awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msiwe watu wa kupayuka ovyo, kama kuna ufisadi ulifanyika awamu ya tano wekeni ushahidi wazi. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa na zilipofichwa

    Mbona mnakuwa kama watoto wadogo? Mmesahau namna sakata la Escrow lilivyowekwa wazi? Tuliambiwa pesa namna zilivyo kwapuliwa na hata zilikofichwa. Vivyohivyo hata sakata la Kagoda na Epa. Mnadai kuna ufisadi mkubwa ulitokea awamu ya tano. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa , nani alikwapua...
  2. Zitto Kabwe: Iundwe Tume kwa ajili ya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Kibinadamu awamu ya 5

    Kuna haja kubwa ya kuundwa kwa Tume ya Majaji kwa ajili ya kuwapa nafasi waathirika wa vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binaadam vilivyofanyila wakati wa utawala wa Rais Magufuli kupata Haki zao. Watu ambao wamepoteza ndugu zao, waliotekwa, waliobambikiwa Kesi nk. MUHIMU I repeat a call...
  3. Ripoti ya CAG kwa mwaka wa fedha 2025/2026 au 2030/2031 itaonesha ubadhirifu wa awamu ya sita

    Kwa namna siasa zetu zilivyo tutarajie kwamba . Kama Samia atapita 2025 basi mambo yatabakia hivi hivi nikimaanisha kwamba ripoti ya fedha kwa mwaka 2025/2026 ya CAG itakua safi sana. Ila kama mambo yakiwa tofauti basi isikilizie kwani lazima itaukandia mno awamu ya sita. Lakini kwa uhakika...
  4. Mnaomlaumu Samia kwa makosa ya awamu ya tano mlitaka afanye nini?

    Angalieni yaliyomkuta Ndugai baada ya kupishana na Samia. Tena akiwa kwenye mhimili unaoisimamia serikali. Samia asingeweza kufurukuta mbele ya kiongozi wa malaika. Angejaribu si ajabu leo tungekua tunahesabu mengine kwa jeuri ya yule bwana. Tumpongeze kwa kuvuta subra hadi mwamuzi wa haki...
  5. J

    Kubenea achafuliwa baada ya kusema vibaya awamu ya 5 ripoti ya CAG

    Baada ya Gazeti la Raia Mwema ambalo moja ya wamiliki na waandishi wake ni Said Kubenea kuandika Wizi Mkubwa Awamu ya 5, Wapo watu hawakufurahishwa na habari hiyo na kumchafua kiongozi huyo na ku edit vichwa vya habari, ambapo amesema atawatafuatilia na kuwafungulia mashtaka
  6. Ushauri: Kila wizara na Idara ipewe maelekezo kwenda mbele ya waandishi wa habari kujibu hoja za C.A.G, japo muhusika wa awamu ya tano alishafariki.

    Ni vyema Sasa Kila wizara ikakaa mbele ya waandishi ikiwa na executive summary ya majibu ya concerns za C.A.G ili kuondoa vacuum, kama mwendazake alihusika, wizara iseme, kama Kuna ufafanuzi, itolewe, tena kwa kina kabisa. Tunajua mengi si makosa yao, walikuwa wanapelekeshwa. Na pia watoe...
  7. Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  8. Sasa Vita ya awamu ya Tano na Sita ni dhahiri

    Siasa ni msingi wa mambo mengi hapa diniani. Siasa iko kila sehemu, kanisani, makazini, na hata kwenye kumbi za starehe. Siasa ni Imani, mtu akiishi kwenye mlengo furani wa siasa na akakolea ni ngumu sana kumuondoa huko. Awamu ya Tano ilikuwa na Aina yake ya Siasa, mlengo wake wa siasa, na hii...
  9. Magenge ya awamu iliyopita yaligawana tenda za ujenzi wa mradi wa Stiglers wenye thamani ya trilioni 20, wamejaa hofu kuumbuliwa na CAG na Makamba

    Kwa wasiojua, mmisiri pale ni nyapara, hajengi, hawa Chato dynasty ndio wameji subconstruct . Magenge ya awamu ya tano yaligawana tenda ya ujenzi wa mradi wa Stiglers, hawa wanaopiga kelele na kumshutumu Waziri Makamba, ni kwamba wameanza kuuona moto, kampuni zao zimeanza kuitwa moja baada ya...
  10. Bongo kulikua na upigaji mkali kwenye awamu ya tano, wanaume walilipiwa ili wazae

    NHIF iliwalipia wanaume wengi kujifungua uja uzito kwa upasuaji au njia za kawaida..... ========================== A male with a big belly. PHOTO | COURTESY Dodoma. The National Health Insurance Fund (NHIF) reportedly paid hospital bills for male patients to either undergo caesarian or...
  11. Serikali ya awamu ya Sita inaupiga mwingi...Sikia Video hii

    Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan imedhamiria. Tazama video hii
  12. F

    Jenister Mhagama wa Awamu ya Tano akikutana na huyu wa Awamu ya Sita watapigana sana

    Waziri Jenister Mhagama wa awamu ya tano alikuwa ana amini watumishi wa umma hawapaswi kuongezewa mishahara Wala kupandishwa madaraja kwa kuwa nchi ilikuwa inachengwa kwanza nyongeza ya mishahara na kupanda madaraja vyote vilikuwa Kwenye miundo mbinu kama barabara, eli nk Ni waziri ambaye...
  13. Mtoto pendwa wa awamu ya sita ni nani?

    Wakuu Kila awamu huwa kuna mtotompendwa serikalini ambaye hata akifanya madudu huwa haguswi wala kukalipiwa, Inawezekana marope ni mtoto mpendwa wa awamu hii, huyu mwamba hiwa simkubali tangu enzi za muswada wa cyber crime. Je huyu ndiye mwana mpendwa wa awamu hii au kuna mwingine?
  14. Mwanzo wa kufeli kiuchumi Serikali ya awamu ya sita

    Salam kwa Jamhuri Kama raia wa kawaida mwenye mamlaka kamili kulinda na kuisimamia nchi yangu sitasita kuusema ukweli ninaoushuhudia na kuuchakata kichwani mwangu kisha kushauri inapobidi kutenda. Dhahiri shahiri Serikali hii ya awamu ya sita haikujiandaa kwa lolote kuwepo madarakani, hivyo si...
  15. B

    Rais Samia azindua ugawaji wa vitendea kazi kwa maafisa ugani kilimo. Asema Serikali imeongeza bajeti ya utafiti kutoka Tsh 7.35bn hadi 11bn

    Rais Samia Suluhu Hassan anazindua Ugawaji wa Vitendea kazi kwa Maafisa Ugani nchini ikiwemo Pikipiki 2,000, Vifaa vya Kupima afya ya Udongo (Soil agro scanner) 143, simu janja 384 na visanduku vya ufundi vya Maafisa Ugani 3,400. #TunaImaninaSamia #Hakunakinachosimama #KaziInaendelea. ------...
  16. T

    Ninayoyasikia mtaani juu ya watumishi wa Umma katika awamu ya sita yanatisha

    Siku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma. "Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na...
  17. Jambo kuu nililojifunza kutoka kwa awamu ya tano. Vijana waliprove wrong kweye nafasi kubwa za uongozi

    Hakika vijana walitukosea sana, waliongoza taasisi ama nafasi zao kwa mihemuko bila kufuata taratibu. Hii siyo kwamba vijana hawafai kupewa madaraka la hasha Bali vijana wengi walioaminiwa na Magufuli ama walikuwa hawakuandaliwa kuwa viongozi ama Magufuli alikuwa anawapa maelekezo ya namna ya...
  18. Ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere nini kinaendelea? Na kati ya awamu ya tano na sita ipi inasema ukweli?

    Bila shaka wakati Mh. Raisi Samiah Suluhu Hassan akipokea ripoti ya TAKUKURU na CAG na ulipofika wakati wa yeye kuzichambua ripoti zile nimemsikia kwa masikio yangu mawili ya kwamba “Mradi wa ufuaji umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere” utakamilika mnamo mwaka 2024 ama zaidi ya hapo. Nikirudi...
  19. U

    Rais Samia usikubali awamu ya 6 kudharaulika kupitia makundi ya wahalifu

    Nimecheka sanaa kusikia Makundi yafuatayo ya wahalifu hapa nchini mwetu yamepata ahueni ktk kipindi Chako cha uongozi na kukusifu mitandaoni Na kwenye vijiwe mitaani. Si hivyo tu bali mpaka kwenye baadhi ya watumishi wachache. Vyeti feki Madawa ya kulevya Majambazi Wahujumu uchumi wezi wa...
  20. Kwanini wananchi hawana imani na awamu ya 6, kila kitu wanahisi wanapigwa?

    Kila nikijaribu kupitia maoni ya wananchi katika mitandao ya kijamii ni dhahiri wananchi wengi wanaonekana kukosa imani na serikali ya awamu ya sita. Ukiwasoma kwenye mitandao utaona wamekaa kimashaka-mashaka tu hivi. Kila serikali ikisema hivi kuhusu matumizi ya fedha na miradi basi wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…