Moja kwa moja kwenye mada husika wadau wa Jf.
Huko nyuma ilikiwa ni aibu maana watu walikuwa hawafanyi ufisadi bali ni kujichotea na kujijazia. Fikiria skendo la Escrow watu walichota bil of Tsh kama wanachukua sh mia mbil ya kula karanga.
Alichofichua leo waziri mkuu ni ushahidi tosha kuwa...
Nikiangalia hili baraza la mawaziri, by all standards haliakisi sura ya Taifa na kwa hiyo halisaidii kwa namna yoyote kuimarisha umoja wa Kitaifa.
1. Hivi inawezekana vipi uje na baraza la Mawaziri la watu 23 lakini lenye Mawaziri Waislamu 3 tu?
Takwimu hizi ni 87% Wakiristo, na 13% Waislamu...
Tulitegemea amsha amsha tulizozizoea tangu JPM aingie madarakani, tumbua tumbua, vamia vamia maofisi ya wizara na ziara za kushutukiza na kutumbua majipu.
Lakini tangu JPM aingie madarakani tunashuhudia ukimya wa ajabu, baraza la mawaziri kimya, hatusikii tumbua tumbua,hatusikii ziara za...
Serikali Ya Awamu ya 5 inayoongozwa na Mzalendo Nambari 1 nchini Dkt John Pombe Magufuli Imeamua kutimiza ahadi yake kwa kishindo Mkoani Mara
Imegharamia mradi mkubwa wa Thamani ya Tsh Bilioni 70 utakaosambaza Maji Kutoka Ziwa Victoria kuelekea Majimbo ya Musoma Vijii, Butiama na Bunda...
Kwa umri wetu tunaona mengi, kiongozi anapofanya kampeni usaidiwa na watu mbalimbali na wengi uwalipa fadhila ya ajira.
Ntatoa mfano, Yule kijana Nassary wa Arusha ameahidiwa ajira, ili apate hiyo ajira lazima Kuna mtu atapoteza ajira. Hi ni ishara ya namna watu wanavyoadhibiwa na wanasiasa...
Leo eneo la Kinyerezi kwenye kampeni za Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ambaye ndie Rais Mtarajiwa hilo halina ubishi, Kumbilamoto amemuomba msamaha Dkt. Magufuli kuwa walifanya makosa makubwa sana akiwa Meya wa Ilala kupitia CHADEMA kuhujumu miradi ya Serikali ili kuonesha Rais...
Watu wengi sasa wameona na wametofautisha ni wakati gani kati ya awamu hii na ile iliyopita ya KIKWETE ni wakati gani umasikini umekolea vzr na majibu yako wazi na yanajulikana wala hayahitaji mtu apewe michoro ili aelewe vzr.
Serikali ya awamu ya tano ilijinasibu,na imeendelea kujinasibu kuwa...
Maoni na ushauri wangu kwa wananchi ni kuwa pamoja na
Ukinzani wa hoja potofu kuwa Serikali ya Dr. Magufuli imefanya mambo mengi yanyohusu maslahi ya watu. Kwa mfano tumeshuhudia Rais na mawaziri wakitatua kero za wananchi kwenye ziara zao. Lakini pia miradi iliyoanzishwa imeelekezwa kwenye...
Tangu kuanzishwa kwa siasa za ushindani wa vyama vingi mwaka 1992, Zanzibar hapakuwahi kuwa na utulivu wa kisiasa kwa muda mrefu sana. Kila uchaguzi mkuu ulifuatiwa na mikwaruzano na kusababisha mpasuko wa kisiasa wa muda mrefu kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kilichokuwa chama kikuu cha...
"Mimi niwaambieni ukweli, nimechoka kuwabembeleza ,mkiniletea madiwani na wabunge wa kutoka upande mwingine(wapinzani), siwaletei maji na huu ndiyo ukweli sipendi kuwaficha, nimechoka kuwabembeleza"
Magufuli (1/Oktoba/2020, Tunduma)
Hisia za ubaguzi wa kimaendeleo zilianza mara tu Rais...
Dunia na Ulimwengu unahitaji miradi endelevu ya maendeleo baada ya
mfumo wa miradii ya maendeleo kuonekana haina tija. (The world is focusing on Sustainable Development projects and programs not development projects). Kwanini miradi endelevu ya maendeleo?
1. Miradi endelevu lazima iwe...
Uchumi wa Viwanda ilikuwa ni Sera Kuu ya kiuchumi iliyojinasibu JPM Mwaka 2015!
Tumesoma katika mafanikio ya Awamu ya Tano kuwa vimejengwa Viwanda vingi Sana katika Awamu hii.
Kongole kwa CCM!
Binafsi napenda kujua kwa upande wa Mkoa wa Singida hivi Viwanda vimejengwa Vingapi na wapi!?
Ni...
Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.
Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya...
Nimeona vipeperushi vinaelezea mafanikio ya awamu ya tano. Vipeperushi hivi vinakuja baada ya joto la uchaguzi kuwa kali na kuonekana ngoma si kama tulivyoivalia kibwebwe.
Ushauri: CCM achaneni na mliyofanya, jikiteni kuwaeleza wananchi mtakayofanya. TBC kwa miaka mitano imekuwa inatueleza...
Kwanza: Wao sera yao ni ya majimbo .hivyo miradi mikubwa ya kitaifa kwao haina maana maana miradi mikubwa ya kitaifa ni kwa ajiri ya taifa na siyo jimbo.Hivyo mtu kutoka majimbo ya sera ya chadema anaona wivu mkubwa kwa sababu anahisi kodi yake ingebaki jimboni Kwake ili inufaishe watu wake...
Unajuwa kuna wakati watu wenye akili lazima tujiulize na kujijibu maswali magumu ambayo hakuna Mtu anakuja hapa kujibu wengi wanasifia na kutetea mambo uwenda mwisho wake hawaujuwi.
Jambo la Kwanza nilazima washauri wa Sera na mipango ya chama na serikali mfike mahali mkumbuke uchumi hauna...
ASILIMIA 100 YA TABAKA LILILOJICHOKEAGA AWAMU ZOTE,AMBALO AWAMU YA TANO LINAOGOPWA NA WENYE PESA, WATAMPA KURA ZOTE RAIS JOHN POMBE MAGUFULI.
Leo 14:45hrs 06/09/2020
Tabaka la watu wanyonge wasio na chochote cha kujisifu nacho mbele za watu ambalo awamu zote limejichokeaga tu sema safari hii...
Godbless Lema ni mmoja wa wawekezaji ambaye alinunua hadi mitambo ya kujenga kiwanda cha kutengeneza toothpick na leseni ili nchi isiendelee kuagiza toka nje kipindi hiki cha serikali ya Awamu ya Tano.
Kama kimeshakamilika ni vizuri akakitumia kueleza mafanikio yake alivyosaidia nchi kwa...
Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa Jijini Dodoma. Ameongozana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan.
M/kiti wa NEC, Jaji Mstaafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.