimili mitatu hasa wa Bunge ambao ulikosa UHALALI wa kisheria KWA kukosa wapinzani wakutosha Bungeni.
KWA kutambua hilo UHUNI ulifanyika KWA mara ya pili KWA KUINGIZA wabunge ambao hawana baraka za...
Chadema wamesimama imara na misimamao Yao imewafanya waitwe ikulu Kwa heshima na siyo kwenda tu: lakini pamoja na nguvu waliyonayo kwanini wanavifanya vyama vingine kama siyo wapinzani? Akina Lipumba na Zito hata Mbatia wamepotelea Wapi kwenye ramani ya siasa?
Lakini pia kuitwa kwao ikulu...
Serikali awamu ya sita mmeeleweka vyema. Mko kwa maslahi yenu zaidi. Mnajiwakilisha wenyewe:
Ninyi ni serikali ya walamba asali.
Kwa kututelekeza na hili la mafuta kama ya lile la madhara ya Corona, wala msijisumbue kutafuta mitano mingine.
Mlikotufikisha tambueni kuwa mtavuna mnayopanda...
Kwa namna siasa zetu zilivyo tutarajie kwamba .
Kama Samia atapita 2025 basi mambo yatabakia hivi hivi nikimaanisha kwamba ripoti ya fedha kwa mwaka 2025/2026 ya CAG itakua safi sana.
Ila kama mambo yakiwa tofauti basi isikilizie kwani lazima itaukandia mno awamu ya sita.
Lakini kwa uhakika...
Waziri Jenister Mhagama wa awamu ya tano alikuwa ana amini watumishi wa umma hawapaswi kuongezewa mishahara Wala kupandishwa madaraja kwa kuwa nchi ilikuwa inachengwa kwanza nyongeza ya mishahara na kupanda madaraja vyote vilikuwa Kwenye miundo mbinu kama barabara, eli nk
Ni waziri ambaye...
Wakuu
Kila awamu huwa kuna mtotompendwa serikalini ambaye hata akifanya madudu huwa haguswi wala kukalipiwa,
Inawezekana marope ni mtoto mpendwa wa awamu hii, huyu mwamba hiwa simkubali tangu enzi za muswada wa cyber crime.
Je huyu ndiye mwana mpendwa wa awamu hii au kuna mwingine?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.