Dah eti hii timu iliifunga Simba mabao 5 1, wajinga wakubwa nyie, wahuni wakubwa nyie, wezi wakubwa, majambazi wa soka nyie, wanyela wakubwa.
Azam mmefanya uzalendo sana leo, japokuwa mmeshinda lkn ilikuwa mshinde mabao 8 leo, Jibrik Sylla, Kipre Junior walikuwa na uwezo wa kumaliza mchezo...
Hawa jamaa tunawagonga. Miaka kadhaa mfululizo wamekuwa mdebwedo sana kwetu. Tunawajua na wanatujua. TUNAJUANA. hawana sababu ya kutunyima ubingwa. Niaminini mimi.
Watawachezea hao hao mikia. Ila sisi kwa sisi Azam watapokea kichapo tu.
Tunajua tulifanyalo. Wakifanikiwa hata draw leo nipigwe...
Juzi tumeona mmekaa na wachezaji mkaongea nao na kubwa zaidi mlitaka wachezaji wazingatie maslahi ya timu kwa kuipigania, mnataka angalau mshike nafasi ya 2 mcheze ligi ya making wa, mmewaambia kuwa tajiri amemwaga fedha nyingi sana lkn haoni matokeo.
Mmewaomba wachezaji washing mechi kubwa...
Patashika ya ligi kuu kuendelea leo, kwa kukutanisha wekundu wa Msimbazi dhidi ya wazee wa Mapigo na Mwendo baada ya futari. Muda ni saa mbili na robo usiku, Azam complex
Kikosi
Game ishaanza dakika ya 18 bado bila bila
Yellow card Michael Masinda kamfanyia Saido faulo, game inaendelea...
Mm ni mmoja wa wadau wakubwa wa Azam, iwe media, iwe tigopesa, iwe sports, iwe ice cream ali mradi tu imeitwa Azam.
Jana, kabla ya mchezo haujaanza kipa wa Singida Benedict Haule alionekana kwenye luninga akiwa amesimama langoni ameshika taulo lake na maji, akaweka chupa zake za maji vzr, ndani...
Muda ni Saa 2:15 Usiku.
Kikosi cha Simba Kinachoanza.
Kikosi cha Singida FG Kinachoanza
#nguvumoja#.
Updates...
Dakika ya 5'
Goooooal kupitia kwa Saidoo baada ya kipa kuutema mpira wa Chama.
Dakika ya 8'
Penati wanapata Simba.
Anaipiga Saidoo
Goaaaaaaaaalllll
2-0.
Dakika ya 34'
Fredddd...
Azam anamiliki timu kwenye ligi ni mdhamini wa ligi kuu yote wakati GSM anadhamini timu za Yanga, Namungo, Coastal na Singida tu. Kwanini kuna watu wanataka kuonyesha kuwa GSM anainuisha yanga zaidi kwenye ligi kwa udhamini wa timu chache kwenye ligi?
Unapotaka kuhoji ushindi wa Yanga anza...
🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐔𝐏🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans SC🆚Ihefu FC
📆 11.03.2024
🏟 Azam Complex
🕖 12:00 Jioni
Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC
Mpira umeanza
Dakika ya 5
Yanga SC 0-0 Ihefu SC
Dakika ya 10
GOAAAAAAL Pacomeeeee
Dakika ya 15
Yanga SC 1-0 Ihefu SC
Dakika ya 19
Yanga SC wanakosa...
Akihojiwa Dube ameeleza kwamba ndani ya timu wapo viongozi wanaoshabikia timu zingine mnaocheza nao nje ya Azam
Anaeleza kwamba mnapocheza viongozi wanasupport timu mnayocheza nayo, anasema bora aende sehemu ambayo watu wote ndani ya timu wanafikiria na kuwaza kitu kimoja.
NB: Azam kwa mtindo...
Waswahili husema mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, mchezaji wa Azam, Prince Dube ameandika barua ya kuvunja mkataba ambao umebakiza miaka 2!
Jambo hili sio jambo zuri hata kidogo kwenye soka letu, suala la mchezaji kukosa tu furaha na akaamka asubuhi na kuandika barua ya kuvunja mkataba...
Habari na poleni na majukumu wanajukwaa,
Hivi karibuni nimekuwa nikijihusisha na kutengeneza web applications zinazojumuisha maswala ya malipo. Kwa kipindi hicho chote, nilikuwa natumia APIs za Stripe. Kama mnavyojua, Stripe ni ya nchi za magharibi hivyo ukiwa nchi zetu hizi mara nyingi utaweza...
Habari za uhakika nilizopata ni kwamba Mayele ameshamalizana na Azam FC na atatua Chamazi kukiwasha.
Zile kelele kuhusu Yanga alikuwa anawaandaa kisaikolojia mashabiki wa yanga ambao wanaenda kuwa maadui zake wapya.
Soka letu kivyetuvyetu.
Klabu ya @simbasctanzania imethibitisha kuwa siku ya tarehe 28/2/2024 watacheza mchezo wao wa ASFC dhidi ya TRA kwenye Uwanja wa Azam Complex.
Mchezo huo utakuwa pia ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wao wa mwisho wa CAFCL dhidi ya Jwaneng Galaxy.
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 ASFC
⚽️ Young Africans SC🆚Polisi TZ
📆 20.02.2024
🏟 Azam Complex
🕖 1:00 Usiku
Kikosi kinachoanza dhidi ya Polisi Tanzania
Mpira umeanza
Dakika ya 13
Goaaaaaaaal Guedeeeee
Dakika 45+1
Chuma cha piliii Farid Mussa⚽️🙌🏼
Dakika ya 45 niongeza 2
Gwedeeee goli la tatu dakika ya 46...
King'amuzi ninacholipia ni kile cha Tsh 25,000/= napenda sana kuangalia NBC PREMIER LEAGUE na vipindi vingine, lakini sasa huu mchuano mkali wa mgao wa umeme imebidi niombe Suluhu.
Wasomi wa Tanesco na wasomi wa Azam kaeni chini msugue BONGO zenu mje na suluhisho Tanesco mnanisaidia sana BILL...
Ni wale wanaohoji makocha baada ya mechi.
Kuna mmoja alikuwa anamhoji kocha wa Simba wa makipa baada ya mechi na JKT. Yaani aibu niliona mimi aisee. Full kujichanganya mfano "what did your players gave you". Mwishoni akashindwa kusema thank you akasema "shukrani"
Ni aibu kwa kweli. Jipigeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.