azam

  1. Hongera Azam kwa ushindi mwepesi 2-1, mmefanya ligi ianze kuchangamka upyaa!!

    Kipekee niwapongeze Azam fc, mlidhamiria hatimaye mmepata cha kusema, kumfunga bingwa si haba... Feisal Salum hatimaye umepooza maumivu, hongera pia! Mwisho kabisa niwaonye Makolo, kihere here chenu kitawaponza. Jiandaeni kwa tano zingine...!! Shuhuli sio yenu, mnatembea na ndizi, shen...zzyy...
  2. L

    Nacheka lakini Naogopa, Azam ilikuwa ishinde mabao 8 leo dhidi ya Yanga

    Dah eti hii timu iliifunga Simba mabao 5 1, wajinga wakubwa nyie, wahuni wakubwa nyie, wezi wakubwa, majambazi wa soka nyie, wanyela wakubwa. Azam mmefanya uzalendo sana leo, japokuwa mmeshinda lkn ilikuwa mshinde mabao 8 leo, Jibrik Sylla, Kipre Junior walikuwa na uwezo wa kumaliza mchezo...
  3. Azam ni Mwembe wetu wa Uani, tunajichumia tu maembe muda wowote

    Hawa jamaa tunawagonga. Miaka kadhaa mfululizo wamekuwa mdebwedo sana kwetu. Tunawajua na wanatujua. TUNAJUANA. hawana sababu ya kutunyima ubingwa. Niaminini mimi. Watawachezea hao hao mikia. Ila sisi kwa sisi Azam watapokea kichapo tu. Tunajua tulifanyalo. Wakifanikiwa hata draw leo nipigwe...
  4. L

    Viongozi Azam kukaa kwenu na wachezaji kwa ajili ya kuikabili Yanga leo ni danganya toto

    Juzi tumeona mmekaa na wachezaji mkaongea nao na kubwa zaidi mlitaka wachezaji wazingatie maslahi ya timu kwa kuipigania, mnataka angalau mshike nafasi ya 2 mcheze ligi ya making wa, mmewaambia kuwa tajiri amemwaga fedha nyingi sana lkn haoni matokeo. Mmewaomba wachezaji washing mechi kubwa...
  5. FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

    Patashika ya ligi kuu kuendelea leo, kwa kukutanisha wekundu wa Msimbazi dhidi ya wazee wa Mapigo na Mwendo baada ya futari. Muda ni saa mbili na robo usiku, Azam complex Kikosi Game ishaanza dakika ya 18 bado bila bila Yellow card Michael Masinda kamfanyia Saido faulo, game inaendelea...
  6. L

    Azam mmenikera sana jana kwenye mechi ya Simba vs Singida Fountain

    Mm ni mmoja wa wadau wakubwa wa Azam, iwe media, iwe tigopesa, iwe sports, iwe ice cream ali mradi tu imeitwa Azam. Jana, kabla ya mchezo haujaanza kipa wa Singida Benedict Haule alionekana kwenye luninga akiwa amesimama langoni ameshika taulo lake na maji, akaweka chupa zake za maji vzr, ndani...
  7. FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

    Muda ni Saa 2:15 Usiku. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Kikosi cha Singida FG Kinachoanza #nguvumoja#. Updates... Dakika ya 5' Goooooal kupitia kwa Saidoo baada ya kipa kuutema mpira wa Chama. Dakika ya 8' Penati wanapata Simba. Anaipiga Saidoo Goaaaaaaaaalllll 2-0. Dakika ya 34' Fredddd...
  8. GSM na Azam nani anadhamini timu nyingi kwenye NBC League?

    Azam anamiliki timu kwenye ligi ni mdhamini wa ligi kuu yote wakati GSM anadhamini timu za Yanga, Namungo, Coastal na Singida tu. Kwanini kuna watu wanataka kuonyesha kuwa GSM anainuisha yanga zaidi kwenye ligi kwa udhamini wa timu chache kwenye ligi? Unapotaka kuhoji ushindi wa Yanga anza...
  9. FT: Yanga SC 5 - 0 Ihefu SC | NBC Premier League | Azam Complex | 11.03.2024

    πŸ”°ππ„π—π“ π”ππŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šIhefu FC πŸ“† 11.03.2024 🏟 Azam Complex πŸ•– 12:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC Mpira umeanza Dakika ya 5 Yanga SC 0-0 Ihefu SC Dakika ya 10 GOAAAAAAL Pacomeeeee Dakika ya 15 Yanga SC 1-0 Ihefu SC Dakika ya 19 Yanga SC wanakosa...
  10. Dube: Viongozi wa Azam wanashabikia timu mnayocheza nayo

    Akihojiwa Dube ameeleza kwamba ndani ya timu wapo viongozi wanaoshabikia timu zingine mnaocheza nao nje ya Azam Anaeleza kwamba mnapocheza viongozi wanasupport timu mnayocheza nayo, anasema bora aende sehemu ambayo watu wote ndani ya timu wanafikiria na kuwaza kitu kimoja. NB: Azam kwa mtindo...
  11. G

    Raisi akiingilia suala la Dube kama alivyofanya Kwa Fei Toto, Azam waliowahi kusaidiwa tatizo linalofanana wana ujasiri wa kumgomea ?

    Kwa Fei ilikubali, kwa Dube itakataa ?
  12. FT: Azam 1-1 Coastal Union

    Bora wote tupoteze
  13. Azam FC mtoeni Dube kama mlivyomchukua Fei

    Azam FC ilimpata Fei kwa maagizo ya Rais, hawakufuata taratibu za TFF kwanini Dube haitaki Azam lakini afuate taratibu?
  14. Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

    Waswahili husema mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, mchezaji wa Azam, Prince Dube ameandika barua ya kuvunja mkataba ambao umebakiza miaka 2! Jambo hili sio jambo zuri hata kidogo kwenye soka letu, suala la mchezaji kukosa tu furaha na akaamka asubuhi na kuandika barua ya kuvunja mkataba...
  15. Developer Account Azam Pay

    Habari na poleni na majukumu wanajukwaa, Hivi karibuni nimekuwa nikijihusisha na kutengeneza web applications zinazojumuisha maswala ya malipo. Kwa kipindi hicho chote, nilikuwa natumia APIs za Stripe. Kama mnavyojua, Stripe ni ya nchi za magharibi hivyo ukiwa nchi zetu hizi mara nyingi utaweza...
  16. Habari za uhakika Mayele anarudi Tanzania na anasajiliwa Azam FC

    Habari za uhakika nilizopata ni kwamba Mayele ameshamalizana na Azam FC na atatua Chamazi kukiwasha. Zile kelele kuhusu Yanga alikuwa anawaandaa kisaikolojia mashabiki wa yanga ambao wanaenda kuwa maadui zake wapya. Soka letu kivyetuvyetu.
  17. Simba kucheza kiporo chake cha Azam Federation 28 February Azam Complex

    Klabu ya @simbasctanzania imethibitisha kuwa siku ya tarehe 28/2/2024 watacheza mchezo wao wa ASFC dhidi ya TRA kwenye Uwanja wa Azam Complex. Mchezo huo utakuwa pia ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wao wa mwisho wa CAFCL dhidi ya Jwaneng Galaxy.
  18. FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† ASFC ⚽️ Young Africans SCπŸ†šPolisi TZ πŸ“† 20.02.2024 🏟 Azam Complex πŸ•– 1:00 Usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Polisi Tanzania Mpira umeanza Dakika ya 13 Goaaaaaaaal Guedeeeee Dakika 45+1 Chuma cha piliii Farid Mussaβš½οΈπŸ™ŒπŸΌ Dakika ya 45 niongeza 2 Gwedeeee goli la tatu dakika ya 46...
  19. Tusameheni, tufikirieni, onesheni usomi wenu kisimbuzi cha Azam na TANESCO

    King'amuzi ninacholipia ni kile cha Tsh 25,000/= napenda sana kuangalia NBC PREMIER LEAGUE na vipindi vingine, lakini sasa huu mchuano mkali wa mgao wa umeme imebidi niombe Suluhu. Wasomi wa Tanesco na wasomi wa Azam kaeni chini msugue BONGO zenu mje na suluhisho Tanesco mnanisaidia sana BILL...
  20. Watangazaji Azam hawajui kiingereza?

    Ni wale wanaohoji makocha baada ya mechi. Kuna mmoja alikuwa anamhoji kocha wa Simba wa makipa baada ya mechi na JKT. Yaani aibu niliona mimi aisee. Full kujichanganya mfano "what did your players gave you". Mwishoni akashindwa kusema thank you akasema "shukrani" Ni aibu kwa kweli. Jipigeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…